wife of today

wife of today

Prof

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,577
Reaction score
2,469
jamii imeshapoteza dira, ona yanayotokea kwenye familia zetu
 

Attachments

  • 270545_129285150492097_100002318370081_206751_1111421_n.JPG
    270545_129285150492097_100002318370081_206751_1111421_n.JPG
    51.2 KB · Views: 1,099
Yaani huyo ningemchoma huo mkono na uma alaa!!!!
 
Hapo lazima kieleweke hapo....mshahara umepeleka wapi?
 
jamii imeshapoteza dira, ona yanayotokea kwenye familia zetu

"Tena nakwambia, acha kabisa ujinga wako huo, ukifanya mchezo mimi narudi zetu kwetu, tuone nani atakupigia" end of quote
 
husband of today nao wana matatizo sana,mtu kaacha tembele nyumbani yeye anaenda kula chips kuku bar na bia pembeni
 
Ndo hivyo labda mwanamke ndo kamuoa jamaa ndo maana kawa mbabe kiivyo
 
Ungemfanyaje?

Ajidai kuninyanyulia mkono? Hee, kwani niliolewa kuwa mtumwa wake? Kwanza hathubutu na akijaribu kwanza nahakikisha namfunga na talaka ataitolea jela. Aah babu wee, mwanamke anapigwa kwa khanga.
 
Sitaki presha wala kusumbuana na wabeijing, maana ukumtandika tu kofi anawahi kwa wanasheria wa kuwatetea haki wanawake. Akilianzisha tu mimi nahamishia kambi Bar, akituliza mizuka yake narudi home taratibu! hamna haja ya makelele
 
Full mkoba hii hapa, Jana, Leo na kesho
 

Attachments

  • wife trends.jpg
    wife trends.jpg
    77 KB · Views: 35
Back
Top Bottom