Napakubali sana babati na manyara kwa ujumla, nilikuwa huko January, sikubahatika kukutana na hiyo baridiHii ni hali niliokutana nayo leo asubuh wakati natoka wilaya ya babati kuja hanangView attachment 1850662
Napakubali sana babati na manyara kwa ujumla, nilikuwa huko January, sikubahatika kukutana na hiyo baridiHii ni hali niliokutana nayo leo asubuh wakati natoka wilaya ya babati kuja hanangView attachment 1850662
Hata mm nmeshangaa et same kuna baridSame inaizidi Rombo kwa baridi ?
Arusha hamna kitu, labda kwa alietoka dar akaenda arusha ila kwa alietoka Iringa au Mbeya hamna kituMikoa inayoongoza kwa baridi
-Arusha
-Mbeya
-Iringa
Usiku ni baridi, mchana upepoSo sasa ivi ni baridi same
Wambulu mafundi wa kilimo mzee, manyara kuna fursa sanaNitatembelea hapo. Hanang shughuli zao ni kilimo? Naweza pata mashamba mkuu. Say ekari 100/200 sehemu moja. Nataka nihame hili jiji
Baridi miezi sita?Kwa hanang kuanzia mwez wa 5 mpk wa 11 baridi huwa kali mchana kwa usiku
Arusha baridi inakolezwa na upepo...Mbeya hata bila upepo kitu unakisikilizia kwenye mifupa.. una vibrate...sasa huko iringa na njombe sijui pakoje sijawahi fikaArusha hamna kitu, labda kwa alietoka dar akaenda arusha ila kwa alietoka Iringa au Mbeya hamna kitu
Njombe ndo hatari kabisa [emoji119][emoji28]Arusha baridi inakolezwa na upepo...Mbeya hata bila upepo kitu unakisikilizia kwenye mifupa.. una vibrate...sasa huko iringa na njombe sijui pakoje sijawahi fika
[emoji38]Dar Kisukuru
Ngara kikikubali inakuaga balaa, fog la hatariNgara hawako nyuma sana kuna mda fog la maana linapiga kule
Wakuu bila shaka ni wazima,
Mimi ni mtu naye penda sana kitu inaitwa hali ya hewa. Kuna jamaa anatoka Makete aliwahi nisimulia baridi ya huko. Nikasema isiwe kesi nikatinga msimu wa baridi mwaka jana. Aisee ni noma. Ila jamaa wamelizoea. Kama mgeni hutakaa urudi tena. So far nimetembelea.
1. MAKETE
2. NJOMBE
3. MAKAMBAKO.
Bado MUFINDI NASIKIA NAKO SI HABA.
Hii ni nyanda za juu kusini.
Hebu tupeane update wilaya zenye baridi na linakuwa msimu upi sana.
Nawasilisha.
Usiku Arusha kuna wakati inasoma 12 japo ni mara chacheSijafika Njombe ila kama nyuzijoto huwa inasoma 14, 16 basi ni noma.
Arusha ikisemwa ina nyuzijoto 22 unasikia Njombe ipo 14, kwa hiyo wakati unasikilizia baridi Arusha unajiuliza huko Njombe kupoje?
Ila naamini kuna muda Arusha inakuwa 14, 16, ingawa in general inasemwa ipo 22.