Mbona wengi sana wanasomeshwa na nchi za kigeni under institutional capacity building programmes.
Nadhani kila linalotoka WikiLeak sio scandal. Haya tuendelee kujifunza kupembua ili kutenganisha mchele na mchanga, kokoto, mawe; na pia tuendelee kujifunza kupepeta kutenganisha mchele na pumba.
You couldn't be more precise and right. Watu wanadhani weakleaks ni kashfa tu. Kuna shida gani kuwaombea watu wakanoe ujuzi wao wa kuchapa kazi? Can't we think about other issues of sigificance to our beloved nation? Angeomba Obama kwa Rais wa Tanzania mngesemaje?