Will you marry a jobless man? Toa maoni yako

Chukulia mfano mtu ambaye mnafahamiana vizuri na mnapendana sana vilevile unajua kabisa anatoka katika familia ya kipato cha chini kabisa. Muda wake mwingi ametumia kusoma tuchukue katumia miaka msingi kusoma tuseme miaka 18 primary hadi chuo. Na anafanya kazi hizi za pata potea(hana kazi specific) . sasa hapo huwezi kukubali akuchukue muwe pamoja kama mume na mke?

Huyo sio jobless, tayari ushasema ana kazi za pata potea. Na watu wa hivyo kutoka ni rahisi sana maana tayari mishe anazijua.
 
Kwingine ukiuliza swali kama hili hata haelewi umeuliza nini afadhali umeliuliza JF.

Sisi wamasai ukishakuwa Moran ukaweza kumaliza mafunzo yako ya porini ya kuua simba(TANAPA mtatusamehee) basi unapewa mkeo na n'gombe zako kadhaa.

Huyo mwanamke hajui jobless ni nini wala job ni nini na sio kila mmoja anapewa n'gombe wengine wanajiongeza wenyewe.
Dah! Nimecheka kwa sauti kali sana hadi workmates wamenishangaaa....ama kweli kuna wanawake hawajui mambo ya jobful na jobless men wanachojua(tangu wakiwa watoto) mashamba, mifugo na majembe yao....tayari kwa kazi...wanaosemasema maneno jobless na jobful ni hao wasiojua majembe na mapori....Nawasilishaaa
 
Huyo sio jobless, tayari ushasema ana kazi za pata potea. Na watu wa hivyo kutoka ni rahisi sana maana tayari mishe anazijua.
Huwezi kusema una kazi wakati huna sehemu maalum. Mtu wa hivyo ni jobless. Maana unaweza kukuta ankaa muda mrefu maana inatokea hamna michongo. Kwaiyo usiseme jibu ni no. Itategemeana na mazingira.
 
Sifa ya kwanza ya mwanaume awe provider(na hapa siongelei kuprovide sperm),then ndio mengine yanafuatia.
Mwenyezi mungu tusaidie plz, mbona sikuizi mmekuwa wepesi sana kusemaa mwanaume mashine(Hogo) hata kama ni provider kama hana hogo hana maana. Mungu anawaona nyie wanawake..mara nyingi wanawake ndo hua mnaolewa mkiwa jobless na mwanaume anakutafutia job na kukuinua kabisa mwisho wa siku unaishia kumtangaza kwamba anakibamia na kwamba you don't love him anymore....
 
Huwezi kusema una kazi wakati huna sehemu maalum. Mtu wa hivyo ni jobless. Maana unaweza kukuta ankaa muda mrefu maana inatokea hamna michongo. Kwaiyo usiseme jibu ni no. Itategemeana na mazingira.
Hivi nini maana ya kazi!!!!
 
Mwenyezi mungu tusaidie plz, mbona sikuizi mmekuwa wepesi sana kusemaa mwanaume mashine(Hogo) hata kama ni provider kama hana hogo hana maana. Mungu anawaona nyie wanawake..mara nyingi wanawake ndo hua mnaolewa mkiwa jobless na mwanaume anakutafutia job na kukuinua kabisa mwisho wa siku unaishia kumtangaza kwamba anakibamia na kwamba you don't love him anymore....
Oooooh kumbe!! Ndio uanaume huo. Pambaneni tu na uanaume wenu.
 
Oooooh kumbe!! Ndio uanaume huo. Pambaneni tu na uanaume wenu.
Dah! acha tupambane. Kuna yule wale wanamziki waliimba " wanaume tumeumbwa mateso kuhangaika" acha tupambane na hali zetu
 
Ndo maana mnaishia kutembea na waume za watu kwa kudhani alisimama mwenyewe...kumbe mwanamke mwenzako alichagua kumkubali mume kwa hali yake then akamsukuma kufikia ndoto zake..hata jobless ana ndoto pia!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom