Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Once again Eastern Congo is flared up again as rebels move toward Goma. What if this Eastern City falls? what would it mean for Kinshasa?

...Ni aibu kwa Wakongo kuwa na Serikali na jeshi dhaifu kiasi hicho takribani sasa miaka 15 baada ya Mobutu, Kabila ameshinda na ni busara tu akitolewa madarakani...
....Ata wakijitetea kuwa M23 wanasaidiwa na Rwanda bado hiyo haiondoi ukweli kweli wao ni dhaifu mno, hivi jinchi kubwa kama Kongo linalialia kupigwa na kanchi kadogo ka Rwanda?shame..
Mkuu kwa nini uingilie internal affairs of sovereign state!,this is strickly prohibited by international laws!Hii ipo Aljazeera.com/english kama breaking news mchana huu....Hawa rebels mbona naona kama wanachekewa na nchi za maziwa makuu!. Tanzania si ilisema inaenda kuwatoa kule..nini kinaendelea wadau?
Hii ipo Aljazeera.com/english kama breaking news mchana huu....Hawa rebels mbona naona kama wanachekewa na nchi za maziwa makuu!. Tanzania si ilisema inaenda kuwatoa kule..nini kinaendelea wadau?
Mkuu kwa nini uingilie internal affairs of sovereign state!,this is strickly prohibited by international laws!
O.k kama ni azimio la umoja wa mataifa basi hakuna tatizo!nimekusoma mkuu nashukuru kwa ufafanuzi!Tanzania si kwamba iliingilia mambo ya ndani ya nchi mkuu. Lilikuwa ni azimio la nchi zote za maziwa makuu. Tanzania nakumbuka iliombwa iende na AU walisema watatoa fund. Sasa labda fund imechelewa au kuna jambo lingine.