Wikileaks diplomatic cables release 'attack on world'

WikiLeaks has nothing to do ith CIA or FBI, only people that used to work for CIA and FBI and had access to these infos and needed money, they betrayed thier own government, to me this i sjust another Bible storyJude sold jesus, they are doing these with one intention, to make Obama look bad as a president, but their time will come
 
Nadhani tutasikia mengi toka kwenye hii issue. Nadhani kunasiku tutakuja kuwekewa mambo aliyokuja kufanya Mr Bush na kumfanya akae bongo siku nyingi vile.
 
The media is so powerful today in terms mass influencing than anything else. It has become the source of their propaganda as at it can be reached by the masses around the globe, just has they conviced most of you about Mugabe.

Im beggining to think white man has no tricks left under his sleeves and the world is getting smarter.

Time 4:14

Juma;

You want me to believe ... wikileaks are smater than CIA and FBI..? Mzee inashangaza!!

... so far am suprised ... why CIA and FBI ... has afailed to contain the wikileaks!!

... who are this wikileaks???
 
Wikileaks has exposed the US government officials behind the scenes dismay of Kenyan political class and the country they lead as a swamp of corruption...................

After revelations, the US undersecretary Carson has personally apologized to Raila Odinga but this international furore is unlikely to calm down very soon............
 
Re: Wikileaks - Ukraine in USA Diplomatic mail
TAG
29 Nov 2010 05:13
IP/Host: 193.239.129.---
Cable Viewer

¶6. (S/NF) Finally, Qadhafi relies heavily on his long-time
Ukrainian nurse, Galyna Kolotnytska, who has been described as a
"voluptuous blonde." Of the rumored staff of four Ukrainian
nurses that cater to the Leader's health and well-being, XXXXXXXXXXX emphasized to multiple Emboffs that Qadhafi
cannot travel without Kolotnytska, as she alone "knows his
routine." When Kolotnytska's late visa application resulted in
her Security Advisory Opinion being received on the day
Qadhafi's party planned to travel to the U.S., the Libyan
Government sent a private jet to ferry her from Libya to
Portugal to meet up with the Leader during his rest-stop. Some
embassy contacts have claimed that Qadhafi and the 38 year-old
Kolotnytska have a romantic relationship. While he did not
comment on such rumors, a Ukrainian political officer recently
confirmed that the Ukrainian nurses "travel everywhere with the
Leader."


View attachment 17725

Galyna Kolotnytska.jpg
Nurse: Galyna Kolotnytska
 
Katika hali inayotia wasiwasi kuwa huenda kabambikiziwa...............kibosile wa Wikileaks ametuhumiwa na wapelelezi kule Sweden kuwa alimbaka mwanamke mmoja na hivi sasa kuna amri ya kukamatwa ili akajibu tuhuma hizo..............tuhuma za rape, molestation and false coercion................
 
Hebu waibue na haya mambo ya vita vya misituni vinavyoendelea Afrika tujuwe ni akina nani wanaowawezesha kupata silaha za gharama kubwa huku wahusika wakiwa hawana biashara inayoeleweka kufanya wakae porini miaka mingi kiasi hicho. Maana vita hivi vinatufanya waafrika tuonekane watu wa ajabuajabu huku chanzo cha tatizo ni hawa mataifa makubwa ya wazungu.
 
Juma;

You want me to believe ... wikileaks are smater than CIA and FBI..? Mzee inashangaza!!

... so far am suprised ... why CIA and FBI ... has afailed to contain the wikileaks!!

... who are this wikileaks???

After all, CIA and FBI are just humans like the rest of us. For once try to get away from what has been planted in your head that CIA/FBI are superhumans, they know every and all things, just for a moment think outside the box, 9/11 can serve as a reference to you.
 
Wanaotoa leaks za hizi secrets ni hao hao CIA, NSA na Whistle Blowers.. Nilitegemea nitakuta juicy stuff kuhusu Kikwete na serikali yake oh well labda siu nyingine.
 
So far WikiLeaks wametoa documents 294 kati ya 250,000. kwenye spreadshet nimeona TZ kuna cable/mail 755. natamani siku watakayo release docs zote ifike haraka haraka
 
29 November 2010
BBC


US Secretary of State Hillary Clinton has denounced the release of classified diplomatic cables as an "attack on the international community".

She spoke after the release of some 250,000 messages from US envoys around the world by the whistle-blowing website Wikileaks.


The cables offer candid and sometimes unflattering views of world leaders and frank assessments of security threats.


But Mrs Clinton said diplomats often needed confidentiality to be effective.


"This disclosure is not just an attack on America's foreign policy interests," she said.


"It is an attack on the international community: the alliances and partnerships, the conversations and negotiations that safeguard global security and advance economic prosperity.


"I am confident that the partnerships that the Obama administration has worked so hard to build, will withstand this challenge."


The White House has ordered government agencies to tighten their handling of classified documents after the latest Wikileaks release.


Attorney General Eric Holder said there was an ongoing criminal investigation into the release and anyone found responsible would be prosecuted.


Mrs Clinton said it was essential that the diplomatic community be able to conduct private communications.


"The work of our diplomats doesn't just benefit Americans but also billions of others around the globe...


"Every country, including the United States, must be able to have candid conversations about the people and nations with whom they deal. And every country, including the United States, must be able to have honest, private dialogue with other countries about issues of common concern."


Huge sample


The cables are a huge sampling of communications between the US State Department and its embassies and consulates around the world.


The messages were sent between 1966 and 2010 but most are from this decade.


Among the revelations is a report that King Abdullah of Saudi Arabia, among other Arab leaders, urged the US to destroy Iran's nuclear facilities.


Iranian President Mahmoud Ahmadinejad dismissed the leak as US propaganda which would not affect Tehran's relations with its neighbours.


Other concerns aired in the cables include the possibility of Pakistani nuclear material falling into the wrong hands, allowing militants to make an atomic weapon. The widespread use of computer hacking by China's government is also reported.


A series of cables earlier this year from the US embassy in Seoul concern the possibility of the collapse of the North Korean regime. China was reported to believe that North Korea was no longer a useful ally and that the peninsula should be unified under the leadership of Seoul.


As to diplomats' portrayals of world leaders, Italian Prime Minister Silvio Berlusconi is said to have been described as feckless, vain and ineffective and sharing a close relationship with the "alpha dog", Russian Prime Minister Vladimir Putin.


President Nicolas Sarkozy of France is said to be thin-skinned and authoritarian, while German Chancellor Angela Merkel is described as risk-averse.


Meanwhile, Libya's Colonel Muammar Gaddafi always travels with a "voluptuous blonde" Ukrainian nurse, according to one of the cables.


European nations have roundly criticised the leaks, with France saying they represent a threat to democratic authority.


Pakistan's foreign ministry, meanwhile, condemned what it called "the irresponsible disclosure of sensitive official documents".


Wikileaks
has posted only some of the 200 of the 251,287 messages it says it has obtained. However, the entire bundle of cables has been made available to five publications, including the New York Times and the UK's Guardian newspaper.

'Reckless'


Other issues reportedly covered in the cables are:



  • Iranian attempts to adapt North Korean rockets for use as long-range missiles
  • Corruption in Afghanistan with concerns heightened when a senior official was found to be carrying more than $52m (£33m) in cash on a foreign trip
  • Bargaining to empty the Guantanamo Bay prison camp - including Slovenian diplomats being told to take in a freed prisoner to secure a meeting with President Barack Obama
  • Germany being warned in 2007 not to enforce arrest warrants for CIA officers involved in an operation in which an innocent German citizen with the same name as a suspected militant was abducted and held in Afghanistan
  • US officials being instructed to spy on the UN leadership by Secretary of State Hillary Clinton
  • Alleged links between the Russian government and organised crime, with intelligence agencies using underworld bosses to carry out operations
  • Yemen's president talking to General David Petraeus (while he was responsible for US military operations in Central Asia and the Middle East as head of US Central Command) about attacks on Yemeni al-Qaeda bases and saying: "We'll continue saying the bombs are ours, not yours"
  • Faltering US attempts to prevent Syria from supplying arms to Hezbollah in Lebanon
In a statement, the White House said: "Such disclosures put at risk our diplomats, intelligence professionals, and people around the world who come to the United States for assistance in promoting democracy and open government.

"President Obama supports responsible, accountable and open government at home and around the world, but this reckless and dangerous action runs counter to that goal."

The founder of Wikileaks, Julian Assange, said the US authorities were afraid of being held to account.

No-one has been charged with passing the diplomatic files to Wikileaks, but suspicion has fallen on US Army private Bradley Manning, an intelligence analyst arrested in Iraq in June and charged over an earlier leak of classified US documents to Mr Assange's organisation.

The cables release is the third mass Wikileaks release of classified document; it published 77,000 secret US files on the Afghan conflict in July, and 400,000 documents about the Iraq war in October.

Wikileaks argues the release of the documents has shed light on the wars, including allegations of torture and reports that suggest 15,000 additional civilian deaths happened in Iraq.
 
Mchina keshaanza nani anafwata? Alafu leo asubuhi mtandao wa Wikileaks ulishambuliwa vikali kwa mtindo wa DDOS (distributed denial of service) iliyopitiliza 10 Gigabits kwa sekunde. Hivi jamaa anayeshambulia huo mtandao atatafutwa na manjagu? Na hata akipatikana je atafunguliwa mashtaka kama inavyotakiwa?


China Blocks Access to WikiLeaks

By Michael Kan, IDG News Nov 30, 2010 9:30 am


China has blocked Internet access to WikiLeaks' release of more than 250,000 U.S. Department of State cables, with its Foreign Ministry saying that it does not wish to see any disturbance in China-U.S. relations.

"China takes note of the government reports. We hope the U.S. side will handle the relevant issues," Hong Lei, a spokesman for China's Foreign Ministry, said at a Beijing news conference on Tuesday. "As for the content of the documents, we will not comment on that."

Access to the WikiLeak's Cablegate page, as well as certain Chinese language news articles covering the topic, have been blocked in the country since Monday. Other articles from the Chinese press that are accessible on the web appear to only concern the U.S. response.

The ban on WikiLeaks comes as one of the major revelations provided by the the release was a document linking China's Politburo to the December 2009 hack of Google's computer systems. An unidentified Chinese contact told the U.S. Embassy in Beijing that China's Politburo had "directed the intrusion into Google's computer systems," the New York Times reported Sunday, citing one of the cables.

Although the cable does not provide conclusive proof linking China to the Google attack, it reinforces the concern that the Chinese government has sponsored organized hacking attempts against U.S. computers.

"The Google hacking was part of a coordinated campaign of computer sabotage carried out by government operatives, private security experts and Internet outlaws recruited by the Chinese government," the Times reported. "They have broken into American government computers and those of Western allies, the Dalai Lama and American businesses since 2002, cables said."

Last year's coordinated attack, known as Aurora, targeted Google and more than 30 other companies. In the case of Google, the company reported that some of its intellectual property had been stolen by the attack. Both Google and the State Department have implied they believe China was behind the hacking. But in past statements, China has denied any involvement.

China has blocked websites in the past when their content concerned politically sensitive material. Popular websites like YouTube, Twitter and Facebook are currently inaccessible within the country.



Vile vile kuna atiko moja nimeisoma naona inachangamoto kwa fani nzima ya uandishi wa habari katika enzi hizi za utandawazi. Unaweza kuipitia hapa
 
Usiwashangae Waarabu. Ni wanafiki mno na wana wivu mno.

Saudi Arabia iko tayari kumtosa Iran Abutuliwe na Marekani kuliko kumwona akipata silaha za Nyuklia na kuwa na nguvu kuliko wao. Ni wivu zaidi ndio unaomsumbua ndio maana Middle East haiwezi kuwa Independent.
It is the same Spirit which operate in Iran . They blow the crap out of each others faces while leaving their real enemy walking in piece. Unless the Arabs change their attitude and stop their hypocrisy they will continue to be kicked forever.

Chuki kati ya Iran na Saudi Arabia siyo kwa sababu ya kabila, ni dini. Iran ni Shia, Saudi Arabia ni Sunni. Pamoja nchi zote ni za Kiislamu, lakini tofauti kati ya Shia na Sunni Muslim ni kubwa sana kuliko unavyofikiria.
Saudi wanaogopa iwapo Iran itakuwa na Nuclear, basi kuna hatari kwamba watakuwa na Influence kubwa sana ya kumpromote Shia Islam ktk MidEast.
 
Kwani Iran ikiwa na nuclera Saudi watapata hasara gani wote si Waislam na adui yao ni mmoja?


Chuki kati ya Iran na Saudi Arabia siyo kwa sababu ya kabila, ni dini. Iran ni Shia, Saudi Arabia ni Sunni. Pamoja nchi zote ni za Kiislamu, lakini tofauti kati ya Shia na Sunni Muslim ni kubwa sana kuliko unavyofikiria.
Saudi wanaogopa iwapo Iran itakuwa na Nuclear, basi kuna hatari kwamba watakuwa na Influence kubwa sana ya kumpromote Shia Islam ktk MidEast.
 
Usiwashangae Waarabu. Ni wanafiki mno na wana wivu mno.

Saudi Arabia iko tayari kumtosa Iran Abutuliwe na Marekani kuliko kumwona akipata silaha za Nyuklia na kuwa na nguvu kuliko wao. Ni wivu zaidi ndio unaomsumbua ndio maana Middle East haiwezi kuwa Independent.
It is the same Spirit which operate in Iran . They blow the crap out of each others faces while leaving their real enemy walking in piece. Unless the Arabs change their attitude and stop their hypocrisy they will continue to be kicked forever.

Weka mambo wazi, wivu ni relative term.

Saudi Arabia ni SUNI
Iran ni SHIA
Ndiyo sababu ya Uhasimu.
 
Ninafurahi sana ninapoona mtu anayekataa kufuata mkumbo. Ulichoandika ndiyo nimekuwa nafikiria kuhusu hii wikileaks. Marekani inapapatika sasa hivi, haina uhakika adui ni nani na rafiki ni nani, wanajaribu kutingisha kiberiti kuona kitakachotokea. Kwa tunaofuatilia siasa za dunia kwa karibu, tunajua kwa mfano, Ban Ki Moon alipoingia na kumteua Dr. Migiro kuwa msaidizi wake iliraise alarm kwa wakubwa, na mpaka leo naamini wanajiuliza na kuchunguza maana ya uteuzi huo (ikijumuisha uhusiano wa uteuzi huo na connection iliyopo, kama ipo, kati ya S. Korea, N. Korea, Japan na China kwa mfano). Wakati watanzania mnashangilia uteuzi, wengine tulikuwa tunakuna vichwa tukijua kuna wakubwa hawatalala huko).

Hizo habari za kukusanya data za afya za viongozi wa dunia zilisharipotiwa kwenye miaka ya 2002-2003 hivi. Kuhusu S. Arabia na Iran, kama ulivyosema motive inaweza kuwa kuwachonganisha, au kama nilivyosema wanataka kupata undani zaidi wa jinsi hii so-called terrorism inavyoendeshwa, ni tofauti sana na wengi wanavyofikiri, na intelligence ya wamarekani imegundua inaingizwa kwenye mitego.

Binafsi, naamini siasa za ndani za TZ zinachezwa kwa ajili ya watazamaji wa nje ya nchi. Hizo drama za CUF vs CHADEMA vs CCM ni shell game tu. Niliposti hapa wakati wa uchaguzi nikiwaambia watu waache kupoteza muda wao na siasa. Kuna nchi nyingi miaka ya karibuni intelligence community ndiyo zimeingia na zinazoendesha nchi, ikiwemo kuwepo kabisa kwenye vurugu za kisiasa, mfano Pakistani. Kwa mtazamo wangu, TZ ni hivyo hivyo (na hii haimaanishi kila mwanasiasa yupo kwenye intelligence).

Wataongeleaje Zimbabwe na kumuongelea Mbeki kwamba alikuwa bias na kushindwa kumuongelea JK na support aliyoonyesha kwa Mugabe? Wangapi mnakumbuka ule mkutano ambapo baadaye JK alisema 'tutashinda hata kama all odds are against us'? Au ndiyo moja ya mambo walitoblock wikileaks wasi-release? Wangapi walioangalia uchaguzi wa iran na vurugu zilizotokea, katika muelekeo tofauti zaidi tu ya ule wa 'Ahmadinejad na wenzake wameiba kura'?

Wanajaribu kuiintroduce hii Wikileaks kama reliable source of information. Na njia gani nzuri zaidi ya kuonyesha wanaweza kutoa siri za serikali ya marekani? Nia ni siku za mbele kuitumia kuzitikisa na kuzivuruga nchi zingine.

Kuna njia nyingi za kusema uongo na kumanipulate watu, na hawa watu wamefuzu kwenye fani hii.


Unajua Marekani ni taifa lilobarikiwa tangu lilipoanzishwa kwa kuwa na resources nyingi sana. Lakini kuna watu waliingia ktk Serikali hii ya Marekani na kuihujumu uchumi wake. Sasa hivi inasikitisha kuona Marekani ilivyokuwa inamatatizo kuliko hata TZ. Let them pay the price.
 
big up wikileaks, ngoja tujue mengi. ila nashangaa pamoja na ubabe wa marekani wameshindwa kuzuia taarifa zote za siri kuvuja through computer

Huu ndiyo mwisho wa Marekani kuwa leader ktk diplomacy, economy, nk. Hizi leakes zinaonenya jinsi gani Marekani ilivyokuwa two face. Lets pray for our future, because who knows, what is going to be next day, next year.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom