Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

Mmesikia kilichotokea Mbomai Juu Rombo kuhusu ulevi taarifa ya habari ITV leo Jumamosi saa 2:00 usiku, wanaobisha wsendelee tu kubisha kwani hata chanjo kunawatu wanaona waliochanja damu inaganda japo waliochanjwa haigandi.
 
Mmesikia kilivhotokea Mbomai Juu Rombo kuhusu ulevi taarifa ya habari ITV leo Jumamosi saa 2:00 usiku, wanaobisha wsendelee tu kubisha kwani hata chanjo kunawatu wanaona waliochanja damu inaganda japo waliochanjwa haigandi.
Hakunaga mchaga anaekubali kuambiwa ukweli .

Achana nao na Rombo yao.
 
Mmesikia kilichotokea Mbomai Juu Rombo kuhusu ulevi taarifa ya habari ITV leo Jumamosi saa 2:00 usiku, wanaobisha wsendelee tu kubisha kwani hata chanjo kunawatu wanaona waliochanja damu inaganda japo waliochanjwa haigandi.
Hata hawasingiziwi, vitoto vidogo vimechakaa na kuzeeka kwa kunywa hizo pombe kali.
 
Halafu mnalazimisha ka moshi kaitwe jiji 😁 sasa mlevi na maendeleo wapi nawapi mzehe
 
Ulevi umekithiri kwa baadhi ya vijiji sio rombo yote
Wachaga kujifanya wote mmeendelea,post kama hizi mnatamani mzifute!
Ukweli wanawake wengi wa Rombo Chakula cha usiku wanategemea wakipate kwa wanaume wa Kenya,wanaume wa rombo pombe imemaliza kabisa nguvu za penseli zao.
 
elvischirwa na wewe Sasa hebu tueleze Mambo ya huko kwenu usweken kusini maana umeng'ang'ania sana ulevi wa Rombo.
Ulevi wa Rombo ni hatari kwani unapoteza kizazi cha warombo, wanawake ndio hutunga mimba sasa hao wanaotunga mimba wanalalamika kwamba wanalazimika kwenda Kenya kutafuta mimba! Watoto watakaozaliwa tutawaitaje? Au ndio tutumie usemi wa kitanda hakizai haramu, ndiyo sababu nimesema Rombo inakufa.
 
Shime vijana hamieni Rombo mkaoe, warombo wameshndwa kazi.Toeni tabia za wanawake wa Rombo vijana wafanye maamuzi.Inawezekana pia wanaume wameamua kunywa kutokana na tabia za wake zao.
 
Wanawake wa Rombo walikuwa waaminifu sana na kabla ya kuanza kutafuta mbegu Kenya walilalamika sana ila wanaume hawakujali wao walimkumbatia kigoli mpenzi mpya, chupa ya kijani.
 
elvischirwa na wewe Sasa hebu tueleze Mambo ya huko kwenu usweken kusini maana umeng'ang'ania sana ulevi wa Rombo.
Post hii haisemi wachaga walevi, maeneo mengi ya uchagani ni wanywaji wa kawaida na hata hao warombo zamani hawakuwa hivyo, mpaka sasa hakuna sehemu nyingine nchini inayosifika kwa ulevi uliokithiri kama Rombo.
 
Hoja yako ni nini, hoja iliyopo hapa ni ulevi uliopindukia, hakuna maendeleo ya ulevi duniani. Naona tatizo lako ni kiswahili.
Embu taja wilaya yako wewe tuifahamu.
Tulinganishe Maendeleo yake na huko Kwenye walevi .
Inawezekana huo ulevi wao unawafanya wafikirie kufanya maendeleo
 
Ingia Facebook tafuta ITV Ripoti maalum 01/09/2021 3:30 usiku , huko utapata majibu yote.
 
Mbona hutaki kutaja wilaya yako ?
Ngoja nikuulize nijue reasoning yako kuhusu maendeleo ikoje.
Ukikutana na mtu mlevi lakini ana Maendeleo makubwa na mtu ambaye sio mlevi ila masikini wa kutupa utachagua mtu gani?
 
Jibu utalikuta nilikokuelekeza, kama shida yako ni bando sema ila tozo itakuwepo.
 
Ulevi wa Rombo ni hatari kwani unapoteza kizazi cha warombo, wanawake ndio hutunga mimba sasa hao wanaotunga mimba wanalalamika kwamba wanalazimika kwenda Kenya kutafuta mimba! Watoto watakaozaliwa tutawaitaje? Au ndio tutumie usemi wa kitanda hakizai haramu, ndiyo sababu nimesema Rombo inakufa.
Lazima Kuna kitu Warombo walikufanzia. Sio kwa chuki hii
 
Back
Top Bottom