Wifi Zangu Mna Mambo......Kida Wazeer

im not
was just agreeing with yu!the lady was a super diva when it comes to tanzanian music!
her voice was like daaaah!

oh, ok - if my memory is correct that is the nickname they gave to her i.e. stone lady

naelewa mazoea yana taaabu, lakini nitajitahidi kusahauuu...
 
Ila mkorogo umeanza zamani sana!! Mwanamke mwenye mkorogo akikatiza mbele yangu tumbo linanikata!!! Siwapendi hao!!
 
hebu nionyesheni mkuu wa mkoa wa sasa wa ruvuma said mwambungu katika picha hii.atakayeshinda nampatia preta kwa weekend yote (three days)

vjn+ogopa+tapeli.jpg



said mwambungu kwa sasa

dc+saidi+mwambungu+pix+no+2.jpg

amevaa shati la blue. Ameshika stendi ya microphone na jamaa aliyevaa white.
 
oh, ok - if my memory is correct that is the nickname they gave to her i.e. stone lady

naelewa mazoea yana taaabu, lakini nitajitahidi kusahauuu...

kwanza mngejuliza ?kipi amenipendea na mapenzi hayana dawa?
kiida nifanye nini oooh nifanye nini?
naelewa mazoea yana tabu lakini nitajitahidi iii kusahau!
ahahahhahahhhhaha wen MUSIC WAS MUSIC bana!
 
Hebu nionyesheni Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Ruvuma SAID MWAMBUNGU katika picha hii.atakayeshinda nampatia PRETA kwa weekend yote (three days)

vjn+ogopa+tapeli.jpg



Said Mwambungu kwa sasa

DC+SAIDI+MWAMBUNGU+PIX+NO+2.JPG
Amezungukwa na watu watano waliowekewa alama ya x upande huo wa kushoto. Nyuma yake kuna mtu aliyeshikana na mwenzake mkono wamenyanyua juu. Mie nimo katika kundi hili ndio maana nakumbuka enzi hizo Chama kiliposhika hatamu na siyo utamu.
 
So the rumors kuwa ndio aaliyemuambukiza chiriku kale kaugonjwa kwa nyumbani kumbe si za kweli?

Kweli mkuu, si unajua tena kipindi kile star akifa, basi ujue watu wanasema ni ngoma, sijui huu ni mwaka wangapi tangu Nico Zendekala afariki?
 
Ila kuna watu wana miili yao mizuri. Manake huu wimbo nausikia nikiwa kiddo, hadi sasa naonekana mzee kumzidi mtunzi! Mweeh.
 
Hebu nionyesheni Mkuu wa Mkoa wa sasa wa Ruvuma SAID MWAMBUNGU katika picha hii.atakayeshinda nampatia PRETA kwa weekend yote (three days)

vjn+ogopa+tapeli.jpg



Said Mwambungu kwa sasa

DC+SAIDI+MWAMBUNGU+PIX+NO+2.JPG
ni huyo aliyevaa shati ya bluu, yupo nyuma ya huyo jamaa aliyevaa shati jeupe na kuwekewa x na huyo mwingine mwenye shati ya bluu amabaye naye kawekewa x

Nimejibu swali hili kwa starehe zangu coz hata nikipatia huwezi kunipa zawadi ya kitu ambacho mimi ninacho tayari. Preta wangu anakucheka tuu unavyojinadi! Ila najua raha ya kuwa na kitu ni wengine kutamani kuwa nacho! Hahahahahahaah, ni raha tu, thanx 2 my eyes kwa kumwona Preta, Bravo 2 my heart for speaking to her heart, thanx to my mind for obtaining peace in her!!
 
Safari_ni_Safari

mkuu tunashukuru kutuwekea picha ya dada yetu kida waziri "stone lady" , inatukumbusha enzi zile za vijana jazz chini ya uongozi wake Hemedi Maneti "Chiriku" na wana "Pamba moto", ninathubutu kusema vijana jazz ni moja kati ya bendi zilizotingisha sana enzi zile, sikiliza vibao kama "penzi haligawanyiki" na vingine utaona uwezo wa hawa jamaa, hivi dada yetu huyu ni bendi gani alizipitia na nyimbo gani aliimba baada ya vijana jazz. . . nakumbuka baada ya vijana jazz nilikua nikimuona yuko karibu sana na Kiongozi wa iliyokuwa Roots and Culture, Jah Kimbuteh pale nyumba ya sanaa, je waliwahi kurekodi pamoja hawa
 
Last edited by a moderator:
Wifi zangu mna mamboo, mambo yenu ya ajabu! jamani niseme nini eeh niseme nn naelewa mazoea eeh yana tabu lakini nitajitahidi eeh kusahau hizo ni beats za enzi hizo jamani.
 
Back
Top Bottom