Wifi Zangu Mna Mambo......Kida Wazeer

Naelewaa mazoea aaa yana tabu lakini nitajitaidiii kusahau
this reminds me of Hemedi Maneti
 
Nilikua namuona Arachuga mara kwa mara anakua na mabinti zake muda mwingi,maeneo ya via via kwa anaeijua arusha kuna wazungu wengi sana hapo,maza anapiga show kimtindo na watasha wanamtoa kama kawa.
 
ni huyo aliyevaa shati ya bluu, yupo nyuma ya huyo jamaa aliyevaa shati jeupe na kuwekewa x na huyo mwingine mwenye shati ya bluu amabaye naye kawekewa x

Nimejibu swali hili kwa starehe zangu coz hata nikipatia huwezi kunipa zawadi ya kitu ambacho mimi ninacho tayari. Preta wangu anakucheka tuu unavyojinadi! Ila najua raha ya kuwa na kitu ni wengine kutamani kuwa nacho! Hahahahahahaah, ni raha tu, thanx 2 my eyes kwa kumwona Preta, Bravo 2 my heart for speaking to her heart, thanx to my mind for obtaining peace in her!!

mkuu umepatia hata mkuu safari ni safari najua amekubali!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kuna kipindi azam two kinaitwa midundo ya kale wanaalika waimbaji wa zamani kuimba nimemuona huyu mama jana. Yaani pamoja na kumsikia akiimba nikiwa bado kinda lakini hadi sasa bado yumo. Kuna mwenye mp3 ya wimbo wake wa wifi zangu?
 
Bado anadunda

Kida1.jpg
...mambo yenu ya hatariiii... .Kida nifanye niniii. ...oh nifanye nini...mwenzenu nifanye niniii....
 
  • Thanks
Reactions: iw8
you have taken me back to my youth and made me young again. mkuu hao walio na x ndo wenzetu waliotutangulia.......?
 
Je hapo Toto Tundu alikuwepo, ni yupi hapo?
Je mzee John Kitime yupo hapo?
Je Bennovila Antony(Mtunzi wa Shoga aliourudia Phina Mango) yupo hapo?
Jerry Nashon yupo hapo?
Kwa hakika Vijana Jazz, ilikua bonge la Bendi
 
Duuuuuuuuuuuuuuuhhhhh,

Kwa wale ambao walipata nafasi ya kuwasikia hawa jamaa Vijana Jazz atakuwa anamtambua Kida...

Ukiacha mambo ya carolite...anastahili tuzo huyu dada....ni miongoni mwa wanamuziki wasiohitaji kufinyangwa finyangwa na utundu wa kompyuta!!

Mungu amzidishie maisha marefu ili vijana wa leo wajue kuwa hata sie tulikuwa na mambo yetu ya nguvu...tena burudani ilikuwa inanoga sana ..it was so organic, ....not their fakes and manipulated GMOs!!

Babu DC!!
Sasa hivi anamuimbia Yesu Kristo...
Hallelujah
 
Nilikua namuona Arachuga mara kwa mara anakua na mabinti zake muda mwingi,maeneo ya via via kwa anaeijua arusha kuna wazungu wengi sana hapo,maza anapiga show kimtindo na watasha wanamtoa kama kawa.
Sasa ameokoka anahubiri injili
 
Back
Top Bottom