William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu

Jaman hebu turuhusu akili zetu zifanye kazi. kwa maelezo ya Lukuvi tu inakujaje na hitimisho. Mie nsfikiri Lisu alipaswa kupewa nafasi ya kuthibitisha alichosema, km angeshindwa hapo ningekubaliana na hoja hii. Lakini hukumu yako imelalia zaidi kishabiki kuliko kimantiki.
 
Hivi lissu anaendelea na dozi yake au amekatisha tena
 
Jaman hebu turuhusu akili zetu zifanye kazi. kwa maelezo ya Lukuvi tu inakujaje na hitimisho. Mie nsfikiri Lisu alipaswa kupewa nafasi ya kuthibitisha alichosema, km angeshindwa hapo ningekubaliana na hoja hii. Lakini hukumu yako imelalia zaidi kishabiki kuliko kimantiki.

unatumia nn kufikiri? Tangu lini uongo una ushahidi
 
Nawashauri watz wenzangu na wanajukwaa kwa ujumla, tusiwe tunakimbia hospitali na kukatisha dozi. Cc. Tundu lissu
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

hapo pekundu vipi pinda alishamaliza adhabu yake au bado hajaanza kutumikia?
 
Naangalia mantiki ya hii title nazidi kubaini kuwa thatha kama walivyo wanaCCM wengi wanaoishabikia ni W A L I B E R A L I

[h=2]Re: William Lukuvi amvua nguo Tundu Lissu[/h]
 
Last edited by a moderator:
Wapinzani unajua nao wakosea sana hasa kutafuta mileage kwa umaa kwa kuzani watakachoongea kitakuwa na mashiko.swala la kutoka bungeni huko ni kushindwa kwa kujenga hoja walijua wakibaki wataambiwa wathibitishe hafu wakaonekana mapoyoyo.mpka sasa sijaona chama cha upinzani kinachoweza kuwa na tija ya kuongoza nchi.nilikuwa nakipenda sana chadema kwa sela zake lakini kimeshaanza kuharibiwa na mchwa waribifu.kweli siasa si nyenzo ya maendeleo

Nahsi unatumia kichwa kufuga nywele na sio kufkri,ni lini ccm walisema kweli?unadhani mwenykti wa ccm taifa kuteuwa wajumbe wa katiba ama bunge la katiba ni sahihi katka mfumo huu wa demcrasia ya kweli?kwa upumbavu huo mnaotumia kuongoza nchi hakika kunasku upumbavu huo utatumika kuwatawara na nyie,humchagui rais ili afikrie badala yako ispokuwa unamchagua akuongoze na kuyasimamia yale mlokubariana,nyie mmekabidhi kikwete kila kitu wapuuz wakubwa.
 
Buku 7 mko vizuri, hata katiba mnailetea ushabiki kweli mmechoka.
 
Jamani Lukuvi ni wa kumvua nguo Lisu? darasa la 8 la mkoloni tena la kuungaunga kwa Tindu Lissu wapi na wapi?

Ushabiki mwingine wa kinundanunda sana!
 
watanzani tujipe moyo tumekalibia nchi ya Haadi ushabiki utajizililisha 2015 kifo cha huyo pepo mchafu kitatimia Amina
 
Mkuu, hakika LUKUVI ameongea kwa vielelezo na hivi sasa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji WEREMA anamalizia kukata roho ya TUNDU LISU

Kachukue buku 7.
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

Mtoa habari ukiendelea hivi bado kidogo utajikuta umevaa chupi kichwani ukidhani ni kofia plz take care na afya ya ubongo wako
 
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA.

Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya.

Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.

Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli

nimesoma cjaona vielelezo zaidi ya kujaribu kujibu hoja za za hotuba ya lisu na facts alizodai kutoa ni za kufikirika. The facts is chochote kikitoke hata kama ni kwa human erro rais na chama chake lazima watabebeshwa lawama kwasababu dhamira za viongozi wake zaonyesha kutaka kuhodhi mchakato ndiyo maana wana ng'ang'ania rais awe na mamlaka ya mwisho kuunda bunge la katiba
 
Back
Top Bottom