Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Wiki ijayo nzima ntakuwa Mwanza.......

Hahahaa wakati unamzuia kureply hukujua kwamba ulikuwa unaongeza interest and curiosity yake. Si umeona kajibu!

Uzuri honey wangu muelewa, si umeona jibu lenyewe ulojibiwa?
 
Teh sasa tutamsaidiaje MjR?
Ndio atauacha Upare wake

Khaa mkuu sa ndo mnilaze kwa balozi! hope haitakuwa mabatini mlimani kule asee! Dah bora hata dagaa not panki for gods sake!
 
Karibu sana Mwz! Ukifika ongeza buku ntakupatia accomodation ya buku 6. Ila uombe mvua zisinyeshe.
 
Hahahaaa care wapi anakuchora tu lol
Angeshakutumia pesa..care wakati unadhalilika majengo ya shule

Publicly i dont care being humiliated but i just know she cares. Well King'asti also promised something interesting. Dah wanaume tu ndio mnanshangaza!
 
Khaa mkuu sa ndo mnilaze kwa balozi! hope haitakuwa mabatini mlimani kule asee! Dah bora hata dagaa not panki for gods sake!
Teh ngoja niongee na beibe nasty na Judgement wakupe hifadhi kwa muda kuonyesha upendo kwako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom