Wifi Zangu Mna Mambo......Kida Wazeer

vjn+ogopa+tapeli.jpg


hii picha mbona ina X nyingi sana.....ina maana wote hao wamedanja mbele za haki au.......?
 
vjn+ogopa+tapeli.jpg


hii picha mbona ina X nyingi sana.....ina maana wote hao wamedanja mbele za haki au.......?

Yes wote wamelamba sakafu hao...sadly to say so...BTW Mwambungu ndio alikuwa band manager wakati huo....leo ni RC....
 
Mwambungu ni huyo mwenye tai....Nimepata haya sasa nipatie Preta kabla sijakasirika.

Umepata SIFURI huyo ni MOHAMED SEIF KHATIB(Mbunge wa Uzini CCM) wakati huo ni Katibu Mkuu wa UVCCM sasa hivi Waziri mstaafu na mume wa AISHA KIGODA......naona Preta ntakuwa naye mwenyewe

CCM-Uzini-Province-MP-Mohammed-Seif-Khatib.jpg
 
said mwambungu yupo karibu na shati jeupe katikati ya x tatu,huyu tulikuja kufanya nae kazi akiwa mkuu wa wilaya ya singida vijijini.
 
Duuuuuuuuuuuuuuuhhhhh,

Kwa wale ambao walipata nafasi ya kuwasikia hawa jamaa Vijana Jazz atakuwa anamtambua Kida...

Ukiacha mambo ya carolite...anastahili tuzo huyu dada....ni miongoni mwa wanamuziki wasiohitaji kufinyangwa finyangwa na utundu wa kompyuta!!

Mungu amzidishie maisha marefu ili vijana wa leo wajue kuwa hata sie tulikuwa na mambo yetu ya nguvu...tena burudani ilikuwa inanoga sana ..it was so organic, ....not their fakes and manipulated GMOs!!

Babu DC!!
 
Hebu nionyesheni Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Ruvuma SAID MWAMBUNGU katika picha hii.atakayeshinda nampatia PRETA kwa weekend yote (three days)

vjn+ogopa+tapeli.jpg



Said Mwambungu kwa sasa

DC+SAIDI+MWAMBUNGU+PIX+NO+2.JPG

Eee bwana eee dah!!! e bu nikumbushe kidoogo hii ilikuwa ni wakati wa Takatuka au pambamoto?
Mwambungu ni huyo hapo mbele kabisa mwenye nguo nyeupe.
 
Bado anadunda

Kida1.jpg
Mkuu umenikumbusha siku aliyofariki rafiki yangu Hemedi Maneti nilikuwa Tanga, enzi hizo ss tulikuwa ndiyo mandava wa town bega moja juu lingine chini mtu akileta dukinaa anapata haki yake, sasa huyo dada alipokuja na mwili wa Hemedi Maneti Tanga nakumbuka jinsi alivyokuwa bomba jamani, toto jeupeeeee, kweli uzee nomaaaa.
 
ya kale dhahaba........enzi hizo marehemu Maneti, Adam Bakari R.I.P Eddy shegi ilikuwa burudani asante Safari_ni_Safari siku hizi kuzisikia kwenye redio hadi ijuma radio one
Hao hao media wanalalamika maadili yameshuka wakati wanashusha wenyewe kwa kuweka nyimbo za bongofleva zilizojaa matusi na video zinazoonesha wakina dada wakiwa utupu mfano tumeuona akina Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wakiwa kwenye matamasha inaonesha kwenye ma-tv ya udaku.

MCT ina sehemu kubwa ya lawama katika hili kwa kuachia vijana wanaowaajiri hivi leo wafanye wanavyojisikia wakiwa studio bila miongozo yoyote. Wamebakia kutoa matamko tu baada ya Misiba ya waandishi wa habari.
 
Mwambungu ni huyo mwenye tai....Nimepata haya sasa nipatie Preta kabla sijakasirika.

aliyevaa tai ni mohamed khatibu!saidi mwambungu ni yule aliyesimama nyuma ya aliyevaa shati jeupe kushoto yani pembeni kidogo kushoto kwa mohamed khatibu!
 
Back
Top Bottom