Wife material tunza nyumba tu! Wenye sura/shape zao wanatanua na mumeo

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,567
50,393
Ndiyo wewe si umeolewa kwasababu una uwezo wa kudeki nyumba nzima, huombi hela, huvai mawigi, ukifokewa unakaa kimya tu hujibu, kama ni mjasiriamali ama mfanyakazi za ofisini mapato ama mshahara wako wote unampa mumeo, hujipodoi kwa sana, n.k. haya yote na mengine yanayofanana na hayo ndiyo yamekupa u-wife material na tabia nzuri.

Lakini mumeo anaona aibu kutoka na wewe kwenda bar, hotelini ama club kwa kuwa viwango vya uzuri na shape huna. Na wanaume huona fahari kutoka out na mwanamke aliyejaaliwa shape na sura na wala siyo mwenye tabia nzuri.

Ndiyo maana wewe wife material utabakia kufagia nyumba na kupika tu lakini matanuzi na mumeo hufanyi wenye sura zao na shape zao ndiyo wanatumia 75% ya mapato,/mshahara wa mumeo.

Kalaga baho!

Ushauri: Usikubali kuolewa kwa kuwa tu una tabia nzuri. Jiangalie na sura au shape pia, kama vinalipa. Vinginevyo utasalitiwa mpaka uone ndoa chungu.
 
Mwanamke kujichachamalisha sawa, ila mm nilifika bar mume wangu anayokaa nikakutana na mchepuko wake, jamani hapana kwa kweli kwanza ni bibi, jamani jamani ni mdada yule yy kazi yake ni kutumika kwa wanaume anaweza kutumia pesa yake kulewesha wanaume na kutoa k bure, sasa wale wapenda mteremko ndio umlia na kujiokotea, nilisikitika kuzijua tabia za huyo dada na list ya wanaume wa hapo walivyomtumia, pia hadi leo nashindwa kumwelewa mume wangu kwa nn aliamua kujidhalilisha kwa huyo malaya
 
Na ndio wanaume wengi wanajichetua hivo, sitaki mwenye mawig, sitaki aliejikrimu, nataka flat screen wanaoa dizaini hizo then zinawekwa ndani kama utumbo...
Ukimkuta bar kakaa na goma limejikrimu hadi halieleweki rangi, bonge la wig goma lipo kama uyoga
Umeona eee mkuu!!? Anamktaza mke kufanya mambo ambayo anapenda kuyaona kwa mwanamke ila hataki mkewe ayafanye kuzuia kuibiwa. Lkn mwisho wa siku akiyakosa mambo hayo kwa mkewe kuwa ametii katazo lake anamuona mbaya ama amepitwa na wakati.
 
Mwanamke kujichachamalisha sawa, ila mm nilifika bar mume wangu anayokaa nikakutana na mchepuko wake, jamani hapana kwa kweli kwanza ni bibi, jamani jamani ni mdada yule yy kazi yake ni kutumika kwa wanaume anaweza kutumia pesa yake kulewesha wanaume na kutoa k bure, sasa wale wapenda mteremko ndio umlia na kujiokotea, nilisikitika kuzijua tabia za huyo dada na list ya wanaume wa hapo walivyomtumia, pia hadi leo nashindwa kumwelewa mume wangu kwa nn aliamua kujidhalilisha kwa huyo malaya
Si umeongelea mazingira ya bar...!! Unajua mtu akishagonga chupa kadhaa plus vile vitaa vya rangi humo bar.. kila mwanamke anamwona mzuri, anaamua kubeba. asubuhi pombe zimeisha kichwani na mwanga wa jua upo, akimtazama huyo malaya unakuta hata yeye anashtuka na haamini kama ndo mwanamke aliyelala naye..
unavyoshangaa wewe ndivyo na mumeo anavyojishangaa.. Majanga tupu
 
Ndio maana nasema jamani wanaume umalaya unawasumbua tu kiasi hata ss wake zao sasa tunawadharau
 
Ndiyo. Wewe si umeolewa kwasabb una uwezo wa kudeki nyumba nzima, huombi hela, huvai mawigi, ukifokewa unakaa kimya tu hujibu, kama ni mjasiriamali ama mfanya kazi za ofisini mapato ama mshahara wako wote unampa mumeo, hujipodoi kwa sana, n.k. Haya yote na mengine yanayofanana na hayo ndiyo yamekupa u-wife material na tabia nzuri.

Lkn mumeo anaona aibu kutoka na wewe kwenda bar, hotelini ama club kwa kuwa viwango vya uzuri na shape huna. Na wanaume huona fahari kutoka out na mwanamke aliyejaaliwa shape na sura na wala siyo mwenye tabia nzuri.

Ndiyo maana wewe wife material utabakia kufagia nyumba na kupika tu lkn matanuzi na mumeo hufanyi. Wenye sura zao na shape zao ndiyo wanatumia 75% ya mapato,/mshahara wa mumeo.

Kalaga baho!

Ushauri: usikubali kuolewa kwa kuwa tu una tabia nzuri. Jiangalie na sura au shape pia, kama vinalipa. Vinginevyo utasalitiwa mpk uone ndoa chungu.
Unisamehe ila unawaza kwa kutumia makalio umewahi kuchunguza wanapoishia hao wanaotoka na wanaume za watu? Mwanaume ambaye ana vimada vya kutosha akamdharau mkewe anayemuheshimu na kumpenda kwa dhati umewahi kuona mwisho wake?... Mwisho Wa ubaya aibu hizo Kuku huwa zinatokea puani badaye...Nina kabrasha LA ushahidi.......
 
Back
Top Bottom