Kundi la M23 latangaza uongozi wake katika eneo la Kivu, hofu ya kuundwa taifa huru yaibuka

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,379
8,123
1706158733210.png
DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo.

Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani Twitter), Kiongozi wa Kisiasa wa kundi hilo, Bertrand Bisimwa amesema, maeneo yaliyopata Viongozi ni kutoka Kivu Kaskazini ambayo ni Rutshuru, Kiwanja, Rubare na Bunagana.

Ikumbukwe, M23 wamejimilikisha eneo kubwa katika Mji wa Goma licha ya kukabiliana na mashambulizi makali kutoka Vikoshi vya Jeshi la DRC. Aidha, kundi hilo limekuwa likidaiwa kupata misaada ya kivita kutoka nchi jirani ya Rwanda ingawa, Serikali ya Kagame inakanusha taarifa hizo.

==========

The M23 rebel group has appointed its own administration in areas under its control in eastern Democratic Republic of Congo, sparking concern that it plans to form a separate state.

In a statement, M23 political leader Bertrand Bisimwa said the group had appointed an administration in North Kivu's Rutshuru territory.

He added that leaders for the towns of Kiwanja, Rubare and Bunagana towns, also in North Kivu, had been appointed as well.

The rebels control a big chunk of Rutshuru and Masisi, two of the five territories that constitute North Kivu province, and are about 35km (22 miles) west of the provincial capital, Goma.

In recent days, the Congolese military has launched extensive drones attacks in areas controlled M23.

On Wednesday the group's spokesperson said its fighters shot down one of three drones used by the army.

The BBC has not independently verified this claim, nor has the army commented on it.

Congolese social media users have been reacting to the M23 appointing its own administration in North Kivu.

Some see it as the start of a move to form a separate state in eastern Congo, while M23 sympathisers say it is the group's right to govern the areas it controls.

BBC
 
Ni njia ya kutaka majadiliano na serikali ya Congo na SADC. Ili majeshi ya SADC yasiwashambilie
 
basi serikali ya congo ni mikia, kama waasi wanajitawalia maeneo na mnashindwa kumamaliza, basi hamna serikali hapo, hamna jeshi hapo, kuna siku watafika KINSHASA WAPINDUE NCHI
Mkuu mimi naamini hivyo vikundi vya waasi vinadhaminiwa na mataifa makubwa. Congo kuna mali nyingi sana hiyo ni divide and rule, sehemu yenye resistance hivyo lazima watumie hizo mbinu.
Yaani wewe fikiria Kwanini ni congo tu?
 
DR CONGO: Kundi la Waasi la M23 limeripotiwa kutangaza Uteuzi wa Uongozi wake katika maeneo yaliyopo chini ya udhibiti wake huko Mashariki mwa DRC, hali inayodaiwa kuzua wasiwasi kwamba linapanga kuunda Taifa huru katika eneo hilo.

Kupitia taarifa yake iliyochapishwa katika Mtandao wa X (zamani Twitter), Kiongozi wa Kisiasa wa kundi hilo, Bertrand Bisimwa amesema, maeneo yaliyopata Viongozi ni kutoka Kivu Kaskazini ambayo ni Rutshuru, Kiwanja, Rubare na Bunagana.

Ikumbukwe, M23 wamejimilikisha eneo kubwa katika Mji wa Goma licha ya kukabiliana na mashambulizi makali kutoka Vikoshi vya Jeshi la DRC. Aidha, kundi hilo limekuwa likidaiwa kupata misaada ya kivita kutoka nchi jirani ya Rwanda ingawa, Serikali ya Kagame inakanusha taarifa hizo.

==========

The M23 rebel group has appointed its own administration in areas under its control in eastern Democratic Republic of Congo, sparking concern that it plans to form a separate state.

In a statement, M23 political leader Bertrand Bisimwa said the group had appointed an administration in North Kivu's Rutshuru territory.

He added that leaders for the towns of Kiwanja, Rubare and Bunagana towns, also in North Kivu, had been appointed as well.

The rebels control a big chunk of Rutshuru and Masisi, two of the five territories that constitute North Kivu province, and are about 35km (22 miles) west of the provincial capital, Goma.

In recent days, the Congolese military has launched extensive drones attacks in areas controlled M23.

On Wednesday the group's spokesperson said its fighters shot down one of three drones used by the army.

The BBC has not independently verified this claim, nor has the army commented on it.

Congolese social media users have been reacting to the M23 appointing its own administration in North Kivu.

Some see it as the start of a move to form a separate state in eastern Congo, while M23 sympathisers say it is the group's right to govern the areas it controls.

BBC
Tshikedi anaongoza serikali dhaifu mno, inayoshindwa kulinda ardhi yake.
 
Back
Top Bottom