Niliweka BTW Mkuu.......kutofautisha uhusiano wa picha na hoja..........Sina hakika kama Joe alirithishwa CLOUDS na baba yake ila najua Marehemu Mzee Kusaga alikuwa Managing Director wa Clouds......Nikikutana na Justin ntamuuliza
Ubunge wa EAC ni upotezaji wa rasilimali za nchi, full stop.
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Tanzania, wamepingwa kuwa kazi zao hazionekani na wamekuwa wakionekana wakati wa kuomba kura tu.
Kauli hiyo ilitolewa na Mbunge wa Karagwe (CCM), Gosebert Blandes wakati akichangia hotuba ya bajeti ya makadiro ya matumizi Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa mwaka 2011/2012.
"Hivi hawa wabunge wa Afrika Mashariki tunaowachagua kazi yao ni nini?" alihoji na kuongeza: "Tunawaona wanakuja humu ndani kuomba kura wakishamaliza wanapotea, hatujui kinachoendelea, hatujui wanafanya kazi gani na hakuna Mtanzania hata mmoja anayejua kuna mbunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania."
"Watakuja hapa wanapitapita, kipindi cha uchaguzi kikikaribia ndio wanakuja kuomba kura. Mheshimiwa Waziri (Waziri wa Afrika Mashariki Samuel Sitta), nilikuwa naomba nipendekeze ni vizuri wakawezeshwa ili wawe wanakuja hapa bungeni tunafanya majadiliano nao, tuzungumze watueleze tulichowatuma kule kimefikia wapi," aliongeza.
Alisema: "Hata itafika miaka mitano hata Waziri wa Afrika Mashariki hatujui kule ameenda kufanya nini. Mheshimiwa Mwenyekiti nilikuwa naomba Waziri wa Afrika Mashariki uwe unatenga muda wakati wa vikao vya Bunge, utujulishe mambo ambayo yametokea kule Afrika Mashariki angalau uwe unaadress (unalihutubia) Bunge hata mara moja ama mbili kwa mwaka vinginevyo, Mheshimiwa Waziri hatuoni kazi yako na hatujui ni kitu gani kinafanyika," alisema Blandes.
Naye Mbunge wa Viti Maalum (CCM), Mary Mwanjelwa, alisema wamekuwa hawapati taarifa za mabunge wanayokaa ya Afrika Mashariki
"Na hili ndilo Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, sasa ningeomba tujue uwiano wa yale yote wanayojadili kwenye Bunge la Afrika Mashariki. Uwiano wake ukoje? Na sheria wanazopitisha tuzielewe tuone, je, kuna relevant (uhusiano) yeyote?."
Kuhusu suala la shirikisho, Mwanjelwa alihoji kuhusiana na kushirikishwa kwa wabunge wa Afrika Mashariki.
CHANZO: NIPASHE
- Wakati Joe anaifufua Clouds Motel Agip kutokana na Mbowe Club kuwa kwente renovations, Mzee Kusaga alikwua Bima, by the time ana-retire Clouds ilikuwa mbali sana mpaka yeye kuja kujiunga nao, kwa hiyo wala usipoteze muda wako na Justin cause Joe ndiye aliyeifufua Clouds tena kwa kutumia Domestic Equipment! I mena I was there wala sio ya kusimuliwa!
Es!
Justin is my class mate.......sorry to have stirred your cup of tea
Le Mutuz Baharia Bongo.
- Labda ungejenga hoja kwamba Tanzania kujiunga na EAA ni tatizo, can you?
Es!
- Sawa sawa he is my Child hood friend, baba yangu akwia RC yeye baba yake alikuwa Mkurugenzi wake wa maendeleo, so one page sana na aliporudi Holland na kuanzisha Clouds was right there Helenic na Bulgarian Club kabla hajahamia morogoro au unasemaje?
Es!
Subiri arudi kutoka Google,......Kabla ya kwenda kwenye umuhimu wa kujiunga na EAC, ainisha kazi za Mbunge wa EAC?..na nini wabunge wa Tanzania EAC wamefanya?
Sr.
Subiri arudi kutoka Google,......
Hili swali nakumbuka aliwahi kuuliza Mohamed Dewji kumuuliza mbunge wa CCM aliyekuwa anagombea kuiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la SADC, swali lilikuwa hivi,
Ni nini kirefu cha SADC? cha ajabu mbunge wa CCM alishindwa kujibu swali hili. kwa kifupi haya Mabunge mengine ya nje hayana tija kwa Taifa ni wizi mtupu.
Kaka Matola, heshima mbele sana Mkuu.
Mkuu hakika hatuwezi kuendelea na huu ubabaishaji, watu siasa za ndani tu hawaziwezi leo wanataka waende kutuwakilisha kwenye medani za kimataifa, kutetea Taifa letu na interest za Mataifa mengine.
Ile issue ya SADC bado iko kwenye kumbukumbu zangu, ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu (50 Y.A.I), kuna wengine hata ku-construct sentensi moja la kiingereza hawajui achilia mbali kirefu cha SADC.
Kuna kilaza mmoja humu jukwaani kwake yeye EAC ni Tanzania na Kenya tu, hapana lazima tubadilike kwa Maslahi ya Taifa letu.
Kabla ya kwenda kwenye umuhimu wa kujiunga na EAC, ainisha kazi za Mbunge wa EAC?..na nini wabunge wa Tanzania EAC wamefanya?
Sr.
Wazee wa Sauti ya Umeme......Tatizo mnaniuliza Maswalai Kama ninagombea anything na EAC I am not lets get that straight!
Es
Kaka Matola, heshima mbele sana Mkuu.
Mkuu hakika hatuwezi kuendelea na huu ubabaishaji, watu siasa za ndani tu hawaziwezi leo wanataka waende kutuwakilisha kwenye medani za kimataifa, kutetea Taifa letu na interest za Mataifa mengine.
Ile issue ya SADC bado iko kwenye kumbukumbu zangu, ni aibu kubwa sana kwa Taifa letu (50 Y.A.I), kuna wengine hata ku-construct sentensi moja la kiingereza hawajui achilia mbali kirefu cha SADC.
Kuna kilaza mmoja humu jukwaani kwake yeye EAC ni Tanzania na Kenya tu, hapana lazima tubadilike kwa Maslahi ya Taifa letu.
Bala is always here!.....Wazee wa Sauti ya Umeme......
Kitambo sana mkulu.....
Unapoomgelea UN history an unaanza na kuongelea members wake Kama US na Uk kwanza mañana ndioq wenye maamuzi Mengzi makubwa so is Tanzania and Kenya, otherwise in raisin kwa kilaza Kunitz wengine villa tatizo ni ku prove yes sio Kilauea a wengine are!
Es!
So is Matola.........HahaaaaaaBala is always here!.....
Subiri arudi kutoka Google,......
Hili swali nakumbuka aliwahi kuuliza Mohamed Dewji kumuuliza mbunge wa CCM aliyekuwa anagombea kuiwakilisha Tanzania kwenye Bunge la SADC, swali lilikuwa hivi,
Ni nini kirefu cha SADC? cha ajabu mbunge wa CCM alishindwa kujibu swali hili. kwa kifupi haya Mabunge mengine ya nje hayana tija kwa Taifa ni wizi mtupu.