Wife wangu ananiibia, ushauri unahitajika

pole sana mkuu yaani huu ni unyanyapaa wa kutosha kabisa anaokufanyia....muda wa kutoka kwenye kichupa if any


kutoka inaweza isiwe solution pia mana kumbuka kuna watoto hapo..........cha msingi huyo wife wake akirudi nyumbani nosspass anatakiwa asimame kama mwanaume na kama baba wa familia ......aweke rules zake na azisimamie kuhakikisha zinatekelezwa..................
 
Last edited by a moderator:
Jamani CYBERTEQ usihukumu wanamigombani wote kwa visa vichache ulivyovisikia.........haya matatizo yapo katika kila kabila na sio wanamigombani tu lol..............

hahaha, nisamehe mkuu wangu lakini hapo juu nimesema kwamba SI WOTE, wapo ambao wako descent kabisa, na hili tatizo si la watu wataliban pekeyake, hata mbeya nilishawahi kuona hilo tatizo la kuuwa wanaume. mkuu haya mambo tuyaskie kwa jirani tu, ni magumu sana!
 
Unaona sasa, nyumba yenyewe ukute hata mil 400 haifiki, shida sana hii
Mie kwa kweli kukaa na mtu mwizi nyumba moja siwezi, hata ndugu yangu nampeleka selo kabisaaa.

Kutetea huyu dada ni kutetea ujinga tu, na vijana nao wanaamka wametulia kwa dada?

1bn?!!...bhebhe nanho Kongosho lekaga, wanawake wanauwa waume zao kwa ajili ya nyumba, vigari na vijiduka tu!
 
Unaona sasa, nyumba yenyewe ukute hata mil 400 haifiki, shida sana hii
Mie kwa kweli kukaa na mtu mwizi nyumba moja siwezi, hata ndugu yangu nampeleka selo kabisaaa.

Kutetea huyu dada ni kutetea ujinga tu, na vijana nao wanaamka wametulia kwa dada?


yaani Kongosho just to think of it makes me sick
 
Last edited by a moderator:

Hapo kumtia ndani ndo ameshaanza kumwonyesha nani mwanaume huko ndani, icho kichupa namaanisha kile kichupa kile baadhi ya wanawake wanakowawekaga waume zao wasikohoe
 
He he he, dawa ya kichupa huijui? Ni kuitembeza nje kama njugu.:A S-eek::flame:

Hapo kumtia ndani ndo ameshaanza kumwonyesha nani mwanaume huko ndani, icho kichupa namaanisha kile kichupa kile baadhi ya wanawake wanakowawekaga waume zao wasikohoe
 


Tatizo hapa Kongosho nafikiri baadhi ya wanaume wanashindwa kusimama kama wanaume au baba katika familia zao........mana haiingii akilini mke anafanya kazi eti mpaka mafuta au nauli ya kwendea kazini apewe .......sasa nini maana ya kufanya kazi si bora ukae hapo nyumbani ulee watoto.........maisha ya sasa ni magumu na ni wajibu wa kila mmoja kusupport familia na sio kwenye chakula tu au vitu vidogo vidogo vya nyumbani hata vitu vikubwa kama ujenzi................mama nanihii nimenunua magrili ya madirisha hebu angalia kama unaweza nunua hata mifuko kumi ya cement tumalizie plasta lol................
 
Last edited by a moderator:
Kwa kifupi jamaa ni Mchoyo sana chakula ni ishu ndogo sana....Ilibidi awashauri hao mashemeji zake,Au hawashauriki?Na awaelekeze mbinu za kuishi hapa mjini au awape mtaji wajitegemee.Kasema wamedekezwa hawana kazi then akawafukuza nyumbani kwake lazima tu wife aibe akawasaidie watakula nini??
 
Dah POLE SANA MDAU, yaani nimekuelewa sanaaaa. Manake hata mimi nipo kwenye situation kama yako. Tatizo kubwa la wanawake hawa ni uselfish. Anafanya kazi chake ni chake, matumizi yake saloon, nguo za kitchen party, harusi, vocha, sijui........ Baba ndo unatoa kila kitu hadi hela ya chumvi unaombwa. Hata mimi nina shida kama hiyo mkuu, ingawa mke wangu hapeleki kwa ndugu zake kwa kuwa wanauwezo tu, lakini mwanamke hatoi kitu chochote kuanzia chakula, bill zote, ada za watoto, ni mimi tu hachangii hata senti. Bado kuna mambo ya maendeleo tunatakiwa kufanya. Kichwa kinauma mzee. Tuna mgogoro mkubwa sana na vikao vya familia kwa wazee, lakini anasema yeye siyo majukumu yake. Na kitu kikipungua home anaanzisha mtiti balaa anatangaza hadi kwa watu. Yaani ni shida sana hadi wakati mwingine mtu unaamua kushinda BAR kula monde tu, manake ukiangalia watoto roho ndo inauma sana. Mimi nilishafikiria hata kupiga chini mzigo, lakini watoto nawaonea huruma sana. Nadhani hawa wanawake wa kichagga ni shida kubwa sana. Watatuua wanaume wote, na ndo mana wengi wanabaki wajane waume zao wameshatangulia mbele za haki sababu ya haya mambo. yanakera sana. Dilema!!
 

Hahahahahahahah........mnatubatiza jamani mara wapelestina.......wagaza.....leo nimepata jipya tena wataliban..........soon mtatubatiza tena waisis lol.......
 
Pole sana mkuu. Wanawake wa aina hii wapo wengi hapa Tz na ni janga la kitaifa. Sio kwako tu. Nafikiri wanawake wa kitanzania bado hawajaelimika vya kutosha kuhusu usawa. Wengi wao wanataka usawa kwa achiwe akafanye kazi nje na nyumbani awe na pesa zake lakini linapokuja suala la wao kuchangia kwenye familia wao huingia mitini (again sio wote). Wakati mwingine unajiuliza kuna sababu gani ya yeye kwenda kufanya kazi? Si angebaki tu nyumbani alee watoto wetu? Zaidi ya hayo ni wezi hata wa hicho kidogo unachotoa wewe. Atakulaghai weee ili mradi tu hata kidogo ulicho nacho akimege tena. Kuna wengine wanabanwa na waume zao watoe pesa lakini kwa sababu ya utamaduni wao wa kufikiri familia ni ya mume basi wanakasirika na huishia kumalizia hasira zao kwenye mechi za nje (kugegedwa nje ya ndoa) kama kumkomoa mume. Mimi kwa kweli nawachukia kwa hili. Na kwa sababu hii usawa itakuwa ndoto na ndo maana wanaume wanaamua kuwatenda - liwalo na liwe.

Angalizo: Wapo wanawake wachache ambao wameelimika vya kutosha na hawaangukii kwenye hayo makundi niliyotaja.
 
Pole sana.........ila tatizo sio wachaga maana haya matatizo yapo kwa watu wengi tu.............kubali tu ulikosea kuanzia mwanzo mana ulitakiwa usimame kama mume na kama baba wa familia kwa kuweka rules zako na kuhakikisha unazisimamia hizo rules zitekelezwe.......as long as wife anafanya kazi ni lazima wala sio ombi kusaidia majukumu ya nyumbani..........kama hawezi akae home kulea watoto na ww uhudumie familia.........
 
Kweli harufu halo umechemka yaan amwache kisa mambo ya msosi!!!!, jamani hapa duniani tunapita hvyo kuna leo na kesho tucwe na roho za aina hii
 

niko na ww mkuu nahisi jamaa roho mbaya pia inamsumbua, kumuweka mke wake ndani kisa kuwapa ndugu zake chakula hainingii akilini kama anamfeel mkewe kivile duh
 
be a man simama ulifanya kosa kukubali shemeji kuamia kwako at the begining lakin sasa usimwache kisa food aisee,... kaeni meza moja ukupe bajeti ya ndugu zake na ya hapo home ... aseme yeye tachangia kiasi gani na aache wizi
 
Umesema kweli kabisa
 
Hahahahahahahah........mnatubatiza jamani mara wapelestina.......wagaza.....leo nimepata jipya tena wataliban..........soon mtatubatiza tena waisis lol.......

hahaaa, kmbe na wewe chama moja, mna vituko lakini best! mimi nilishawaogopa asee, hata rafiki tu anataka kuwa na kibesi...gz!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…