Unajua sisi wenye kingereza cha kuunga unga kama jiko la mafiga matatu mpaka turudie kama ma ra sita ndio tunapata ujumbe uliomo between the lines. Tee teh teh

Ina maana hiyo guest rooom matumizi yake ndio kama guest zetu huku uswazi kama kamwala. Wiliokulia uswazi hasa mitaa ya kinondoni studio watakuwa wanaijua hiyo kamwala teh teh teh

Nadhani pia kupanga deals na kukutana na watu ambao ktk hali ya kawaida kwenye hotel lounge inakuwa shida! Miongoni mwao wakiwa hao wa short time pleasures!
...... I learned later in the evening from hotel publicity director Lisa Pile (protect) that............
Cha ajabu ni nini:
Isome vizuri habari, na huyo Mwaarabu aliwapa CCM, cha ajabu nini? na vyama vyote vinapokea misaada? au nongwa kwa CCM tu?

Lazima tuwe wakweli kwa nafsi zetu at some point. Hivi mtu anayefanya kampeni za urais au hata ubunge akipata hotel fulani ikajitolea kumfanyia ukarimu wa kuhost mikutano yake for free atakataa. je, sheria ya nchi inakataza hilo? Tatizo letu tunatumia sheria za nchi nyingine kujadili masuala ya Tanzania.

Hivi mnafikiri hayo mahelkopta mnayosikia yanaruka angani wakati wa kampeni yanalipiwa na pesa za ruzuku? Au tunangoja mpaka wikileaks waje kutuambia kuwa yalilipiwa na mfanyabiashhara fulani ndio tuanze kushangaa? kwa kifupi, kampeni ni gharama na kama sheria ya nchi haikatazi kupokei mchango sio dhambi.

Itamake sense kujadili rushwa hapa iwapo tutakuwa na kidhibiti cha favor ambayo rais amewafanyia hao kempinski kutokana na fadhili waliyompa.

Hillary Clinton alipokuwa senator on New York alikuwa anapokea USD 150,000 kila mwaka toka kwa "special interests" na kampeni zake zilikuwa sponsored na special interests pia. Cha msingi ni kutokutoka nje ya mipaka ya sheria ya nchi tu.
Without prejudice to validity of some of their stories,I think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?
Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.
Nyie si ni mashahidi BBC na skynews wanavoripoti khs africa mf Libya n other so called third world countries?
Lets nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be..they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart

.........to tell us point blank that, we are fools, we are being fooled and we have accepted it.

........that as foolish as we are, we can do something as smart as cast a vote while informed.
Kila kitu hapo kimejieleza..sioni element yoyote ya rushwa hapo!
" I suspect giving free clothes and the campaign donation is just the way these people do business".
Hiyo sentence hapo imesummarize kila kitu
Hoja yako nzuri kwa jicho la juu juu. Sasa naomba uende mbele zaidi kujibu ikiwa "code of conduct" hiyo ni universal na ikiwa inabana makampuni yote duniani. Maana nafahamu kuwa hilo ni eneo ambalo linasumbua dunia. Corporate world tofauti na serikali zina uhuru mpana wa kufuata codes of conduct au la. Zimefanya jambo hili kuwa sera ya kampuni na si universal. OECD wanazo codes hizi ambazo ni hiyari kwa kampuni kujiunga. Sasa, je, makampuni ya Mashariki ya Kati na Asia ni sehemu ya Code hiyo?Haswaa hapo uliposema corporate world policies *tutakuwa greatthinkers wa ukweli* hapo hapo....kuna a very strong code of ethics and conducts kwa corporates international especially after fall of Enron, makampuni kama Barrick yana SOX ( Sarbanes Oxyley Act ) isome hiyo act inaaply kwa makampuni makubwa na mambo ya gifts zinazozidi kiwango tena in cash lazima yawe declared
Ukiachilia mbali yote hayo, kuna kanuni za maadili ya utumishi wa umma katika kanuni hizi mtumishi (in ths case Jakaya ) haruhusiwi kupokea zawadi zitakazoinfluence maamuzi, zawadi atakazopokea anapashwa kuzideclare...
Nadhani kutetea upokeaji wa zawadi ambazo si calendar,diary na kalamu ( zinaitwa tools of trade ) na kuaccept free guest rooms...kwa waziri mzima! Si alipie tu personal pleasures!
Again pole mama Salma Kikwete!

Without prejudice to validity of some of their stories,I think it is time we stopped believing in just everything wikileaks or othr western media says..ivi mnaamini kweli ukerewe leo mtu anasex na kijiji au wilaya nzima kwa minajiri kuwa ni rituals?

Sikatai haijaendelea,lakini huo ushirikina unaosemwa umekua exxagerated beyond logic n truth.

Nyie si ni mashahidi BBC na skynews wanavoripoti khs africa mf Libya n other so called third world countries?

Lets nt succumb to western propaganda wikileakes is turning out to be..they have put a sword to the strings tht united us and now we are falling apart
No wonder tuliwahi kuipa rushwa jina 'takrima'. Binafsi revelations hizi kuhusu jk hata kama sio kashfa kama unavyotaka tuamini lakini zinatueleza jk ni mtu wa aina gani.Huoni kuwa sheria ina mapungufu? Katika mapungufu na utupu huo, kosa la Mhe Kikwete ( wakati huo akiwa Waziri ) ni lipi haswa? Huoni kuwa ni tatizo la tafsiri zaidi hususan kwa mtu mwenye akili na mawazo ya kutafuta kumhusisha mtu tu na kashfa ambayo haipo?
"He is a regular customer" i think of similar events.Apparently Kikwete is a regular customer, but no name ever appears on the hotel registry when a government bigshot has an "event" in one of the guest rooms.