Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Jana alichanganya sox leo nataka amix suruali na bukta

Sio siri ! Nikanunua miVocha ya Tigo instead of Vd !
Bt Mwanasiasa anaependa Siasa za Sera zake akifia Mjengoni (Assembly Legislative House) ni sawa tu!
Chezzeiya a Celebrity to b weyyee ?
 
Karibuni wapendwa!
This are "FREESTRESS STRIP" so far couples invited !
Kupenda RAHA
Kupendwa RAHA Asikwambie mtu!

Hahaaahhaah si ndo hapo hun usijali ntaja mchana on timee n ofcoz leo si unapika wewe au uwah jion tuandae woote baaana
 
Hahaaahhaah si ndo hapo hun usijali ntaja mchana on timee n ofcoz leo si unapika wewe au uwah jion tuandae woote baaana

Basi haina neno maswiry, na iwe jioni , sasa kama ndo hivyo pitia basi marikiti chukua zagazaga za kutosha, tule mapema sawa?
Tukila mapema si mastress tutaanza kuya'invade mapema pia, si eti? Au ?
 
Basi haina neno maswiry, na iwe jioni , sasa kama ndo hivyo pitia basi marikiti chukua zagazaga za kutosha, tule mapema sawa?
Tukila mapema si mastress tutaanza kuya'invade mapema pia, si eti? Au ?

Shaka ondoa
 
Back
Top Bottom