Du! nitaolewa kweli, kwan sababu ni nn?
kuna mdada anam-save mumewe 'sp', meaning special poject[/QUOTE]
ahahahahaaaaaaaaaaaa!....King'asti sema wako umemsave vp
Kama miaka ikienda majina nayo yanabadilika na kuwa mabaya hivyo,c hatari hiyo IGWE!tuliza munkali utaolewa tu..............