Will the real Paul Makonda please stand up?

Mnh mkuu ni hatari, wa Tanzania tunapokea habari bila kufikiri.
 
Hii ya kupewa gari na watuhumiwa wa madawa ya kulevya nayo siiamini, haiwezekani hii issue ya madawa almost igharimu kazi yake, afu apokee rushwa kutoka kwa wauzaji wa madawa, mmeshatuona watanzania vichwa vya kuku eeh
Yatasemwa mengi mno.

Mengine yatakuwa ya kweli, mengine yatakuwa na chembe za ukweli, mengine yatakuwa ni uzushi tu, na kadhalika.

Mimi kwangu siamini amini tu jambo bila kulihoji.
 
Hamna mtu anayeitwa Paul Makonda. Hili jina lilipatikana baada ya kutoka kwenye jina lililokuwa kwenye cheti ambacho anatuhumiwa kukipata kwa njia isiyo halali.
 

RC Makonda ni kijana shupavu kabisa x1000 ya nyie mnaojificha nyuma ya ID fake. Amediriki kuwataja "non-touchables" jadharani.

Mbona viongozi wenu hawajamfikishi mahakamani kwa tuhuma za mitandaoni au nao wanamwogopa!
 



Ur getting sick sababu unapishana na concious yako kusema vitu ambavyo huviamini
 
Well, hata akili ya kawaida inahoji pia kuwa ni kweli huyo mtu yupo au hayupo?
Mimi najiuliza pia huyo makonda original hana watu waliosoma nae?
Waliosoma nae primary wote wamekufa au wote wanaogopa?
Waliosoma nae secondary wote wamekufa au wanaogopa?
Majirani wote wa Makonda original wamekufa na wanaogopa?
Waliompa data Ngwajima mbona hawampi hata picha ya paul Makonda original..
Kwa misingi hii case iliyofunguliwa itatupiliwa mbali asubuhi tuu...
 


Maajabu sana kwa kweli.
 
Akina nani hao waliobiwa magari na wako kimya?
 
RC Makonda ni kijana shupavu kabisa x1000 ya nyie mnaojificha nyuma ya ID fake. Amediriki kuwataja "non-touchables" jadharani.

Mbona viongozi wenu hawajamfikishi mahakamani kwa tuhuma za mitandaoni au nao wanamwogopa!

Non-what now? Smh!

Unaelewa hata knachojadiliwa kweli? Viongozi wetu hao ni kina nani?
 
Ngabu ameuliza maswali rahisi sana real Makonda yuko wapi?
Namimi nauliza waliosoma nae primary na secondary wako wapi? wote wanaogopa na kama wanaogopa hizo data zingine ngwajima alizipata vipi?
 
Polisi wachukue vyeti vya makonda na kuvipeleka kukaguliwa kwa sab ya tuhuma za gwajima kutoka kanisani
 
Hujasikia ya meya wa ubungo kutumia sijui 'private prosecution' kuwa atapeleka shauri mahakamani?

Eniwei mi ni kilaza tu so sijui zaidi ya nilivyosikia hivyo.
Wewe siyo kilaza. Katika ubinadamu wako, ulimwamini mtu ambaye pengine hastahili. Pole sana Mkuu.

Mimi, personally, sikutegemea corruption of such scale katika awamu hii kwa mtu ambaye yuko karibu na Rais.

Mathalani, hatua zingechukuliwa mapema, mengi yasinge ibuliwa. Makonda angebakia kuwa hero katika kumbukumbu zetu.
 
Mkuu umeuliza maswali muhimu sana, ambayo wengi hawataki kujiuliza Kwasababu wamekaa ki ubuyu ubuyu (umbea).
 
Asipokanusha anakuwa na hatia?
 
Unategemea Tanzania hii atajitokeza mtu aseme ndio Paul?swali lingine ni wanafunzi na walimu wa Pamba na Kolomije waliosoma na Paul wako wapi?nasikia kuna ambao wamejitolea kuthibitisha lakin ni mahakamani tu kama mashahidi na sio kwenye media
Good
 
mkuu, huyo PM halisi kujitokeza ni sawa na wewe kuambiwa (this minute, this moment, right bloody now) ku-surrender green card yako. je, unaweza mkuu (I mean like now now?)? uwe mkweli mkuu!
PM halisi kujitokeza, lakini anaweza kutafutwa. Kama watu wameweza kwenda hadi kijiji alipo zaliwa 'Bashite',watashindwa kumpata PM halisi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…