Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.
Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
Jamani kaazi ya wazungu Libya inakaribia kuisha hizi chokochoko isjekuwa wanataka kuhamia hapa kwetu wafanye kama wanayofanya Libya na kwingineko! Najiuliza kuwa kwanini mambo haya yote yatolewa kwa wakati huu? mmmh MUNGU tulinde wana wako
Unapokuwa ris rais hata kama ni kuomba msaad basi uombe msaada kama rais. Sasa msaada wa kusomesha watu wawili si hata Ikulu inaweza kulipia.
Ningeelewa kidogo kama raisi aliomba msaada kusomesha maofisa wa ikulu na ikulu ndogo zote nchini eg watu 100. Yaani awe anaomba kitu kama rais sio kama yeye ndiye myikulu wa magogoni. Watu wawili kuna haja ya msaada.??????!!!!!!
ohh kanunuliwa siti mara ohh sijui niini
mbona hapa hajavaa hiyo suti mnayompakazia?