Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,331
- 7,885
Si kama nyie mnavyokimbiliaga kuwatumia role model wenu akina Suleiman inapokuja kwenye uzinzi. Na kama vile ambavyo mkisikia suala la pesa mnakimbilia kutusaidia kuhubiri haki sawa.
Tunataka haki sawa sio wajibu sawa maana as a man utabaki kuwa mwanaume tu nami nitabaki kuwa mwanamke na kila mmoja ana wajibu wake.
I like you dearest madame