Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

chakula kikubwa ni pizza pia hata mikate nahis ipo kuna icecream , kuna fruit kuna kahawa kuna chai na hivo so i uoga tuu dia kama hadi mi naenda wafikiri mchezoo bt there sm plc nying tuu mbna

beibe.nasty,mbna hujanipm ile kec ulonambia kuwa una kec na mie? btw pizeria kuna chapati,vitumbua,mikate,keki na ni bites tamu kweli. ni vile watu wanapaogopa tu!
 
Kha hawa jf mbona wanazingua hivi leo!
 
Pizza Tilapia bana huwa nakula mpaka inabaki nabeba take away
 
chakula kikubwa ni pizza pia hata mikate nahis ipo kuna icecream , kuna fruit kuna kahawa kuna chai na hivo so i uoga tuu dia kama hadi mi naenda wafikiri mchezoo bt there sm plc nying tuu mbna

we c mtoto wa twn, maisha bora lunch mboga nane.. Bt ntaktafta unshke mkono twende.!!! vp hao maidz wanajua kswahil, maana lugha zingne zilikuja na ndege
 
Wala hata sio mawivu haiwezekani kijiwe chote kile akuone wewe tu huo ubaguzi bana

Teh siunajua tena mapenzi hayana maho....Lol
Ila mi na Charminggirl tuna upendo wa Agape tu usiogope teh
 
Last edited by a moderator:
Khaaa nilitaka kuropoka "Kwahiyo yule jamaa mshika pembe tu" ila umejitetea bahati yako

Hahahahaaaa nani mshika pembe? @Sobhuta ????
Hahahaaaaa jamaa kakuzidi bao lol
 
Nitaua mtu mimi...

Hahahaaaaa mi simo siunajua niko na bibie wangu?
Tena yuko hapa ananiangalia ninavyochat na nyinyi....sema kawa sasa ni zamu yangu kutumia kalaptop yeye mchana....
Hataki simu coz haigongi 'Like'
 
we c mtoto wa twn, maisha bora lunch mboga nane.. Bt ntaktafta unshke mkono twende.!!! vp hao maidz wanajua kswahil, maana lugha zingne zilikuja na ndege

Cg keshakuambia na wala mi sio kishua nikiwa dar mi mtoto wakwatumboo upo hapo kijana so usiwe muoga we fanya hima uende 5000 yako uweke 1000 kwa siku tano hiyo hapo nenda pale au sio ishi ukuja ntakupeleka
 
Hahahaaaaa mi simo siunajua niko na bibie wangu?
Tena yuko hapa ananiangalia ninavyochat na nyinyi....sema kawa sasa ni zamu yangu kutumia kalaptop yeye mchana....
Hataki simu coz haigongi 'Like'

We jitoe tu, nikipitisha fagio la chuma haliachi mtu.
Chesea pesa yangu, hapana chesa na mke wangu.
 
Back
Top Bottom