Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,217
- 1,706
ni watutsi......btw inavyoonekana habari toka huko ni kweli Goma now ipo chini ya Gen Bosco Ntaganda.....Ntaganda ni mtusti pure rwanda wanamsaidia kwa hali na mali......Kabila mwenyewe ni MnyaRwanda, hivyo hawezi kuwapiga Warwanda wenzie, can you imagine, Jeshi la Congo linaenda kupigana halinalogistic support ya aina yoyote unategemea nini? huwezi amini mkuu wa logistic wa Jeshi la DRC kipande cha East Congo (Nod Kivu, Sud Kivu na MAniema) ni MnyaRwanda, makamanda almost wote ni Wanyarwanda, Jeshi la Congo (FARDC) limetawaliwa na WanyaRwanda mwanzo mwisho