Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

Acha mengine tatizo la ulevi waulize wanawake wa Rombo wanaohangaika na maisha kila kukicha mikungu ya ndizi na maparachichi kichwani kupeleka sokoni, sijui kama nao ni wanasiasa.
Unajua Rombo ina brandi nyingi za pombe za chupa toka viwanda bubu.
Tulieni marioo wa marangu nyiee. Hivi kina wanaume wanaolelewa kama wamarangu?[emoji706][emoji706]
 
Eti Rombo inakufaa[emoji23][emoji23] unakatwa na majini wewe. Sisi tuko humbled tu ila munatulazimishaga.
 
Wewe mmarangu tulia. Mukipataga pa kuhemea ndo kama hivi chuki. Tutakua hatuoi dada zenu tena wanaodangadanga. Ulevi uko kila mahali. Ni vile kila mtu anatafuta mada yake apate pa kutokea.

Huoni kama kuna viwanda vingi watu ni wachapakazi kwakua rasilimali zake zinapatikana kwa urahisi kwa maana hiyo serikali ilitakiwa sasa iweke mazingira bora katika hii kitu ili ziboreshwe? Nyie marangu zaidi ya utalii kuna nini kingine?

Sisi kuna viwanda vya mbao, kuna utalii via rongai route na lake chala etc, kuna kilimo cha nyanya, vitungui, ndizo, viazi mbiringo vya west, border ya kenya, route kamili za mabasi etc. Bado vijaana wana ujasiri wa kutoka nke ya wilaya na mkoa na hata nje ya nchi kama nairobi etc kusaka noti. Nyie lazi yenu ipi kama si vijana wa kiume kuolewa ulaya? Hio habari mmeibeba sana
Utaoa wa nini wakati mkeo amekufungia geti na wewe unasema ukisha kunywa hauhitaji mwanamke! Shitukeni tokomezeni ulevi mbegu za Kenya mwisho wa siku zitazagaa. Rombo maparachichi ya kisasa yangelipa sana kwani siki hizi ndiyo biashara kuliko ukijenga na kujivunia ghorofa lisilozaa.
 
Watakuwa wamechanjiwa ulevi hao, vipi huko ndo wanakoishi wapalestina?
 
Eti Rombo inakufaa[emoji23][emoji23] unakatwa na majini wewe. Sisi tuko humbled tu ila munatulazimishaga.
Sasa wewe mbona unaonekana kama vile uliiamkia saa kumi alfajiri, mpaka sasa umeshakata ngapi?
 
Huu wote ni uongo mtupu.. maana kama ni ulevi, vijiji vyote Tanzania vinakunywa Pombe. Hivi kuna mahali watu wanapiga pombe kama mkoa wa Kagera?
Sisi kagera tumeingiaje kwenye huu uzii?


Pombe inanywewa lakin sio kiasi Cha kutokugonga wanawake [emoji23]
 
Utaoa wa nini wakati mkeo amekufungia geti na wewe unasema ukisha kunywa hauhitaji mwanamke! Shitukeni tokomezeni ulevi mbegu za Kenya mwisho wa siku zitazagaa. Rombo maparachichi ya kisasa yangelipa sana kwani siki hizi ndiyo biashara kuliko ukijenga na kujivunia ghorofa lisilozaa.
Si bora hivyo kuliko nyie munaoolewa na wazungu. Marioo... kwani kuna ubaya kuzaliana?
 
Sasa wewe mbona unaonekana kama vile uliiamkia saa kumi alfajiri, mpaka sasa umeshakata ngapi?
Wewe zako ulizokata ziko wapi mkuu. Are u ashamed of ur hussles? Mbona unakua kama kigogo wa sasa hv[emoji28]
 
Ndugu wanaweka mafuvu ya ndugu zao nyumbani kwenye migomba yao. Warombo makaburi hawayajali wala hawayatilii maanani, unaweza ukasimama chini ya mti akaja mtu kukiambia imesimama juu ya kaburi, miti ndiyo alama ya makaburi.
Kipimo chako cha maendeleo ni makaburi?? Aisee !!!
 
Kipimo chako cha maendeleo ni makaburi?? Aisee !!!
Hoja kubwa inatokana na wake zenu kulalamikaia ulevi wenu wanaume uliokithiri, jikite huko achana na wachimba makaburi wanunuliwe pombe kwanza.
 
Alcohol ndo chanzo Cha yote hayo maana ni juzi tu nimetoka kuona nakala moja ikielezea Hali ilivyo Rombo sio nzuri kabisa, Wanawake ndo watafutaji ila Wanaume ni pombe 24hrs, Serikali iangalie hili maana tusipoziba ufa tutajenga ukuta.
 
Kwa Kilimanjaro nzima hamna wilaya yenye mzunguko mzuri wa pesa Kama rombo , Rombo Ni wachapa kazi mno walevi wapo karbu nchi nzima Moshi vijijini wanaoiga Sasa iv uchapakaz wa rombo angalau watu wa Mwika kutokana na ukarbu uliopo , kidgo na Wakibosho , huko kwingne Zama zao zimepita
 
Shime vijana hamieni Rombo mkaoe, warombo wameshndwa kazi.Toeni tabia za wanawake wa Rombo vijana wafanye maamuzi.Inawezekana pia wanaume wameamua kunywa kutokana na tabia za wake zao.
Wataolewa na ndugu zao wamarngu machme kibosho na uru , wakikuyu na taita Ila sio nyie vishoia
 
Bahati mbaya haukuona kipindi cha Uchunguzi Kamili kilichorushwa na ITV jana Alhamisi saa 3:30 mpaka 4:300 usiku, usingeamini kinachoendelea Rombo, wanawake wanawalalamikia waume zao na vijana wamechakaa kiasi hawajulikani kama ni watoto au wakubwa, walimu wanalalamika utoro shuleni na makanisa yako hoi waumini wako kwenye pombe!
Kuna jamaa wangu wa karibu anatoka huko alisema hili pia. Wanaume kwisha kabisa, kiasi kwamba hata idadi wa watoto wanaobatizwa imepungua sana.
 
..Basil Mramba asilaumiwe hapa.

..alijitahidi Rombo wakajenga shule za sekondari kila kata.

..waliobaki waendeleze na kuboresha mazuri aliyoyaacha.

NB:

..kuna majimbo hapa Tz yangetamani kuwa na mbunge mchapakazi kama Basil Pesambili Mramba.
Mramba huyu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela?
 
Swala la maendeleo kwa wilaya za Tz huwez kusema rombo haijaendelea au haina maendeleo
NB': pombe wanakunywa na Maendeleo ya yanaendelea (yap0)
 
Nimewahi kuitembelea wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro nilichokiona huko kinatisha, Rombo ni wilaya ambayo iko nyuma sana kimaendeleo na watu wake hawana habari yoyote ya maendeleo zaidi ya kunywa pombe!

Pombe, pombe, pombe hakuna cha mzee au mtoto hata mwanafunzi! Shule zinakosa wanafunzi kiasi cha kufikia kuunganisha shule au madarasa! Rombo hakuna makaburi! Utashangaa kuona mafuvu ya watu kwenye migomba! Ni kitu cha kawaida sana.

Nirudi kwenye ulevi, pombe nyingi za chupa zinazotengenezwa majumbani huuzwa shilingi mia tano tu na ni kali sana! Wazee kwa watoto wanazinywa sana kuanzia asubuhi mpaka usiku hakuna kufanyakazi na watu wazima wanaume nao majukumu ya kuendeleza kizazi kinawapiga chenga kiasi cha kuwafanya wake zao watafute mamluki wa kutekeleza jukumu ya kuendeleza kizazi.

Serikali iwasaidiaje, serikali iwaelimishe madhara ya pombe pamoja na kidhibiti viwanda bubu vya pombe. Nini mbadala wa pombe, serikali iwafundishe kilimo cha miparachichi ya muda mfupi tofauti na waliyonayo, ardhi ya Rombo ni nzuri kwa miparachichi.

Watalimaje, iwaweke kwenye vikundi vidogo vidogo ambavyo vitakuwa rahisi kudhibitiwa.

Ninaamini wazazi wanaume wakidhibitiwa kwenye ulevi watoto ni wazi hawatafurukuta watarudi shule.

Serikali ione kinachoendelea Rombo ambacho kimeanza kuiambukiza Marangu ni janga la taifa.
Your negativity level is shocking
 
Back
Top Bottom