Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,949
- 183,431
Wewe sasa ndio unachanganya madesa, mada imesema ni "job less" it means hana kazi yoyote hata ya kuponda kokoto. Maana mponda kokoto tayari sio job less huyo.Heko! Kuna wasichana hapa wanadhani kazi ni ile ya kudamka asubuhi kwenda kwa mkoloni afu unasubiri mwisho wa mwezi kupokea mshahara
Na kuwaza kwa niaba ya mtu ni tatizo babu, wapi kuna mtu kaongelea kwenda ofisini kwa mkoloni?