Will the Kabila Government Fall as rebels move toward Goma ?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Once again Eastern Congo is flared up again as rebels move toward Goma. What if this Eastern City falls? what would it mean for Kinshasa?
 
Col. BOSCO NTAGANDA ana nguvu kubwa sana ni zaidi ya ile ya Gen. Laurent Nkunda
upo uwezekano mkubwa WAASI WA M23 wakaiangusha serikali ya Rais JOSEPH ADREANO KRISTOFA KANAMBE a.k.a KABILA
but let us wait TIME WILL TELL
 
Sio rahisi kivile...Na mdau pale umchanganya madesa....hii si operation ya kutamfuta Konye soma vizuri hizi ni habari mbili tofauti. Tatizo hapa liko kubwa sana...kabila baba ndio alianza nao....wakati wanampa support ya kuingia ikulu walitegemea kwamba wangegawana madaraka na serikali ya rwanda...kumbe kabila baba yeye hilo hakuliwaza hata kidogo... Baada ya kuingia madarakani akawatosa wote...sasa toka wakati huo serikali za rwanda na uganda ambao walikuwa bega kwa bega hawaelewi kabisa....kivipi na wao wasipate mali katika li nchi kubwa kama hili....refer kwenye clip ya murder in kinshasa walio toa Aljezirah early mwaka huu.
 
Once again Eastern Congo is flared up again as rebels move toward Goma. What if this Eastern City falls? what would it mean for Kinshasa?

sio Siri kuwa Rwanda wanaisupport M23, Jeshi la Congo liliwasambaratisha M23 kama wiki hivi imepita, na Askari karibu 100 wa M23 waliuwawa, na waliobakia wakakimbilia Rwanda, na ndipo serikali ya Rwanda ilipotuma jeshi kubwa kuwarudisha FARDC ndani ya Congo na M23 pamoja na Jeshi la Rwanda kufanikiwa kuingia Goma,

Sidhani kama M23 wataweza kuiangusha serikali ya Kabila
 
What if his government falls? Ni puppet wa nani tena yule jamaa? Hivi alishinda kihalali ule uchaguzi? Tatizo naona kama limetengenezwa kwa kutokuwa tayari kuheshimu demokrasia
 
Once again Eastern Congo is flared up again as rebels move toward Goma. What if this Eastern City falls? what would it mean for Kinshasa?

Mwanakiji hilo halitatokea , wakubwa kwa maana ya ulaya na marekani sasa wamewageuka rwanda na uganda, leo uingereza saa 9.30 alasiri kwa saa za uingereza kumeletwa specific question ndani ya bunge la makabwela kuhusina na hiyo ishu ya M13 na serikali ya Uinengereza inajiandaa kumsaidia kabila na kwa kuanza wamesimamisha misaada kwa rwanda na uganda. wazungu ni hatari na kabila ameweza kucheza na akili zao sasa kabila kamtema kagame baada ya ndoa yao ya miaka mingi, ndio sababu kakataa mwito wa M13 kusistisha mapigano.
 
Nilijua mta jump kumwingiza kagame kwenye hii issue,kabila na wapuuzi wenzake wa kinshasa wameshindwa kuongoza nchi unataka kuwafukuza wananchi wako kwa madai sio Congolese huku wakiwa hapo for hundrelds of years na sasa nasikia askari wa Congo wameanza kupiga mabomu upande wa Rwanda...naona wanataka kumburuza Kagame aingie vitani kwa nguvu ili waseme we told you,hizi game za kifala zitawatokea puani, Rwanda hawana mchezo watawanyuka mpaka kinshasa
 
We koba na watutsi wenzako acheni upunguani kwa kujifanya mnataka kuanzisha HIMA EMPIRE
 
Hii ipo Aljazeera.com/english kama breaking news mchana huu....Hawa rebels mbona naona kama wanachekewa na nchi za maziwa makuu!. Tanzania si ilisema inaenda kuwatoa kule..nini kinaendelea wadau?
 
Actually Goma yote iko chini ya M23, Jeshi la Serikali ya Congo (FARDC) limeshindwa kabisa kupambana na hawa jamaa ambao wanapewa nguvu na Serikali ya Rwanda
 
...Ni aibu kwa Wakongo kuwa na Serikali na jeshi dhaifu kiasi hicho takribani sasa miaka 15 baada ya Mobutu, Kabila ameshindwa na ni busara tu akitolewa madarakani...

....Ata wakijitetea kuwa M23 wanasaidiwa na Rwanda bado hiyo haiondoi ukweli kweli wao ni dhaifu mno, hivi jinchi kubwa kama Kongo linalialia kupigwa na kanchi kadogo ka Rwanda?shame..
 
...Ni aibu kwa Wakongo kuwa na Serikali na jeshi dhaifu kiasi hicho takribani sasa miaka 15 baada ya Mobutu, Kabila ameshinda na ni busara tu akitolewa madarakani...

....Ata wakijitetea kuwa M23 wanasaidiwa na Rwanda bado hiyo haiondoi ukweli kweli wao ni dhaifu mno, hivi jinchi kubwa kama Kongo linalialia kupigwa na kanchi kadogo ka Rwanda?shame..

Kabila mwenyewe ni MnyaRwanda, hivyo hawezi kuwapiga Warwanda wenzie, can you imagine, Jeshi la Congo linaenda kupigana halinalogistic support ya aina yoyote unategemea nini? huwezi amini mkuu wa logistic wa Jeshi la DRC kipande cha East Congo (Nod Kivu, Sud Kivu na MAniema) ni MnyaRwanda, makamanda almost wote ni Wanyarwanda, Jeshi la Congo (FARDC) limetawaliwa na WanyaRwanda mwanzo mwisho
 
ninachoshangaa hata siku moja sijawahi sikia rais JOS KABILA Akitembelea majimbo ya KIVU au GOMA!yeye anakula bata kinsh
 
Hii ipo Aljazeera.com/english kama breaking news mchana huu....Hawa rebels mbona naona kama wanachekewa na nchi za maziwa makuu!. Tanzania si ilisema inaenda kuwatoa kule..nini kinaendelea wadau?
Mkuu kwa nini uingilie internal affairs of sovereign state!,this is strickly prohibited by international laws!
 
Hii ipo Aljazeera.com/english kama breaking news mchana huu....Hawa rebels mbona naona kama wanachekewa na nchi za maziwa makuu!. Tanzania si ilisema inaenda kuwatoa kule..nini kinaendelea wadau?

wanakuaje rebels wakati ni UN, Uganda na Rwanda??

is UN now a rebel organization??
 
Mkuu kwa nini uingilie internal affairs of sovereign state!,this is strickly prohibited by international laws!

Tanzania si kwamba iliingilia mambo ya ndani ya nchi mkuu. Lilikuwa ni azimio la nchi zote za maziwa makuu. Tanzania nakumbuka iliombwa iende na AU walisema watatoa fund. Sasa labda fund imechelewa au kuna jambo lingine.
 
O.k kama ni azimio la umoja wa mataifa basi hakuna tatizo!nimekusoma mkuu nashukuru kwa ufafanuzi!
 
Back
Top Bottom