Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

Nimewahi kuitembelea wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro nilichokiona huko kinatisha, Rombo ni wilaya ambayo iko nyuma sana kimaendeleo na watu wake hawana habari yoyote ya maendeleo zaidi ya kunywa pombe!

Pombe, pombe, pombe hakuna cha mzee au mtoto hata mwanafunzi! Shule zinakosa wanafunzi kiasi cha kufikia kuunganisha shule au madarasa! Rombo hakuna makaburi! Utashangaa kuona mafuvu ya watu kwenye migomba! Ni kitu cha kawaida sana.

Nirudi kwenye ulevi, pombe nyingi za chupa zinazotengenezwa majumbani huuzwa shilingi mia tano tu na ni kali sana! Wazee kwa watoto wanazinywa sana kuanzia asubuhi mpaka usiku hakuna kufanyakazi na watu wazima wanaume nao majukumu ya kuendeleza kizazi kinawapiga chenga kiasi cha kuwafanya wake zao watafute mamluki wa kutekeleza jukumu ya kuendeleza kizazi.

Serikali iwasaidiaje, serikali iwaelimishe madhara ya pombe pamoja na kidhibiti viwanda bubu vya pombe. Nini mbadala wa pombe, serikali iwafundishe kilimo cha miparachichi ya muda mfupi tofauti na waliyonayo, ardhi ya Rombo ni nzuri kwa miparachichi.

Watalimaje, iwaweke kwenye vikundi vidogo vidogo ambavyo vitakuwa rahisi kudhibitiwa.

Ninaamini wazazi wanaume wakidhibitiwa kwenye ulevi watoto ni wazi hawatafurukuta watarudi shule.

Serikali ione kinachoendelea Rombo ambacho kimeanza kuiambukiza Marangu ni janga la taifa.
Mpumbavu wewe, hakuna makaburi eti mafuvu yako migombani baba yako na mama yako ndo walizikwa vizuri ati ee.
 
Nimesikitika mno kuona post zisizo na mashiko post zisizo eleweka post zenye chuki na kunajisi uhalisia.....

Suala la kunywa pombe ni rombo tu ndio wanakunywa?

Nimewahi tembelea wilaya moja kule Ruvuma unywaji ni umekithiri na hakuna maendeleo yeyote, kuanzia barabara, makazi elimu na vitu vingine....

Hivi kuna wilaya umewahi iona wapi kila kata ina sekondari zaidi ya mbili? Kila kata ina zahanati zaidi ya mbili? Kila kata ina shule za msingi zaidi ya nne?

Masoko kila tarafa na yayoeleweka?

Miundombinu inayoeleweka maji, umeme, barabara....

Eti, mafuvu migombani dah? Hivi unajisikiaje kuona wenzio wanahifadhi wapendwa wao sehemu wanako ishi? Hicho ndicho kinachokuuma? Na wewe wapendwa wako kawaweke shambani kwako... Huo ni utamaduni wao wakuwazika wapendwa wao migombani kwao hatuwezi kuuingilia.....

Mimi kwetu ni Dar es salaam lakini nafanyakazi kwenye hii wilaya huu mwaka wa 9 nasikitika mnoo kwa huu ujinga ulio uandika,

Suala la kunywa, ukiona watu wanakunywa maana yake mzunguko wa fedha upo wa kutosha ndio maana inatokea hivyo.... Unaposema wilaya inakufa kwasababu ya fact zako za kitoto kushindwa kutizama na kuushirikisha ubongo zaidi ya hisia zako hicho ndicho tunaita uwendawazimu
 
Pia hapo utaelewa nini jamaa anamaanisha nipo moshi ila rombo hapana mambo nimagumu, pombe nyingi zinatengenezwa hapo wakati nasoma kuna wadau walikuwa nawanasema kuna viwanda bubu 350 wilaya ya rombo tu vinavyo tengeneza pombe, pia kumbuka kuna pombe ya banana inatoka chuga karibu siku zote semi ka semi zinaelekea rombo
Selikali iliangalie hili mambo si mambo
 
Ingia Facebook tafuta ITV Ripoti maalum 01/09/2021 3:30 usiku , huko utapata majibu yote.
Wewe ndio nakuita mjinga sasa! Hivi uliona wapi CNN kuripoti tukio zuri kuhusu Africa na waafrica? Ulitegemea ITV walionda kule Rombo wangekuonyesha barabara, biashara zilizopo, shule, makazi bora ya wananchi umeme na maji siyo?

Kwahiyo umeangalia report ya ITV uka conclude Rombo yote iko hivyo?

Shame on
 
Pia hapo utaelewa nini jamaa anamaanisha nipo moshi ila rombo hapana mambo nimagumu, pombe nyingi zinatengenezwa hapo wakati nasoma kuna wadau walikuwa nawanasema kuna viwanda bubu 350 wilaya ya rombo tu vinavyo tengeneza pombe, pia kumbuka kuna pombe ya banana inatoka chuga karibu siku zote semi ka semi zinaelekea rombo
Selikali iliangalie hili mambo si mambo
Vipi kule Arusha? Mnapaonaje.... Kijenge na maeneo mengine hapo chuga kukoje?
 
Hii pia imewahi kutoka siku nyingi kwenye TV, mabaki hufukuliwa baada miaka na huwekwa kwenye migomba kama sehemu ya mila, kwani wamasai zamani walikuaje.
Hii uliona mwenyewe au ni kwenye hiyo Tv walikuwa wakionyesha? Maana sijawahi kuiona wala kusikia licha ya kukulia Rombo na kusafiri huko mara kwa mara
 
Vipi kule Arusha? Mnapaonaje.... Kijenge na maeneo mengine hapo chuga kukoje?
Arusha nikubwa ukilinganisha na moshi, kwaiyo ukiwa moshi ni lahisi sana kujua wapi pana uharibifu afu pia kwa % kubwa kilimanjaro kwa wilaya zote zinazo zunguka mlima ukiondoa same, wanakaa jamii ya watu wamoja ambao tamaduni zinaendana so kujua wapi panatatizo ni rahisi sana, kwa nini sio marangu, machame (hai) au sia na kibosho kwa nini rombo jibu unaweza pata mwenyewe
Ukija swala la arusha ni ishu nyingine kwanza nikubwa, pia imeingiliwa na jamii ya watu tofauti tofauti (mchanganyiko wa makabila ) ukilinganisha na moshi
 
Wewe ndio nakuita mjinga sasa! Hivi uliona wapi CNN kuripoti tukio zuri kuhusu Africa na waafrica? Ulitegemea ITV walionda kule Rombo wangekuonyesha barabara, biashara zilizopo, shule, makazi bora ya wananchi umeme na maji siyo?

Kwahiyo umeangalia report ya ITV uka conclude Rombo yote iko hivyo?

Shame on
Fine, mimi mjinga lakini si mlevi. Ninaongelea walevi wa Rombo ambao mimi ninawajua na nimekunywa nao pombe. Mimi ninaohusiano kuanzia Marangu mpaka Tarakea, hapo katikati ziko familia nne zinazonihusu sana pamoja na ujinga wangu. Hivi kilichotangazwa jana usiku saa mbili kuhusu walevi wa Rombo na hatua zilizochukuliwa ziliandaliwa na chuki ya CNN! Hizo ni siasa za kisoshalisti ambazo zimepitwa na wakati. Watangazaji unaosema wanaichikia Rombo bahati mbaya ni wachaga! Lakini hao wake zenu huenda na wako yumo mbona ndio waliokwenda kulalamika kwenye vyombo vya habari! Mbona jirani zenu wamarangu wanasema sana kwa ulevi wenu kiasi cha kutelekeza familia.
Mjadala huu nimeuleta ili werevu wauone na kutoa msaada wa kukukwamua wewe na walevi wenzako ili nguvu zirudi na kizazi kirudi, wenzenu wa Tanga waliokolewa kutoka kwenye madawa ya kulevya kwa kuwekewa Sober Houses.
Sijui utanitukana tena kuwa mjinga au utaleta jipya toka Kenya.
 
Huijui Rombo ww.... ni kati ya wilaya inayoongoza kwa maendeleo Kilimanjaro
 
Mila za kuabudu mizimu/mashetani kila mwaka ndiyo sababu kubwa. Watazidi kuharibikiwa sana we subiri!
 
Fine, mimi mjinga lakini si mlevi. Ninaongelea walevi wa Rombo ambao mimi ninawajua na nimekunywa nao pombe. Mimi ninaohusiano kuanzia Marangu mpaka Tarakea, hapo katikati ziko familia nne zinazonihusu sana pamoja na ujinga wangu. Hivi kilichotangazwa jana usiku saa mbili kuhusu walevi wa Rombo na hatua zilizochukuliwa ziliandaliwa na chuki ya CNN! Hizo ni siasa za kisoshalisti ambazo zimepitwa na wakati. Watangazaji unaosema wanaichikia Rombo bahati mbaya ni wachaga! Lakini hao wake zenu huenda na wako yumo mbona ndio waliokwenda kulalamika kwenye vyombo vya habari! Mbona jirani zenu wamarangu wanasema sana kwa ulevi wenu kiasi cha kutelekeza familia.
Mjadala huu nimeuleta ili werevu wauone na kutoa msaada wa kukukwamua wewe na walevi wenzako ili nguvu zirudi na kizazi kirudi, wenzenu wa Tanga waliokolewa kutoka kwenye madawa ya kulevya kwa kuwekewa Sober Houses.
Sijui utanitukana tena kuwa mjinga au utaleta jipya toka Kenya.
Mjinga tu wewe
 
Nimesikitika mno kuona post zisizo na mashiko post zisizo eleweka post zenye chuki na kunajisi uhalisia.....

Suala la kunywa pombe ni rombo tu ndio wanakunywa?

Nimewahi tembelea wilaya moja kule Ruvuma unywaji ni umekithiri na hakuna maendeleo yeyote, kuanzia barabara, makazi elimu na vitu vingine....

Hivi kuna wilaya umewahi iona wapi kila kata ina sekondari zaidi ya mbili? Kila kata ina zahanati zaidi ya mbili? Kila kata ina shule za msingi zaidi ya nne?

Masoko kila tarafa na yayoeleweka?

Miundombinu inayoeleweka maji, umeme, barabara....

Eti, mafuvu migombani dah? Hivi unajisikiaje kuona wenzio wanahifadhi wapendwa wao sehemu wanako ishi? Hicho ndicho kinachokuuma? Na wewe wapendwa wako kawaweke shambani kwako... Huo ni utamaduni wao wakuwazika wapendwa wao migombani kwao hatuwezi kuuingilia.....

Mimi kwetu ni Dar es salaam lakini nafanyakazi kwenye hii wilaya huu mwaka wa 9 nasikitika mnoo kwa huu ujinga ulio uandika,

Suala la kunywa, ukiona watu wanakunywa maana yake mzunguko wa fedha upo wa kutosha ndio maana inatokea hivyo.... Unaposema wilaya inakufa kwasababu ya fact zako za kitoto kushindwa kutizama na kuushirikisha ubongo zaidi ya hisia zako hicho ndicho tunaita uwendawazimu
Pashapashapashapasha.........chomaaa[emoji106][emoji106][emoji106]
 
Nimewahi kuitembelea wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro nilichokiona huko kinatisha, Rombo ni wilaya ambayo iko nyuma sana kimaendeleo na watu wake hawana habari yoyote ya maendeleo zaidi ya kunywa pombe!

Pombe, pombe, pombe hakuna cha mzee au mtoto hata mwanafunzi! Shule zinakosa wanafunzi kiasi cha kufikia kuunganisha shule au madarasa! Rombo hakuna makaburi! Utashangaa kuona mafuvu ya watu kwenye migomba! Ni kitu cha kawaida sana.

Nirudi kwenye ulevi, pombe nyingi za chupa zinazotengenezwa majumbani huuzwa shilingi mia tano tu na ni kali sana! Wazee kwa watoto wanazinywa sana kuanzia asubuhi mpaka usiku hakuna kufanyakazi na watu wazima wanaume nao majukumu ya kuendeleza kizazi kinawapiga chenga kiasi cha kuwafanya wake zao watafute mamluki wa kutekeleza jukumu ya kuendeleza kizazi.

Serikali iwasaidiaje, serikali iwaelimishe madhara ya pombe pamoja na kidhibiti viwanda bubu vya pombe. Nini mbadala wa pombe, serikali iwafundishe kilimo cha miparachichi ya muda mfupi tofauti na waliyonayo, ardhi ya Rombo ni nzuri kwa miparachichi.

Watalimaje, iwaweke kwenye vikundi vidogo vidogo ambavyo vitakuwa rahisi kudhibitiwa.

Ninaamini wazazi wanaume wakidhibitiwa kwenye ulevi watoto ni wazi hawatafurukuta watarudi shule.

Serikali ione kinachoendelea Rombo ambacho kimeanza kuiambukiza Marangu ni janga la taifa.
Huijui rombo wewe kausha tu hapo kwenye ulevi wakenya wanatoka nairobi mpaka tarakea kwa ajili ya kulewa tu....
 
Mjinga tu wewe
Tatizo linalokukabiri ni umezaliwa kutokana na mbegu mbili, ya Tanzania na Kenya na mtu wa kulaumiwa ni baba yako kutokana na ulevi wake.
Mimi si chanzo cha yote mnayosemwa hata nisingekuwepo yanayosemwa yatakuwepo tu.
 
Back
Top Bottom