Ripoti: Watoto 78,000 wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na Machafuko nchini DRC

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120

1707637373618.png
DR-CONGO: Ripoti ya Shirika la Misaada ya Kibinadamu la #SaveTheChildren imeonesha takriban Watoto 78,000 wamelazimishwa kuondoka katika makazi yao katika kipindi cha wiki chache zilizopita huku sababu ikitajwa kuwa ni mapigano kati ya Waasi wa M23 na Vikosi vya Jeshi la DRC.

Imeelezwa kuwa tangu Februari 2, 2024, mapigano hayo yamesababisha zaidi ya Watu 150,000 ambapo zaidi ya nusu ni Watoto walianza kuondoka katika maeneo yanayopiganiwa na kuelekea Goma, Kaskazini mwa mji wa Kivu.

Ripoti imeongeza kuwa, Wazazi wengi wameripoti kupotelewa na Watoto wao kutokana na mkanganyiko uliotokana na Vita huku wakizitaka Mamlaka kuchukua hatua ya kuwaepusha Watoto dhidi ya athari za mapigano hayo.

Aidha kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa (UN), hadi kufikia mwaka 2023, zaidi ya Watu Milioni 6.9 wameripotiwa kuyakimbia makazi yao kutokana na Mapigano ya M23 na Serikali.

============

Around 78,000 children have been forced to flee their homes in the past week due to escalating violence in eastern Democratic Republic of Congo, with thousands now on the road to Goma, the capital of the North Kivu province, Save the Children said on Thursday.

Renewed fighting between the Congolese army and M23 rebels has displaced at least 150,000 people, more than half of them children, since Feb. 2, the humanitarian group said in a statement.

“It is imperative to act with urgency and determination to break the cycle of suffering of these innocent lives,” it said.

“Parents have reported that many children have been separated in the violence, although the number of lost children remains unknown.”

The global charity decried the use of artillery, drones, and explosives which it said are killing and injuring civilians and damaging and destroying essential infrastructure.

“The rights and well-being of children in the DRC must be a priority. They cannot continue to be caught in the crossfire, "it said.

It called for stronger and more coherent systems to hold perpetrators of crimes affecting children to account.

Clashes erupted in the past week between M23 rebels and the Congolese army in the North Kivu province, forcing thousands of citizens to flee their homes this week to Goma.

Kinshasa accuses neighboring Rwanda Kigali of backing M23 rebels since its resurgence in November 2021, a charge it denies.
 
Back
Top Bottom