Kamvua nguo ipi??
Hii habari imekaa KIKUDA sana, kichwa cha habari na habari yenyewe
tofauti.
Kwanza kwa akili ya Haraka Lukuvi darasa la saba anawezaje kuwa na hoja
kumzidi Tundu Lissu aliyebobea kwenye sheria na anatambulika dunia nzima
kwa umahiri. Mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa yako CCM
tu...
Anachokisema Lissu ni jambo la kweli ila kwasababu nyie CCM niwazee wa ndio, au ipite mtaona mwishowe madhara yake. Lissu anaongea kitaalam wakati Lukuvi anaongea kisiasa.CDM wanawatetea watanzania wakati Lukuvi na ccm wanatetea matumbo yao na biashara zao za madawa yakulevya.
Waziri wa nchi sera na uratibu wa Bunge, WILLIAM LUKUVI sasa hivi wakati bunge linaendelea ameweka wazi uongo wa TINDU LISSU, uongo uliofanya jana wabunge wa upinzani wasusie kujadili mswaada wa sheria ya marekebisho ya KATIBA. Jana LISU alisema Rais KIKWETE hakuzingatia sheria katika kuteua wajumbe wa kamati ya kushughulikia mchakato wa Katiba mpya kwa madai kuwa aliacha kuwateua wajumbe waliowasilishwa kwa barua na makundi yao, jambo ambalo LUKUVI ameliweka wazi kwa kuwataja wajumbe hao kwa majina kutoka makundi yote walivyowalishwa kwa rais na Rais kufanya uteuzi kama ambavyo sheria iliktaka kufanya. Wakati huo huo Mwenyekiti wa Kamati ya mswada wa sheria ya Marekebisho ya Katiba, PINDI HAZARI CHANA naye akiweka bayana kuwa makundi yote yalihusika katika kutoa maoni yao juu ya katiba mpya tofauti na ambavyo LISSU alivyokuwa akidai kuwa wazanzibari hawakuhusishwa.
Kwa ushahidi huu wa LUKUVI NA PINDI CHANA ni wazi LISSU anaweza kukabiliana na adhabu kwa mujibu wa kanuni za bunge kutokana na kusema uongo na kuuaminisha umma wa watanzania kuwa alikuwa akisema ukweli
Hakuna cha kumvua nguo,tusidanganyane hapa.wewe unaangalia bunge la wapi au la ukerewe.tukutane kwenye referendum.
Tindu lisu ni mropokaji na hana busara ya kuongea na huacha jazba imtawale muda wote
Duu kali hii Tindu Lissu anafahamika dunia nzima? wewe unayesema Lukuvi darasa la saba na kusema Lissu anajulikana dunia nzima naona ukapime akili
Ivi kihiyo oroginal alikuwa chama gani vile?
Halafu elimu ya Lukuvi unaijuwa vizuri?
Kwa hiyo kihiyo hapo ni nani wewe mburula?
Nilishasema humu bungeni kuwa TINDU LISSU hana uelewa wowote wa sheria zaidi anachokifanya ni kucheza na akili za wabunge wenzakekutokana na uelewa mdogo wa vifungu vya sheria ambavyo anaamini wenzake ambao hawana taaluma hiyo hawatamshtukia na hivyo huamua kukomalia huko.
Hata mimi natazama bunge sasa hivi , kwa kile walichokisema LUKUVI, PINDI HAZARI CHANA na sasa ufafanuzi anaoutoa mwanasheria mkuu wa serikali , FREDRICK WEREMA, ni dhahiri LISSU ameumbuka.
Kamvua nguo ipi?? Hii habari imekaa KIKUDA sana, kichwa cha habari na habari yenyewe tofauti.
Kwanza kwa akili ya Haraka Lukuvi darasa la saba anawezaje kuwa na hoja kumzidi Tundu Lissu aliyebobea kwenye sheria na anatambulika dunia nzima kwa umahiri. Mambo ya akili ndogo kuongoza akili kubwa yako CCM tu...
Unajua hata sisi tunaangalia usitudanganye na ushabiki wako. Tunajua kinachoendelea. Hata kama mkijifagilia ukweli unaonekana dhahiri.
Tatizo kubwa la Tundu Lissu kujiona kuwa ni mjuvi wa sheria na anajua kila jambo.
Angalia sasa jana kawashikia akili wabunge wenzake wa upinzani kumbe uongo mtupu.
Kila siku Tundu Lissu anasema Zanzibar ni mkoa jana tena anataka mkoa upewe haki sawa na nchi.