Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

Ww kama umezalishwa au una miaka 28+ ..utakitembeza sana hakuna atakaekuoa ww..kwnz una likitambi ligagula..nani mweny akili timamu aoe shimo la taka kama langu ila Mimi nauza tigo[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Unauza bei gani?
 
Asa sijajua kwa wale wanaosema NO maana unaweza kupata mwenye kazi na kesho akawa jobless na jobless akawa na job nadhani cha kuangalia ni historia na focus ya huyo mtu
Kuna wakati nilikuwa na binti na sikuwa na kazi aligoma sana hata kunikaribia kwa vigezo vingi vya uongo mda mfupi baada ya kuwa na kazi aliongeza sana upendo ila nilishamsoma so nilimega tu kwa mda kisha nikaachana nae kazi ni sehem ya maisha leo ipo kesho haipo na kesho kutwa ipo
 
Ww kama umezalishwa au una miaka 28+ ..utakitembeza sana hakuna atakaekuoa ww..kwnz una likitambi ligagula..nani mweny akili timamu aoe shimo la taka[emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
teh teh vp mbona povu dobi nini?? naona marioo unatetea kazi yako. kutokuolewa sio kilema dogo acha ushamba
 
teh teh vp mbona povu dobi nini?? naona marioo unatetea kazi yako. kutokuolewa sio kilema dogo acha ushamba
We kigagula mi nawalisha ukoo wenu wote bila likizo ...baki na andazi lako lililochachia dukani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
 
We kigagula mi nawalisha ukoo wenu wote bila likizo ...baki na andazi lako lililochachia dukani [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji90] [emoji90] [emoji90] [emoji90]
labda kama we ni kijiko
 
espy unajua ww ni mmojawapo wa wanawake wenye hekima na busara humu. Bado nafikiri hizi comment unazotoa kwenye uzi huu haumaanishi, haupo serious.
 
espy unajua ww ni mmojawapo wa wanawake wenye hekima na busara humu. Bado nafikiri hizi comment unazotoa kwenye uzi huu haumaanishi, haupo serious.
Kwanini nisimaanishe!!!
 
watu na majibu ya NO , very interesting...
 
Kwanini nisimaanishe!!!
Kwamba huwezi kuolewa kabisa na mtu asiye na kazi?!
Kwa maana ingine pesa(kazi) ndiyo itakayokuoa? Hakuna mapenzi hapo ni pesa tu, huoni kwamba unadhalilisha utu wako?
 
Back
Top Bottom