Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro inakufa

Your negativity level is shocking
Ukweli utabaki ukweli, wanawake wanalalamika, viongozi wa dini wanalalamika na viongozi wa serikali wanalalamika, Jumamosi kuna TV moja kwenye taarifa ya habari ilitangaza kwenye taarifa ya habari kuhusu walevi waliokamatwa na kutozwa faini, wewe bado tu unadai mtazamo wangu kuwa hasi! Vijana uliowaacha huko wakiwa wadogo sasa wamechakaa na wamedumaa.
Ukombozi wa Rombo ni kilimo cha parachichi za kisasa badala ya migomba na miparachichi miti.
 
Kuna jamaa wangu wa karibu anatoka huko alisema hili pia. Wanaume kwisha kabisa, kiasi kwamba hata idadi wa watoto wanaobatizwa imepungua sana.
Humu JF of GT's kuna watu badala ya kuwasaidia wenzao wabadilike wao wanjitahidi kuwapamba waendelee kuchakaa! Huku wao wako mijini wanakunywa Safari na Serengeti ambazo ndugu zao wanasema siyo kali.
 
Ukweli utabaki ukweli, wanawake wanalalamika, viongozi wa dini wanalalamika na viongozi wa serikali wanalalamika, Jumamosi kuna TV moja kwenye taarifa ya habari ilitangaza kwenye taarifa ya habari kuhusu walevi waliokamatwa na kutozwa faini, wewe bado tu unadai mtazamo wangu kuwa hasi! Vijana uliowaacha huko wakiwa wadogo sasa wamechakaa na wamedumaa.
Ukombozi wa Rombo ni kilimo cha parachichi za kisasa badala ya migomba na miparachichi miti.
Mmeangalia tv program sawa
Rombo is not a poor district ndio maana hata shida kidogo wanalia

wale warombo ungewahamishia wilaya nyingi tu leo (maybe over 100 district in this country) wangelilia kurudi rombo

if you talk about wilaya zinazokufa - hakuna wilaya yotote ya mkoa wa kilimanjaro imo

wale watu wako way ahead of time
 
Kinachokufa si wilaya bali ni kizazi kwa mujibu wa wafungishaji ndoa na wabatizaji ambao ni viongozi wa dini.
Tatizo wewe unaongelea mjini ukienda huko utajikuta uko peke yako.
 
Kinachokufa si wilaya bali ni kizazi kwa mujibu wa wafungishaji ndoa na wabatizaji ambao ni viongozi wa dini.
Tatizo wewe unaongelea mjini ukienda huko utajikuta uko peke yako.
Ndugu

nimetembea wilaya 165 za nchi hii na nafika mpaka kijijini

rombo Iko waaay better but are not happy with degradation ya tabia

at least wao wameweka bayana
 
Mramba huyu aliyewahi kuhukumiwa na kufungwa jela?

..Yes, Basil Pesambili Mramba, aliyefungwa kwa makosa ya kutoa msamaha wa kodi wa Tsh billion 11.

..ni kati wabunge bora waliotumikia jimbo la Rombo.

..Mramba alifanya kazi kubwa kuhamasisha wananchi wa Rombo.kujiletea maendeleo ikiwemo ujenzi wa sekondari za kata.
 
Kwa Kilimanjaro nzima hamna wilaya yenye mzunguko mzuri wa pesa Kama rombo , Rombo Ni wachapa kazi mno walevi wapo karbu nchi nzima Moshi vijijini wanaoiga Sasa iv uchapakaz wa rombo angalau watu wa Mwika kutokana na ukarbu uliopo , kidgo na Wakibosho , huko kwingne Zama zao zimepita
Thank you. You know better. Na huwa hawalikubaligi hili kwamba hizi wilaya zingine zama zao zimepita. Rombo kulichelewa kidogo kwasababu ya lami na basi. Lakini mbali na kwamba ilichelewa still watu walikua wanapiga mishe kama kawaida hiko custom etc
 
Ndugu

nimetembea wilaya 165 za nchi hii na nafika mpaka kijijini

rombo Iko waaay better but are not happy with degradation ya tabia

at least wao wameweka bayana
Mkuu, huyu ni mmarangu achana naye. Wamebakigi na majigambo tu na wivu.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu huna clue yoyote, anyway tukutane December.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mkuu huna clue yoyote, anyway tukutane December.
Nyie mlioko mijini mnang'ara wadogo zenu huko wamechakaa kwa unywaji wa pombe zisizo na vipimo na ubora kiasi hauwezi kuwatambua.
 
Back
Top Bottom