KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,886
- 40,068
Naona umeninukuu vibaya ila nimeona ulichoandika kuhusu wale birthers.
Hapo kuna tofauti kidogo.
Hao birthers sikuwahi kuwasikia hata siku moja wakidai wanacho cheti cha kuzaliwa cha Obama ambacho kinaonyesha alizaliwa Kakamega au kwingineko huko Kenya.
Au waliwahi kudai hivyo?
Licha ya hivyo, unajua ilimchukua muda gani Obama kukionyesha cheti chake?
Mimi pia nataka kuviona hivyo vyeti vya Makonda.
Kama yeye mwenyewe hataki kutuonyesha, na madhali kama Gwajima anasema yeye anavyo ofisini kwake.
Kwa nini sasa Gwajima asituonyeshe tu yeye mwenyewe kuliko kumsubiri Makonda?
Wewe bwana mdogo acha uj.inga....hata kama asipojitokeza unafikiri angekuwepo nyie mungekosa hata picha yake na kutupia humu kuwa ni flani na mtoto wa flani mzaliwa wa mahala flani.....dah msitufanye sisi sio watotoHIV kWa akili tu ya kawaida huyo makonda halisi anaweza kujitokeza?
Ataanzia wapi kwa mfano, hata walio karibu yake hakuna wakufumbua mdomo wake kusema chochote,
Maisha matamu bwana, nadhan unaelewa nn naamanisha hapa
Bashite na gwajima tuwashupalie watwambie, km hawwwezi basi wakate ndimi zao
Well, meya wa Ubungo kwa kushirikiana na wasoma majiniasi akina Kibatala and co. wataenda mahakamani.
Hicho ndicho nilichosikia.
Mbona unapenda kutumia neno kujitoa ufahamu...???....ina maana wewe mtu mliyetofautiana naye mitazamo basi amerukwa na fahamu......!???
Huamini katika mawazo huru au mawazo kinzani.....!!??
Au unaongozwa na mahaba na huna mawazo huru.....
Mbona unaongelea mambo ambayo hayajatokea.....!!??
Ina maana wakina Lissu au Gwajima walishalipeleka hili shauri polisi....na ikashindikana kulipeleka mahakamani.....!!??
Kwanini wasilipeke kwanza alafu tuone ikishindikana...!??
Sitaki kusikia kuwa na wewe umekuwa mtumwa wa porojo za wanasiasa kwamba unameza kila kitokacho kinywani mwa mwanasiasa pasi na kutumia akili yako kuchuja.....!!!
Mi nadhani wanaelewa ila wanachimba ushahidi zaidi ili kwa walionao wakasirike watoe...pia kuongelewa zaidi kwa ishu hii inafanya isisahaulike hadi tupate mujibu kwa wahusika.Uzuri wa wabongo design yako na Ngabu mnajifanya hamjui kinachoendelea mtaani kuhusu vyeti;sasa Paul akashitaki kwamba alimpa mtu cheti?kwani kuna sehemu imeelezwa Paul hakutoa vyeti kwa hiari?
According to Gwajima, kuna Daudi Albert BashiteHakuna Paul Makonda kwa mujibu wa hii habari ukiifuatilia. Paul Makonda ni fictional Frankestein monster aliyeungwaungwa na Daudi Bashite.
The Boss
Naona umeninukuu vibaya ila nimeona ulichoandika kuhusu wale birthers.
Hapo kuna tofauti kidogo.
Hao birthers sikuwahi kuwasikia hata siku moja wakidai wanacho cheti cha kuzaliwa cha Obama ambacho kinaonyesha alizaliwa Kakamega au kwingineko huko Kenya.
Au waliwahi kudai hivyo?
Licha ya hivyo, unajua ilimchukua muda gani Obama kukionyesha cheti chake?
Mimi pia nataka kuviona hivyo vyeti vya Makonda.
Kama yeye mwenyewe hataki kutuonyesha, na madhali kama Gwajima anasema yeye anavyo ofisini kwake.
Kwa nini sasa Gwajima asituonyeshe tu yeye mwenyewe kuliko kumsubiri Makonda?
Kujitoa ufahamu ni kukataa ukweli ulio wazi
mtu yoyote Tanzania ambae amewahi kwenda mahakamani na polisi
anajua jinsi ilivyo ngumu huko kupata tu haki yako achilia mbali kufungua shauri lenye siasa ndani yake
Hakuna mtanzania ambae hajui jinsi ilivyo 'risk' kufika tu polisi na kujitambulisha unamfungulia mashtaka
mkuu wa mkoa.......
Sasa kama hayo yote yanajulikana ukisikia mtu anakwambia kwa nini usiende police unajiuliza huyu
anamaanisha au anajitoa tu ufahamu?
police ipi?hii ya Tanzania inayobambikia watu kesi?
Police hii ambayo wanajua kabisa sheria inasema mtu apelekwe mahakamani ndani ya masaa 24
baada ya kukamatwa lakini wanamshikilia mtu maarufu na tajiri na diwani wa chama tawala kwa siku 20
bila kumpeleka mahakamani...uende wewe ambae ni no body nchi hii eti unamshtaki mkuu wa mkoa
are you serious au ndo unajitoa ufahamu?
kusoma hujui picha huioni?
Nikujulishe Ukweli ni kwamba, Gwajima ameamua kuzua hoja ambayo kwa mtu mwenye akili timamu hana haja ya kusumbuka na Uzushi huu wa kipuuzi, kwa sababu zifuatazo;In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Kwa sababu hiyo unataka kusema hakuna waliowahi kupata haki zao mahakamani......!!??
Kwa hiyo unashauri sisi wanyonge hatupaswi kutafuta haki zetu....kwa kuwa hatuwezi kupata haki huko.....???!!
Una kitu too personal na Gwajima
sasa unageuza hii ishu nzima ya vyeti kama ilianzishwa na Gwajima
binafsi jina la Daudi Bashite nimelisikia hapa JF first zaidi ya miaka miwili
likihusishwa na Paul Makonda.......
Sasa kama tuhuma hizi zote zinakua hazina maana simply sababu Gwajima alizidandia na kuzipigia kelele zaidi
basi hilo ni tatizo lako......
Gwajima anaweza kabisa kuwa muongo ana bluff tu ..but haiondoi ukweli wa 'kuwepo hizi tuhuma'
na ukweli kuwa hazijajibiwa inavyo stahili
na wa kujibu ni Makonda himself au waliemuweka hapo kama RC..
In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Hii post na maswali yako yameshusha hadhi yako, maana hayo maswali yako yamejibiwa kwenye mijadala mingi sana mtandaoni na magazetini.In the interest of full disclosure, mimi sijui chochote kile cha ziada kuhusu hili sakata la vyeti vya mkuu wa mkoa wa Dar zaidi ya hiki ninachokisoma kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vinginevyo vya habari.
Lakini nikiwa mtu mwenye akili zangu timamu [well, naamini wapo wataobisha kuwa nina akili timamu, it's all good] nina maswali mepesi sana lakini ambayo naona kama vile hayana majibu kamili ya kueleweka.
Nimeshahoji juu ya uwezekano wa Makonda kufunguliwa mashitaka kwa manufaa ya umma. Hilo nimesikia kuna mtu au watu wanaolifanyia kazi.
Gwajima na Makonda wao naona wamegoma kabisa kutuonyesha vyeti walivyo navyo. Oh well...fine.
Sasa nije kwa huyo Paul Makonda halisi. Yaani Paul Makonda mwenyewe aliyeibiwa au aliyeuza [allegedly] huo utambulisho wake kwa Daudi Bashite.
Yeye huyo mtu yuko wapi?
Sasa hivi anatumia jina gani?
Anafanya shughuli gani?
Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?
Naamini huyo Paul Makonda halisi haishi kwenye ombwe. Naamini anaishi miongoni mwa jamii.
Sasa kweli hao watu anaoishi nao na kukutana nao hakuna hata mmoja wao aliyejitokeza mpaka hivi sasa kusema lolote?
I'm getting so sick of this bullshit.
So will the real Paul Makonda please stand up...?
I repeat, will the real Paul Makonda please stand up...?
Hakuna Paul Makonda halisi zaidi ya Mhe. RC wa Dsm. Huyo anaidaiwa kuibiwa vyeti ni Paul Christian Mayenye.
Hii post na maswali yako yameshusha hadhi yako, maana hayo maswali yako yamejibiwa kwenye mijadala mingi sana mtandaoni na magazetini.
Duh!
Leo naona hauko vizuri. Si kawaida yako kabisa. Eniwei, haina shida.
Binafsi sina tatizo na Gwajima. Ila nina maoni yangu juu yake na kanisa lake.
Lakini pia, ni ukweli mtupu kuwa Gwajima alisema kwa mdomo wake kuwa anavyo vyeti ofisini kwake.
Kwa hilo simsingizii. Kama namsingizia nionyeshe ni kivipi namsingingizia, tafadhali, na nitaomba radhi hadharani hapa hapa.
Kwa mfano wakisema nini ambacho huenda kikakuridhisha?! Btw; utajiridhisha vipi kwamba si tu wanasema ukweli lakini hawa ndio hasa ndugu wa Paul Christian?!Hivi huyo mtu hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kutupa walau usuli [background] kidogo wa huyo mtu?