William J. Malecela kugombea ubunge wa EAC

Nimeisoma hii thread kuanzia mwanzo hadi hapa ninandikapo. Kuna mambo tofauitofauti niliyoyaona yamejitokeza hivyo na mimi nitaomba kuchangia kidogo.

1. Swali la msingi lililoulizwa tokea mwanzo na muanzilishi wa thread naona bado halijajibiwa. 'Je ni kweli bwana William anataka kugombea umbnge wa EAC?' Ningeomba muhusika ajibu, ili tuweze kuanza kuuliza maswali yanayohusiana na huo wadhifa rasmi. Maana hii sijui kafanya kazi gani lini na wapi, mimi kama mtanzania haikunizuia kuamka leo asubuhi na wala haitonizuia kwenda kulala leo usiku (Means it is not my business). Kama tutaanza kuchunguzana namna hii, nina imani hakuna kiongozi yoyote aliye msafi hapa duniani. Labda tuwarudishe Yesu na Muhammad ndio waje watuongozee siasa na maendeleo yetu.

2. Mjadala muhimu sana unaondelea wa kuhusu EAC; Ni muhimu sana kuangalia faida na hasara za hizi jumuia tunazojiingiza. Kuna yeyote aliyefanya tathmini ya nini tunachopata kwa sisi kuwemo kwenye hii taasisi? Maana naona this time around imekaa kibiashara/kimaslahi sana kuliko ilivyokuwa wakati uliopita(mtizamo wangu tu). Nini kimepatikana na nini kimepotea so far tokea kujiunga kwetu, na nini matarajio yetu kwa kuendelea kuwepo?
 
Mkuu FMES salute sana

Personally sina tatizo na Mkuu Willie @NYC..

Hawa watu tumekuwa nao sana hapa JF,tumekuwa tunapiga kelele kuwa wana JF hawajitokezi kugombea ili tuone kama wanaweza kuonesha utofauti..

Yes its time..Bado Mzee Mwanakijiji tu...

I am done.

Kwamba unadhani mtu akiwa mwandishi mzuri na mwenye hoja nzuri basi ndio ana sifa za kuwa kiongozi? hapo umepotea sana, mtu huwa anazaliwa kiongozi na sio kuja kuulazimisha uongozi, William Malecela ana udhaifu mkubwa sana ambao kiongozi hapaswi kuwa na.

Huyu jamaa hata rafiki zake kule facebook wanamfahamu vyema yeye anapenda akitoa status basi mumshangilie na LIKE kama mazuzu na ukiwa na hoja za kumchallange au kumpinga anadelete comment zako na wengine anawablock kabisa kwenye friend list, huyu ni dikteta na amepoteza sifa muhimu ya kuwa kiongozi.
Je Jakaya Kikwete angekuwa dikteta kama William hii JF ingekuwepo leo? hafai huyu.
 
- Vipi sababu za msingi kwamba he is not the man for the job, au unaridhika na hizi za Social life yake kule Facebook? I mean naona kama tunacheza lotto hapa kwa sababu is it true kua anagombea? Na what authority we have here kuamua asigombee au agombee?

Otherwise heshima mbele sana bro!

FMes!

Mimi shida yangu ni kujua kwa nini yeye ndiyo anafaa. After all si tunasema tuangalie qualifications? Kwa wale wanaomjua what are his qualifications for the job?
 
Kwamba unadhani mtu akiwa mwandishi mzuri na mwenye hoja nzuri basi ndio ana sifa za kuwa kiongozi? hapo umepotea sana, mtu huwa anazaliwa kiongozi na sio kuja kuulazimisha uongozi, William Malecela ana udhaifu mkubwa sana ambao kiongozi hapaswi kuwa na.

Huyu jamaa hata rafiki zake kule facebook wanamfahamu vyema yeye anapenda akitoa status basi mumshangilie na LIKE kama mazuzu na ukiwa na hoja za kumchallange au kumpinga anadelete comment zako na wengine anawablock kabisa kwenye friend list, huyu ni dikteta na amepoteza sifa muhimu ya kuwa kiongozi.
Je Jakaya Kikwete angekuwa dikteta kama William hii JF ingekuwepo leo? hafai huyu.
Mkuu naomba nipingane na wewe kidogo kwenye hii hoja yako hapo juu. Naomba unielewe kuwa sipo kwenye William bandwagon by any means. Ningesema the same thing kama angekuwa Juma Abdallah/Sakina Mashoto kutoka Mwananyamala Komakoma. Kama tunafanya vetting process(Untill he confirms), lets be fair and just. Iwe mijadala ya kihoja.
 
Kwamba unadhani mtu akiwa mwandishi mzuri na mwenye hoja nzuri basi ndio ana sifa za kuwa kiongozi? hapo umepotea sana, mtu huwa anazaliwa kiongozi na sio kuja kuulazimisha uongozi, William Malecela ana udhaifu mkubwa sana ambao kiongozi hapaswi kuwa na.

Huyu jamaa hata rafiki zake kule facebook wanamfahamu vyema yeye anapenda akitoa status basi mumshangilie na LIKE kama mazuzu na ukiwa na hoja za kumchallange au kumpinga anadelete comment zako na wengine anawablock kabisa kwenye friend list, huyu ni dikteta na amepoteza sifa muhimu ya kuwa kiongozi.
Je Jakaya Kikwete angekuwa dikteta kama William hii JF ingekuwepo leo? hafai huyu.

- Here we go Facebook as kipimo cha uongozi, ha! ha! ha! ha! ha! ha!

karibu sana bro na heshima mbele sana!

Es!
 
Mimi shida yangu ni kujua kwa nini yeye ndiyo anafaa. After all si tunasema tuangalie qualifications? Kwa wale wanaomjua what are his qualifications for the job?

- Mkuu ni vyema ungeanza na kuwachamb ua waiopo huko sasa hivi na wote waliowahi kuwepo huko ndio ulinganishe na wanaotaka kugombea, othewrwise inakwua ni lotto, wewe hujui na wengine hawajui sasa what turushe jiwe tu gizani? ha! ha! ha! ha! ha!

Heshima Mbele Sana mkuu!

Es!
 
Mkuu FMES salute sana

Personally sina tatizo na Mkuu Willie @NYC..

Hawa watu tumekuwa nao sana hapa JF,tumekuwa tunapiga kelele kuwa wana JF hawajitokezi kugombea ili tuone kama wanaweza kuonesha utofauti..

Yes its time..Bado Mzee Mwanakijiji tu...

I am done.

- Duh! Gembe my bro looongtime sana mtuwangu! ha! ha! ha! mkuu saafi sana one page you know!, na MUCH RESPECT!

fmEs!
 
- Here we go Facebook as kipimo cha uongozi, ha! ha! ha! ha! ha! ha!

karibu sana bro na heshima mbele sana!

Es!
Mkuu usipoweza kuvumilia challenge za social networks vipi wale wananchi maskini wa Mtera watakapoanza kuja nyumbani kwako kama Mbunge wao kwa shida ambazo hazihusiani na Ubunge wako? hapa panahitaji weledi, ni juzi tu humu Ndugu Kigwangalla ametangaza hapa JF kwamba hatogombea tena ubunge kwahiyo watu wasimsakame sasa cha kushangaza wakati yeye anaingia katika siasa hizi uchwara hakuyaona haya?

As for my opinion Willy kama anataka kuwa mwanasiasa basi wale marafiki wa ndio mzee hawana tija ya kisiasa kwake zaidi ya kukujaza sifa za kijinga na kupeana mialiko ya kwenda ngwasuma tu not otherwise.
Vijana tunalila sana tupewe nafasi lakini vijana wengi wametu dissapoint sana bila kujali vyama vyao, namsifu JK katika cabinet yake amejaribu sana kuwabeba vijana, lakini ukiangalia mfano wa Masha ndio hapo tunasema kuna tofauti kubwa kati ya mcheza Disco na Mwanasiasa.

Nawashauri vijana wote wanaopenda siasa wajifunze uzdilifu na usikivu kutoka kwa Mnyika na mtafika mbali, otherwise hizo mbwembwe zenu kwa namna wapiga kura wa leo walivyo na hasira no wonder John Malecela kuangushwa na mpumbavu kama Kibajaji, zile zinaitwa kura za chuki.
 
- Mkuu Ben heshima mbele sana bro, maneno mazito angalau una-prove kwamba sio wananchi wote humu JF wanafikirishwa kama bendera, yaani kuna uhuru wa kufikiri hapa sio watu wanaendeshwa kama upepo wa bendera,

-HOWEVER: Talking about EAC, ni muhimu sana tukapeleka Mbunge ambaye atawaamsha wananchi wa Tanzania kwamba kuna hili bunge kwani wengi inaonekana hawajui kuwepo kwa bunge hilo, na ishu muhimu zinazolikabili bunge hilo kama Ardhi, Ajira, Sarafu Moja na Uchumi kwa ujumla!

- Tunataka Mbunge atakayesimamia haki za Taifa letu ndani ya EAC kwa nguvu zote, na pia awe mjasiri anayeweza kusimama kidete na kusema wazi kwamba Wa-Kenya wengi mno hapa kwenye Ajira zetu hapa Tanzania je na huko Kenya sisi tunazo ajira kama wao walivyo hapa kwetu? Kama sio why? wakati mkataba wa EAC unaruhusu kuwepo na balance on the ishu?

- Tunataka Mbunge atakayeweka wazi kwa wananchi wetu ni kwa nini Jumuiya ya kwanza ilivunjika? Je zile sabab u hazipo sasa ambapo mojawapo ilikuwa Uchumi wa Taifa ambao ulikuwa haufanani between members states, je sasa unafanana?

- Tunataka Mbunge atakayetuam sha wananchi wa Tanzania on hatari za kuwa na sarafu moja huku tukiwa hatufanani kiuchumi kwam,ba ndio maana Greece ipo matatizoni, lakini Switzerland haipo matatizoni ni kwa sababu uchumi wa Greece haukuwa strong enough ku merge na uchumi wa matatifa mengine ya EU, sasa ni matatizo ya Greece na EU kwa ujumla, je Tanzania kwa kuingia kwenye sarafu moja EAC hatutajikuta tumekuwa kama Greece?

I mean Tanzania tunahitaji kuwa makini sana na huu umoja kwa sababu ulipovunjika ule wa kwanza sisi ndio tulioumia sana kuliko wengine wote, this time around tuwe makini na ndio maana tunahitaji kuepeleka wabunge wenye uwezo na wenye ujasiri wa kusimamia ukweli na hasa interest ya taifa letu! Facebook ni Social Network mahali pa members wake ku-share picha zao na maisha yao ya kila siku Vion gozi wakuu wa Dunia kama Obama na Putin wapo kule wakisema maisha yao ya kila siku na bado ni Viongozi wa Dunia, kwamba Facebook ndio inaweza kwua kipimo cha uwezo wa uongozi wa taifa letu! nafikiri ni overeaching na kutokwenda na wakati, Mungu anasema kuna wakati wa kila kitu, yaani wa kucheka na kulia, wakati wa Mvua na Kiangazi na kwenye maisha ni hivyo hivyo kuna wakati wa kila kitu, kuna wakati wa Social Life kule Facebook na kuna wakati wa Hoja wka Taifa na wananchi yaani huku JF, mtu akija huku JF akaleta mambo ya Ngwasumaa huyo hafai kuwa kiongozi ay kukosoa anything kwenye uongozi, tujifunze kuweka mambo yanapotakiwa!

- Maisha ya binafsi hayana anything to do na uwezo wa binadam kuongoza ndio maana Clinton ni the best ever President wa USA, ndio maana Edgar Hooover ni the best FBI Director US ever had, lakini ukitizama maisha yao ya binafsi hayafanani kabisa na uwezo wa juu sana wa kuongoza, JF tufike mahali turudie zile zama zetu za kukata ishu kiroho mbaya na kwa facts pamoja na Dataz, what happenend sasa tumeanza kuwa na maneno mengi empty bila hoja? Ungetegema hili taifa tumejifunza matatizo ya kuwa na Viongozi wasiokuwa na Social Life lakini kumbe bado kabisaa inasikitisha sana kwamba mtu anaweza kuamini kwamba Obama kuzungumzia Vacation yake Facebook akama anvyofanya mara kwa mara ni kujivuna, au kutafuta sifa, I mean Facebook sasa ni number one money getter kwenye Stock Exchange na Money Market za Dunia, haiwezi kuwa inaongozwa na wahuni au inamilikiwa na wahuni, hapana ni mahali pa watu wenye akili na inamilikiwa na watu wenye akili, sometimes tunakwenda mbali sana kwenye ku-confess chuki zetu kwa wananchi tusiwajua tena kwa kutumia viwango tusivyovijua kama Facebook!

HESHIMA MBELE WATU WOTE!

FMES!

Tafadhali usiandike uongo humu kwa kudhani sisi tuliopo bongo ni mambumbumbu; how can face book be a number one money maker on the stock exchange when it has not gone public?In order to be listed on the New York stock exchange ni lazima utimize masharti ambayo yatakuwezesha kuwa listed; face book is contemplating to go public soon and it is no gurantee that it will make money to those who will buy their shares!!
 
- Facebook wameenda public toka miezi miwili iliyopita pole sana mkuu kwamba hujui ilo, fanya utafiti basi hata kidogo kabla ya kuja hapa

Naona umeanza tena karibu sana, mimi sijakuita mbumbumbu ni mwenyewe ndiye umesema1

Es!
 
Mkuu usipoweza kuvumilia challenge za social networks vipi wale wananchi maskini wa Mtera watakapoanza kuja nyumbani kwako kama Mbunge wao kwa shida ambazo hazihusiani na Ubunge wako? hapa panahitaji weledi, ni juzi tu humu Ndugu Kigwangalla ametangaza hapa JF kwamba hatogombea tena ubunge kwahiyo watu wasimsakame sasa cha kushangaza wakati yeye anaingia katika siasa hizi uchwara hakuyaona haya?

As for my opinion Willy kama anataka kuwa mwanasiasa basi wale marafiki wa ndio mzee hawana tija ya kisiasa kwake zaidi ya kukujaza sifa za kijinga na kupeana mialiko ya kwenda ngwasuma tu not otherwise.
Vijana tunalila sana tupewe nafasi lakini vijana wengi wametu dissapoint sana bila kujali vyama vyao, namsifu JK katika cabinet yake amejaribu sana kuwabeba vijana, lakini ukiangalia mfano wa Masha ndio hapo tunasema kuna tofauti kubwa kati ya mcheza Disco na Mwanasiasa.

Nawashauri vijana wote wanaopenda siasa wajifunze uzdilifu na usikivu kutoka kwa Mnyika na mtafika mbali, otherwise hizo mbwembwe zenu kwa namna wapiga kura wa leo walivyo na hasira no wonder John Malecela kuangushwa na mpumbavu kama Kibajaji, zile zinaitwa kura za chuki.

- Duh mkuu hoja si ni EAC au? ha! ha! ha! ha! ila you are a genius sio siri! ha! ha!

Heshima Mbele sana!

- Mnyika, Facebook, Kibajaji, what a genius! ha! ha! ha! ha!

Heshima Mbele sana mkuu1

Mkuu FMes unajua kwenye siasa za sasa inabidi kujibu hata Pumba tu...coz usipojibu wakati mwingine zinaonekana kuwa ni ukweli..

Mkuu Wiser,kuwa wise kidogo..unaposema Willie ni Dikteta bila kutoa facts inaoneka unapika jungu tu..zaidi ya yote unasema ana udhaifu bila kueleza ni upi watu wanaona umekuwa muigizaji kama JB bonge...au Mmekuwa wote?

You still have time kuongelea issue za msingi,..JF ni kisima cha Fikra sahihi...
 
Lazima huone hizi ni pumba kwa sababu i can not dance in clowns show.....
Wewe ndio wale wale akina ndio Mzee,....... kila anayekwenda tofauti na wewe ni pumba wakati hujui pumba zina faida nyingi sana na ndizo tunalishia mifugo yetu na inananepa na baadae tunakula nyama na maziwa, wewe endelea kukalili pumba! na hata kinyesi cha hao mifugo tunatumia kama mbolea mashambani mwetu.
 
Mkuu wiser how comes unatoa mifano ambayo haina tija?Yaani imefikia stage tunakuwa na Great Thinker ambao wanafikiria kama Mifugo?

Basi gombea wewe..naona umeshindwa kwa hoja sasa unaleta viroja?

BTW the line : Afya ya Mzee inaendeleaje?
 
Ni kwa nini unadhani kwamba wewe ndio uko sahihi na na ni kwa nini unadhani mimi siko sahihi?
Ni wapi ulipopata mamlaka ya kwamba usemalo wewe na uwazalo wewe ndio sahihi pekee? hivi huu sio kama udikteta wa mawazo unataka tuitaje?
Unazungumzia kushindwa hoja ni zipi hizo nilizoshindwa na kwa nini isiwe wewe ndio uliyeshindwa?
 
Mkuu FMes unajua kwenye siasa za sasa inabidi kujibu hata Pumba tu...coz usipojibu wakati mwingine zinaonekana kuwa ni ukweli..

Mkuu Wiser,kuwa wise kidogo..unaposema Willie ni Dikteta bila kutoa facts inaoneka unapika jungu tu..zaidi ya yote unasema ana udhaifu bila kueleza ni upi watu wanaona umekuwa muigizaji kama JB bonge...au Mmekuwa wote?

You still have time kuongelea issue za msingi,..JF ni kisima cha Fikra sahihi...

- Mkulu Gembe powa sana, unajua siasa ni mchezo mchafu watu wanakuwa marafiki wakiona uantaka kupaa kidogo wanakugeuka, lakini wanasema Mungu hakupi mzigo bila mabega ya kuubeba! ha! ha! ha! ha! so tupo one page bro!

MUCH RESPECT1

Es!
 
Ni kwa nini unadhani kwamba wewe ndio uko sahihi na na ni kwa nini unadhani mimi siko sahihi?
Ni wapi ulipopata mamlaka ya kwamba usemalo wewe na uwazalo wewe ndio sahihi pekee? hivi huu sio kama udikteta wa mawazo unataka tuitaje?
Unazungumzia kushindwa hoja ni zipi hizo nilizoshindwa na kwa nini isiwe wewe ndio uliyeshindwa?

- JF kweli uwanja wa Great Thinkers, mzee unatisha sana na mabusara mazito mazito sana1

heshima mbele sana!

FMeS!
 
Back
Top Bottom