William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

Labda kamvua Dada yako nguo lakini Tundu Lissu bado namuona kavaa nguo!!
 
Nilishasema humu bungeni kuwa TINDU LISSU hana uelewa wowote wa sheria zaidi anachokifanya ni kucheza na akili za wabunge wenzakekutokana na uelewa mdogo wa vifungu vya sheria ambavyo anaamini wenzake ambao hawana taaluma hiyo hawatamshtukia na hivyo huamua kukomalia huko.
Hata mimi natazama bunge sasa hivi , kwa kile walichokisema LUKUVI, PINDI HAZARI CHANA na sasa ufafanuzi anaoutoa mwanasheria mkuu wa serikali , FREDRICK WEREMA, ni dhahiri LISSU ameumbuka.

Kweli lile ni bichwa la cdm...
 
Dah, hapo ushabiki upo wapi? tunasema mara kwa mara kuwa CHADEMA wana tabia ya kukurupuka. haya ndo madhara ya chama kuongozwa na vihiyo
Ivi kihiyo oroginal alikuwa chama gani vile?
Halafu elimu ya Lukuvi unaijuwa vizuri?
Kwa hiyo kihiyo hapo ni nani wewe mburula?

Huyu jamaa haaminiki tulishamzoea kutoa taarifa za serikali za kuunga unga kama zile za bomu kule arusha
 
Huyu tundu kila siku anaingia chaka. Tushamjua kumbe ni kichwa maji hana lolote...
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA. Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya. Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Magamba bana......
 
Hakika Tundu Lisu anajiaibisha na anakiaibisha chama chake

Anachokisema Lissu ni jambo la kweli ila kwasababu nyie CCM niwazee wa ndio, au ipite mtaona mwishowe madhara yake. Lissu anaongea kitaalam wakati Lukuvi anaongea kisiasa.CDM wanawatetea watanzania wakati Lukuvi na ccm wanatetea matumbo yao na biashara zao za madawa yakulevya.
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA. Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya. Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Unajua hata sisi tunaangalia usitudanganye na ushabiki wako. Tunajua kinachoendelea. Hata kama mkijifagilia ukweli unaonekana dhahiri.
 
Kwani wewe umetafsiri vipi? Au ulifananisha vile unavyowavuaga chupi waru fulani

Hizi simu alizowahonga January Makamba kwa ajili ya kuingilia JF huku nyie sio Thinkers mnaaibika tu. Sasa mambo gani haya ya kujadili we kijana wa UVCCM??
 
Hakuna cha kumvua nguo,tusidanganyane hapa.wewe unaangalia bunge la wapi au la ukerewe.tukutane kwenye referendum.
 
Umeandika kishabiki sana, kumbe kajibu hoja lakini wewe unapamba, wangapi wamedanganya na hawajafanywa kitu, nawe hapa JF lazima uchukuliwe hatua kali za kiuandishi.

Teh teh teh, kwa hiyo analipiza kisasi cha kudanganya.
 
Kwani kigwangala yupo bungeni,
kama yupi amsaidie mgonjwa wake anatia aibu sana huyu lisu.

Kwenye movie ............ hii itaitwa Thriler!!

Daktari anamtibu mgonjwa bila kujua kuwa yeye mwenyewe ndiye mgonjwa na wala siyo mgonjwa anayemtibu!!
 
Huyu tundu kila siku anaingia chaka. Tushamjua kumbe ni kichwa maji hana lolote...

Mkuu, huyu bila shaka atakuwa Tundu la Choo tena cha kike maana kila siku anaingia choo cha kike tu
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA. Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya. Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Mbona wameuondoa mswaada? Ni wa'p'u'm'b'a'v'u na wanafikiri kupitia m'a's'a'b'u'r'i kama wewe.
 
Wapinzani unajua nao wakosea sana hasa kutafuta mileage kwa umaa kwa kuzani watakachoongea kitakuwa na mashiko.swala la kutoka bungeni huko ni kushindwa kwa kujenga hoja walijua wakibaki wataambiwa wathibitishe hafu wakaonekana mapoyoyo.mpka sasa sijaona chama cha upinzani kinachoweza kuwa na tija ya kuongoza nchi.nilikuwa nakipenda sana chadema kwa sela zake lakini kimeshaanza kuharibiwa na mchwa waribifu.kweli siasa si nyenzo ya maendeleo

TIZAMA MANENO YALIYOTIWA RANGI KOLEZO KISHA KAJIFUNZE KUYAANDIKA VYEMA... nimetambua upeo wa ufikiri wako kwa kusoma maelezo yako.... HUSTAHILI LAWAMA NI KOSA LA WANAOKUDANGANYA NA HAWAJUI WEWE SIO MWEREVU...
 
Tatizo kubwa la Tundu Lissu kujiona kuwa ni mjuvi wa sheria na anajua kila jambo.

Angalia sasa jana kawashikia akili wabunge wenzake wa upinzani kumbe uongo mtupu.

Kila siku Tundu Lissu anasema Zanzibar ni mkoa jana tena anataka mkoa upewe haki sawa na nchi.
 
Nilichokiona ni game ya kisiasa na kwa waelewa ilikuwa tamu sana na CHADEMA waliwategea mtego CCM na CCM walikaribia kuingia kwenye mtego huo mpaka Mh. Lukuvi alipookoa jahazi. Ila tu CHADEMA yawezekana hawakujua CCM walikuwa wameisoma hiyo game mapema na kujiandaa kwa kujibu mashambulizi.

Nilichokipenda zaidi ni hii staili mpya ya kupiga kura kwa uwazi, imekaa vema! Ila duh unafiki nk vinatishia style hii.
 
Back
Top Bottom