Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

hii true kuna watumishi kibao private sectors na wa umma ,na kwenye mitandao ya kijamii wanatumia fake id za kike mi kuna mmoja alishaga niijia fb nikadhani demu kuchat chat naye akanifungukia kumbe gay kwenye kumfuatilia ni mwalimu wa secondary ,wilaya fulani tanga just imagine mwalimu shoga iyo shule itakuwaje
Sasa hivi mashoga wako kada ya Afya, hasa nurses wa kiume, jamani ni wanaliwa mnooo. Lol
 
ICD zikishajengwa Temeke, mkae mkao wa kula na kuliwa hizo wilaya nyingine za Tanzania.
 
Ushoga mpaka jeshini upo,Kuna mwanajeshi alipata ajali ya mguu akapewa ruhusa ,muda mwingi huwa namkuta viwanja anatoa ofa za bia Kwa wana.yaani yeye bia ni jtatu mpaka jtatu.ikaja kugundulika kumbe wale vijana anaowanunulia bia Kila siku ndio wanamfira(na walitoa maelezo wenyewe na ni zaidi ya mmoja) kesi ilienda mpaka kazini jamaa akasimamishwa kazi ila kiuhalisia jamaa alihamishwa mkoa mwingine ili kusafisha hadhi ya jeshi
Ushoga uko kila sehemu, kwa sasa hauepukiki, ila raha ya ushoga uwe na Elimu halafu taaluma ngumu, basi wanaume uchwara wanakua fear mnoo.
😂😂😂 very in secure. Lol
 
Temeke, Kinondoni, Unguja, Ilala, Pemba, Arusha, Nyamagana, Morogoro na Tanga.
 
Mbona wako mashoga wamesoma kozi nyingine za afya, wengine hadi Uhandisi wapo.
Yes wapo mashoga mpaka wanyanyua vyuma.

Ila unesi kwa mtoto wa kiume hapana kwa kweli.

Imekaa kikike sana hiyo kada.
 
Yes wapo mashoga mpaka wanyanyua vyuma.

Ila unesi kwa mtoto wa kiume hapana kwa kweli.

Imekaa kikike sana hiyo kada.
😂😂😂 ila Waja, kuna kozi ya kike na kiume? Lol
 
😂😂😂 ila Waja, kuna kozi ya kike na kiume? Lol
Professionally hakuna.

Lakini kuna kozi uwa zinapendelewa sana na watu wa jinsia fulani hali inayofanya hiyo kozi kuonekana kama ni ya jinsia hiyo.

Mfano unesi kwa miaka mingi imekuwa ikipendelewa zaidi na wanawake kuliko wanaume.

Kwa sasa wanaume wengi wanisoma kwa sababu ya changamoto ya ajira pia kukosa pass za juu za kusoma kozi kama udaktari na pharmacy wengi ndio wanadondokea huko kwenye unesi.
 
😂😂😂 basi sawa
 
Kama masekretari wanaume
 
Kabisa.

Mwanaume ukisomea usekretari watu wanakushangaa.

Hata maofisini mabosi hawapendelei sekretari wakiume.

Hiyo kozi ni kama imemilikiwa na wanawake.
Ni kweli hawataki. Ila mabosi wana matatizo sana, secretary wa kiume ana shida gani sasa
 
Kabisa.

Mwanaume ukisomea usekretari watu wanakushangaa.

Hata maofisini mabosi hawapendelei sekretari wakiume.

Hiyo kozi ni kama imemilikiwa na wanawake.
TRUE,kitengo kinajaa watoto wa kike unajikuta wakiume pekee
 
Alooo,kuna kaukweli hapa mana kuna fala mmoja ni mfamasia sio poa anatongoza mabodaboda wamuweke kisha anawalipa.
Sijui hiyo kada kuna nini, ni wamejaa hatari, nurses wa kiume ni wanaliwa mnoo.
Halafu sasa wanajidhalilisha kiholela, wananiudhi mnoo. Aaah.
 
Back
Top Bottom