Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

Thanks ,kama Kwa kuwa kwangu muislam Mimi ni gaidi,je what if Kwa wewe kuwa kwako mkristo nikikuta kuwa ni Shoga au lesbian,itasound good??
Uongozi wa Juu wa CCM juzi ulikuwa Vatican

Mwenyekiti, Katibu mkuu na Wajumbe wengine wa Halmashauri kuu akina Aziz nk

Tunakumbushana tu 😀
 
Kauli hiyo haitawafurahisha chadema,ila itampendeza Wilbroad Slaa,na wote wapo pamoja wakiandamana Kwa sababu ya kutaka demokrasia,I will never understand politics of this society...
Hata mke na mume mara moja wanaweza kuwa maadui na siku nyingine wakawa marafiki. Shida ya wote hukutanisha na kupatanisha watu. Sasa tatizo ni nini watu kukutana kwenye shida moja. Na wakiungana shida ni nini?
 
Haina shida,tatizo ni kwamba hapo awali ndoa ilivunjika Kwa press conference,ila Kwa Sasa ndoa imerudi kimya kimya ndiyo tunauliza wanawafanya watanzania wajinga?
 
Friends and Our Enemies,

Sote tuna Kumbuka namna ambavyo Padre wilbroad slaa alivyokihama chama Hiko Cha chadema Kwa mbwembwe na mikogo na kusema kwamba Hawezi kukaa meza Moja na Fisadi Papa ambae by that time alikuwa anamaamisha ni marehem Lowasa.

Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.

Padre Slaa,akawakimbia chadema na kusema kwamba hatajihusisha na shughuli za siasa Kwa chama chochote.

Katika Hali ya kushangaza Wilbroad slaa akaonekana kuwa partner mkubwa na RAFIKI wa mwendazake kiasi Cha kufikia hatua ya kupewa ubalozi wa Canada.

Wilbroad Slaa aliuchukua ubalozi na kuwahakikishia chadema na wapinzani kuwa hatogeuka nyuma na hata pale ambapo viongozi wa Chadema walipokamatwa na serikali ya mwendazake na kufungwa alisema kuwa kwenye suala la ugaidi viongozi wao wanahusika pia.

Soo baada ya mwendazake kwendazake na Mh Samia Suluhu kushika Dola,kazi hiyo ya ubalozi baada ya kustaafu wilbroad slaa hakupewa nafasi kwenye Regime ya Samia Hali iliyopelekea yeye kuwa ni mfa Njaa na mwenye kutapa tapa asijue wapi Kwa kushika,wapinzani alishawasaliti na CCM hawakuwahi kumkubali.

Lilipokuja Sakata la DP World Wilbroad Slaa akaibuka mafichoni kuanza kuimba ngonjera ile Kwa kutumia platform ya wanaharakati i.e Mwabukusi na Mdude,Hali ambayo ilimfanya taratibu taratibu aaanze kujipenyeza na kurudi machoni mwa WATANZIA ambao alishawaambia kuwa yeye na siasa bye bye.

Cha kushangaza,hivi Sasa Wilbroad Slaa amejiingiza kwenye harakati za siasa za chadema na kuonekana kila kwenye maandamano ya chadema huku akiimba slogans za people's power na katiba mpya.

Ni ukweli uso na shaka kuwa Wilbroad Slaa na Chadema ndoa Yao imerejea,lakini swali ni kwamba lini wameliweka wazi suala la kuunganisha nguvu wawili wao?na sababu za msingi ni zipi??

Wilbroad Slaa anaonesha wazi wazi ni mstaafu aliekula fedha zake za mafao hadi pensheni kiasi Cha kufikia kutanga Tanga na kukosa uhakika wa maisha.

CHADEMA na Wilbroad Slaa mnadhani watanzania ni wajinga wa kuwaonesha dharau za kiwango Hiko??
Kwani Lowasa bado yupo chadema?
Na unakasirika Dr Slaa kuwa miongoni mwa watu wanaotetea maslahi ya nchi?
Kesi ya ugaidi ilikuwa ni serikali ya JPM au Samia?
Mwacheni Dr Slaa afanye kazi zake za kutusemea watanzania, kama ulivyomuona kwenye sakata la bandari
Na isitoshe chadema na viongozi wake waamekubali uwepo wake, sasa wewe unawashwa na nini?
 
Nikasirike Slaa kuwa chadema? hujaelewa kinachozungumzwa,Slaa aliondoka chadema Kwa mbwembwe na Press conference,Leo anarudi kimya kimya Kwa mgongo wa maslahi ya TAIFA,wakati yupo na mwendazake huku chadema wakiozea jela na wengine kukimbia Nchi why alikuwa hasemi chochote?
 
Kwa kumshikirisha Wilbroad Slaa kwenye harakati Zao za maandamano,hayo maandamano yanacease kuwa Demonstrations,it turn out to be a picnic...!
 
Slaa aliweka wazi wazi kwamba hakushiriki dhambi hiyo la kumkaribisha mwizi na mla rushwa kwenye chama Cha chadema na kwamba yeye hawezi kula matapishi Yale aliyotapika kipjndi kile pale mwembe yanga kuwa katika ile list of shame,Lowasa alikuwa ndie kinara wao.

Acha kupotosha. Lowasa hakuwa Kinara kwenye list of shame ...... Hata Kikwete na Mkapa walikuwemo kwenye list. Ila CCM na media zake walimvalia njuga Lowasa kwa kuwa hawakutaka apokee kijiti.

CCM walimtukana sana Lowasa alipohamia CDM .... ila aliporudi wakamkaribisha Nyumbani. Same kwa Sumaye, Nyarandu .... the list goes on. Sasa kama CDM wataamua kumkaribisha nyumbani, kuna shida gani!?

Nevertheless, Slaa keshasema wazi anawakilisha SAUTI YA WATANZANIA .... na Maandamano ya CDM ni kwa ajili ya Watatnzania wote. Lowasa kaamua kuwaunga mkono CDM kwa hili ... wewe tatizo lako liko wapi!?
 
Utueleze Sasa kamanda,Padre Mzinzi Wilbroad Slaa anafanya Nini kwenye maandamano ya chama Cha chadema na yeye alishatangaza kuwakimbia??unadhani kama Mwendazake angekuwa yupo hai je Wilbroad Slaa angeshiriki nao Chadema??

Mind you hata hayo maandamano mwendazake alipiga marufuku na nyinyi hakuna yeyote aliekathubutu kufanya chochote zaidi zaidi ya kufia jela na kukimbia Nchi.
Huna hoja zaidi ya kutukana watu!
 
Acha kupotosha. Lowasa hakuwa Kinara kwenye list of shame ...... Hata Kikwete na Mkapa walikuwemo kwenye list. Ila CCM na media zake walimvalia njuga Lowasa kwa kuwa hawakutaka apokee kijiti.

CCM walimtukana sana Lowasa alipohamia CDM .... ila aliporudi wakamkaribisha Nyumbani. Same kwa Sumaye, Nyarandu .... the list goes on. Sasa kama CDM wataamua kumkaribisha nyumbani, kuna shida gani!?

Nevertheless, Slaa keshasema wazi anawakilisha SAUTI YA WATANZANIA .... na Maandamano ya CDM ni kwa ajili ya Watatnzania wote. Lowasa kaamua kuwaunga mkono CDM kwa hili ... wewe tatizo lako liko wapi!?
What the hell is Saut ya watanzania?

And why hiyo Saut ya Watanzania iwe affiliated only with chadema and not other political parties?
 
Nauliza maswali ambayo of course Majibu ninayo na wewe pia unayo,simple questions...

Let's us continue comrade,kama Wilbroad Slaa alifikia hatua ya kukubali kuchukua pesa ya CCM na kuwakana chadema akatimkia zake Canada,then akaupokea ubalozi wa mwendazake kipindi ambacho wenzake walikuwa jela na wengine uhamishoni,kipi kinawafanya chadema wampe Imani kuwa Wilbroad Slaa ni mshirika wa kweli kwenye kupigania maslahi ya watanzania na demokrasia ya kweli??
Hivi unafikiri Slaa anaweza kuaminiwa tena kushirikishwa mambo ya ndani ya Chadema? Sasa hivi ni undugu wa nazi kukutana kwenye tenga tu si zaidi ya hapo.
 
Hivi unafikiri Slaa anaweza kuaminiwa tena kushirikishwa mambo ya ndani ya Chadema? Sasa hivi ni undugu wa nazi kukutana kwenye tenga tu si zaidi ya hapo.
Well,Hilo mnalijua nyinyi Sasa,Kwa watu wengine Hiko kitu ni dharau na kashfa Kwa siasa na demokrasia ya nchi hii,kama hawalioni Hilo basi they must be so so craizy....
 
Back
Top Bottom