Ndiyo wewe si umeolewa kwasababu una uwezo wa kudeki nyumba nzima, huombi hela, huvai mawigi, ukifokewa unakaa kimya tu hujibu, kama ni mjasiriamali ama mfanyakazi za ofisini mapato ama mshahara wako wote unampa mumeo, hujipodoi kwa sana, n.k. haya yote na mengine yanayofanana na hayo ndiyo yamekupa u-wife material na tabia nzuri.
Lakini mumeo anaona aibu kutoka na wewe kwenda bar, hotelini ama club kwa kuwa viwango vya uzuri na shape huna. Na wanaume huona fahari kutoka out na mwanamke aliyejaaliwa shape na sura na wala siyo mwenye tabia nzuri.
Ndiyo maana wewe wife material utabakia kufagia nyumba na kupika tu lakini matanuzi na mumeo hufanyi wenye sura zao na shape zao ndiyo wanatumia 75% ya mapato,/mshahara wa mumeo.
Kalaga baho!
Ushauri: Usikubali kuolewa kwa kuwa tu una tabia nzuri. Jiangalie na sura au shape pia, kama vinalipa. Vinginevyo utasalitiwa mpaka uone ndoa chungu.