Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Kwani hujui Mti wenye mifruti ya ukweli !
Mitunda ya adabu ndiyo unaosukumiwa mastone ?
Bt kwa ile miti ya barabarani owned by municipal, huu mti uliyoutolea mijicho koddo uko within compound! Ndani ya geti.
Huogopi ? Au umejiandaa ?

We jifanye mpoto tuu hapo
 
Sio mijicho tu!
Na hiyo mimate inavyokuvuja ? Kwa kujidanganya kuna finyango itadondoka! Tafuta apron utaroana kifua mimate itakuchuruzika sana!
Hapa hakidondoki kitu!
Utaniona soon najilia firigisi kiulaiiyyniiiii, kama napaka siagi sles vile !
Hivi hujajistukia kama una rap sana halafu mi wala sisemi kitu? ACTIONS DO THE TALKING
 
Menuna mim siwez kukaa siku zote hiz waondoka bila taarifa kwangu halaf unaisingizia network sitaki nakuambia we mwenyewe unajua ulivonizoesha leo hii waanzaje kuondoka bila kusema? Ntaenda kwa wakwe shauri yako

Cool down bhanaa usiende !
Haya tunayamaliza wenyewe, ngoja kwanza nifungue mibox ya zawadi afu tena ... Alafu tena ... Naniliu ... Nikupe bagah si ndiyo ?
Uile bado ya motomoto si eti eeh ?
Ikipoa microwave imeharibika tangu juzi utaila imepoa!
 
Sidanganyiki na baga kwani sh ngapi we namna gan wewe mi mpaka nilalamike hiv mtoto wamwanaume mwenzio au utanifuata kwetu. Sasa sijui utaanzaje kwa mama kumbena
 
Hivi hujajistukia kama una rap sana halafu mi wala sisemi kitu? ACTIONS DO THE TALKING

Mkuu, ku'rap ni moja ya utamu wa ChtCht !
Au wewe umekwazika ?
ChtCht kama lilivyo jina la jukwaa miondoko yake ndo ya kihivi! Ukimuona mtu anapanic hapa jua hajalijua purpose ya jukwaa vizuri!
Kiivo ndiyo utamu wa Uzi !
Alafu mleta Uzi ndo una'lead kuuchakachua!
Back to the mada
 
Kama huwezi kulinda mti wako wa matunda ukutani mwako, wajanja watapopoa tu na kuyafaidi.......
 
Sidanganyiki na baga kwani sh ngapi we namna gan wewe mi mpaka nilalamike hiv mtoto wamwanaume mwenzio au utanifuata kwetu. Sasa sijui utaanzaje kwa mama kumbena

Beibe!
Kama mistari ya kujieleza nimeishusha vya kutosha.
Kama kuku'pliz nimefanya vya kutosha.
Mizawadi chekwaa beibe husomeki!
Think there is somethin' behind !
 
Kama huwezi kulinda mti wako wa matunda ukutani mwako, wajanja watapopoa tu na kuyafaidi.......

Hata ya ndani ya uzio ?
Si utakua mwizi ?
Wana'nzengo wenye hasira kali watakuponya ?
Na hiyo ni external view !
Internal view kuufata mti wa watu huogopi kukwamana ? Hiyo ndiyo currently difensive mechanism!
 
Unatumia technique inaitwa long range..............hakwamani mtu hapo
 
Beibe!
Kama mistari ya kujieleza nimeishusha vya kutosha.
Kama kuku'pliz nimefanya vya kutosha.
Mizawadi chekwaa beibe husomeki!
Think there is somethin' behind !

Ulintafuta mwenyewe na nikua nataka nawe uumie any way hun wangu umeniletea dhawad ipi baba mbona hujaniletea nyama ya poriii jamn
 
Yaani wakati unanipelekesha hadi ukanifanya kichwa ku'loose roadmap suddenly! Umenifanya hadi nimejikuta nimenunua vocha za Tigo instead of Vd nnayotumia!
Basi Beibe umesema unataka nyama ya pori, usijali this wikend naenda Kijereshi just a particular huntin' trip kwa hilo!
Kwa leo nikupe nyama gani ?
Iliyopo karibu!
Talk please Nasty!
 
Umenifanya ntoe chozi kwakucheka haaaaaaa ndo mana nakumith hunpie well unajua ntakua memic nin kwako na ulinzoesha nin
 
Yaishe sasa nshamsamehe mahabubaa jamaniii khaaa mlifurahi eeeh

Ungezidisha kukomaa leo ningehamia fcbk ! Ingekua potelea mbali, umenifanya nimetoka hom na soksi rangi tofauti, moja blue na nyingine gray! Chezeiyya malavidavi weyyee!
Usipime hii makitu! Muulize Lulu ana majibu sahihi zaidi.
 
Mlavu jamaniii poyeee etii leo baathi ntakuandalia kitu kidhurii thawa nikuondoe stress
 
Back
Top Bottom