UTC
Senior Member
- Jun 1, 2010
- 133
- 33
Mkuu hiyo ya Richmond ni ya zamani, lakini inaonekana kuna intel nyingi sana ambazo zinatuhusu watz. Inawezekana tumeuzwa tayari wenyewe hatujijui. Jamiiintelligence ingewasilana na Assange tungeweza kuzipata inaonekana sasa hivi website ya wikileak inasakamwa sana.
Wakuu halafu nina swali, nani kwa sasa ni mkurugenzi wa TISS, RO? ZOKA? au nani?
WikiLeaks has nothing to do ith CIA or FBI, only people that used to work for CIA and FBI and had access to these infos and needed money, they betrayed thier own government, to me this i sjust another Bible storyJude sold jesus, they are doing these with one intention, to make Obama look bad as a president, but their time will come
Na mimi najiuliza jambo hilo hilo. Labda kwa sababu bado kuna kesi mahakamani!Swali langu ni kuwa mbona kuna majina yamefichwa kwenye hizi cables kwa kutumia XXXXXXXXXXX. Je huku si kuchakachua? Mbona za mataifa mangine wametaja na majina ya wahusika lakini hizi zetu wameficha?
Swali langu ni kuwa mbona kuna majina yamefichwa kwenye hizi cables kwa kutumia XXXXXXXXXXX. Je huku si kuchakachua? Mbona za mataifa mangine wametaja na majina ya wahusika lakini hizi zetu wameficha?
Untitled Document
nimejaribu kuingiza Tanzania ukifuta neno country sijaona lolote but looks like information has been removed temporarily
Ahamada a.k.a Hapa Pangu10. (C) The ongoing, if not accelerating, level of corruption
on Zanzibar is another cause for pessimism in Tanzania's
fight against corruption. While establishment of Tanzania's
Financial Intelligence Unit (FIU) would indeed force changes
on Zanzibar in the long term, Hoseah admitted that he did not
believe Zanzibar's current leadership was committed to
fighting corruption. With a "free port" and government
officials routinely on the payroll of foreign investors,
Zanzibar is rife with corruption, Hoseah emphasized. With
the momentum of anti-corruption efforts on the Mainland,
Zanzibar will have to follow suit, Hoseah said. He added,
however, that "in the short term, Zanzibar's President faces
the end of his term and it appears that there is actually an
acceleration of corruption through acquisition of land and
other assets."
weakleaks itatufunulia mengi!