KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,957
- 40,283
Unaposema inashindikana vipi makonda halisi kwenda mahakamani kumfungulia mashtaka makonda bandia huku nyuma akiwa na mawakili machachari ni sawa na Mimi ninavyojiuliza inashindikana vipi kwa makonda anayesingiziwa kufoji vyeti kujitokeza hadharani na kukiri kuwa vyeti anavyo na wala hajatumia jina la mtu .
Mi nauliza kwanini makonda hataki kuonesha cheti mpaka apelekwe Polisi kwa nguvu?
Serikali imesimamisha ajira mpya kuhakiki watumishi hewa na vyeti fake.Hiyo ya kwamba nchi imesimama kisa suala la Makonda nayo ni exaggeration.
Ni yepi hasa yalosimama?
HIV kWa akili tu ya kawaida huyo makonda halisi anaweza kujitokeza?
Ataanzia wapi kwa mfano, hata walio karibu yake hakuna wakufumbua mdomo wake kusema chochote,
Maisha matamu bwana, nadhan unaelewa nn naamanisha hapa
Bashite na gwajima tuwashupalie watwambie, km hawwwezi basi wakate ndimi zao
Paul Christian alishafungwa mdomo siku nyingi sana, yuko Tabora, ni mtangazaji wa radio
utajuaje na yeye wameshamkalia kooni, let us wait and seeAlifungwa mdomo na nani.....!!??
By the way.....
Gwajima yeye si amesema anazo nakala zote za vyeti.....sasa anasubiria nini kumuumbua ndugu Makonda....!!??
Wanaoshindwa hoja bwana viroja vyao vinastaajabisha. Wakiambiwa basi kama mnaweza kumsimamisha huyo Paul makonda ambaye dada yake wanadai yupo na ndiye aliyefanikisha kupatikana kwa cheti, wanaanza kusema hawezi kutoka, mara maisha matamu. Haya basi sawa, sasa kama hakuna ushahidi mnataka nn basi kitokee. Mleteni Paulo wa ukweli mumalize mambo la sivyo uzushi mliouziwa ghali utawavua nguo na msiaminike tena. Ule uzushi wa lowasa angalau mlisamehewa, lakini huu utawaacha uchi
Kwanini unadhani wanaotuhumu ndo wanapaswa kuthibitisha though tayari tumepata ushahidi wa kusikia na kuona baadhi ya statements kwenye social media zikimtambua Bwana Makonda kama Daudi Bashite?Wanaotuhumu ndio wanaopaswa kuthibitisha tuhuma zao.....
Nadhani hii ni kete nzuri ya kumuondoa Makonda kwenye nafasi ya ukuu wa mkoa.......
utajuaje na yeye wameshamkalia kooni, let us wait and see
Aliyesema Makonda hana cheti ni Dada mmoja anaishi marekani huyu ndio initiator gwajima alidandia tu hoja.Kwani aliyesema kuwa Makonda anatumia vyeti ni Makonda au ni Gwajima....ambaye amesema kuwa na nakala anazo....!!?
Sasa anasubiria nini kumuumbua Makonda hali ya kuwa amegoma kuonesha vyeti.....!???
THINK BIG......
Kwanini unadhani wanaotuhumu ndo wanapaswa kuthibitisha though tayari tumepata ushahidi wa kusikia na kuona baadhi ya statements kwenye social media zikimtambua Bwana Makonda kama Daudi Bashite?
Na je kwanini unadhani si jikumu la Bwana Makonda mwenyewe Kutoka hadharani na kukanusha habari zinazoendelea ukichukulia kwamba si habari za kumjenga ni za kumchafua yeye kama kiongozi wa umma?
Mbona unakwepa maswali yangu?Hao wenye hivyo vielelezo ambavyo ni halisi kwanini wasivitumie kama ushahidi....kumtia Makonda hatiani....!!??
Aliyesema Makonda hana cheti ni Dada mmoja anaishi marekani huyu ndio initiator gwajima alidandia tu hoja.
Tunaweza tusiamini sana maneno ya gwajima.lakini kiongozi ukishachafuliwa huoni kuna sababu ya kujisafisha ili usiendelee kuchafuka? Je makonda anapenda kusikia akichafuliwa kwa habari zisizo na ukweli kila siku?
Mbona unakwepa maswali yangu?
Je ni sawa kwa kiongozi wa umma kuwa kiburi na jeuri? Haya ndio maadili ya utumishi wa umma? Kwanini tusiseme Makonda hana sifa za kuwa kiongozi kwa sababu ana kiburi na jeuri?Inawezekana akawa Makonda ni kiburi na jeuri....na amegoma kuuweka ukweli bayana.....sasa kwanini hao wenye ushahidi usio na shaka wasilimalize hili swala kwenye vyombo vya sheria......???!!!!
Ina maana mtuhumiwa akikataa kutoa ushirikiano kwenye shauri lake dhidi ya wanaomtuhumu ndio anakuwa hana hatia......!!??
Kopy zinagushika cha msingi aende mahakamani watakagua kila kitu hukumu itakayotolewa kila mtu ataikubali lkn sio hukumu ya mahakama ya kanisa la ufufuo jaji mkuu gwajima mtuhumiwa wa madawa ya kulevya
Je ni sawa kwa kiongozi wa umma kuwa kiburi na jeuri? Haya ndio maadili ya utumishi wa umma? Kwanini tusiseme Makonda hana sifa za kuwa kiongozi kwa sababu ana kiburi na jeuri?
Niliwahi kuzisikia tuhuma hizi.lakini mbowe hawezi kumshtaki lowassa mahakamani. Nadhani mahakama ya mafisadi inajukumu la kumfungulia mashtaka lowassa hasa ikizingatiwa tayari Mbowe na wengine wengi kutoka CCM wanamwita lowassa ni fisadi. Sijui kama wana ushahidiUliwahi kuzisikia tuhuma zilizokuwa zinamkabili ndugu Edward Lowasa dhidi ya wakina Mbowe....!!??
Kati yao hakuna aliyewahi kwenda mahakamani kuyathibitisha hizo tuhuma.....
Lakini hii tunaambiwa na watu hao hao kuwa ndiye mtu pekee mwenye sifa zote za kuwa kiongozi wa nchi.....
Kuambiwa na watu hao hao haiondoi ukweli au uwongo kama lowassa ni fiasadi au siyo fisadi.Uliwahi kuzisikia tuhuma zilizokuwa zinamkabili ndugu Edward Lowasa dhidi ya wakina Mbowe....!!??
Kati yao hakuna aliyewahi kwenda mahakamani kuyathibitisha hizo tuhuma.....
Lakini hii tunaambiwa na watu hao hao kuwa ndiye mtu pekee mwenye sifa zote za kuwa kiongozi wa nchi.....