Jamani hivi huyu Bw.Willy ana mapungufu gani haswa? maana mara kadhaa ikija hoja kumhusu haswa akihusishwa na suala zima la yeye kuwa kiongozi, wadau wengi hijitokeza kumponda kiasi cha kuonekana hafai kabisa kuwaongoza binadamu wenzake. Binafsi nimewahi kukutana naye kama mara mbili hivi. Kwa hiyo namfahamu kidogo sana. Sasa mnaomfahamu kwa undani tusaidieni mapungufu yake ili isije kuwa ni kumharibia mtu pasipo hoja za msingi.Itakuwa ni kutomtendea haki!
- Binadam wote tuna mapungufu, lakini inapokuja kwenye uongozi ni muhimu sana ukayaoanisha mapungufu ya Kiongozi mtarajiwa na uwezo wake wa kuongoza hoping kwamba unafahamu na una ukweli, kwa kusoma sana humu JF kosa lake kubwa sana lilikwua kuanzisha Tawi Jipya na la kwanza la CCM kule New York, USA baada ya Miaka 50 ya Uhuru wa Taifa ni tokea pale akaanza kutukanwa sana humu, otherwise aliposhambuliwa na the very CCM kwa kuhusika na umiliki wa JF alit6etewa sana na hii hiii JF, so ni siasa na mchezo wake mchafu at work, ninaamini akiingia Chadema leo, yatakwua maneno tofauti sana! ha! ha! ha! ha!
- Otheriwise, ngoja nijaribu kugusa moja ya tuhuma zake:
Muhuni - Ukweli ni kwamba hajawahi kunywa pombe, hajawahi kuvuta sigara, wala sio fuska na records zipo wazi, kwamba anaenda Casino na Muziki, then linakwua ni suala kubwa kuliko kwamba wamiliki wa Casinos na Bendi za miziki ni wahuni na hawafai kuwa Viongozi wa Taifa? Ukweli ni kwamba sio kweli kwa sababu Mh. Mbowe anamiliki Casino na ni kiongozi saafi sana, tuna Mh. Asha Baraka anamiliki bendi mbona ni mjumbe bora sana NEC ya CCM, Mh. Kapuya anamiliki bendi mbona ni Mbunge anyewafaa sana wananchi wake na taifa, ndio ninasema ni siasa za majitaka na chuki bila facts na ni aibu kwa Great Thinkers kujiingiza kwenye siasa za namna hiyo kwa sababu inaishia kujishusha hadhi wenyewe ambayo some of us worked so hard hapa, mpaka tume-risk ourlives kuipa JF credibility tuliyonayo leo.
- Alikuwa baharia hakusoma: Ukweli ni kwamba amesoma sana mpaka kuwa Asstant Engineer wa Meli Belgium na
China, kule US again akasoma tena Degree mbili. Then kuna alikuwa anaendesha malori hiyo ilikuwa ni nature ya kazi aliyokuwa akiifanya NYC kwa miaka 23 kwenye kampuni moja, huwezi kubeba poison kwenye kikapu na kwenda kui-disposal ni lazima uisafirishe kwenye special trucks na uwe na ujuzi mkubwa sana kielimu, amam sivyo utaleta madhara wka jamii, we can go on and on lakiini kwenye uongo ukweli huijitenga!
Es!