Wife material tunza nyumba tu! Wenye sura/shape zao wanatanua na mumeo

there ur my dear !kuna mama mmoja aliwah niambia niwe naongozana na mume akienda bar niwe naye !nilimsikiliza weee nikamwacha pale !yaan mie mitiyaza haitakaa nitokee nikaanze mpeleleza mume wangu hta siku 1! yaan nashindwa kujipa raha nianze kulia lia kisa limwanaume !pyeee
Maisha yenyewe haya stress tupu, ujiongezee tena unnecessary stress teh....
Achepuke, akalale huko atajua mwenyewe
 
Ndiyo. Wewe si umeolewa kwasabb una uwezo wa kudeki nyumba nzima, huombi hela, huvai mawigi, ukifokewa unakaa kimya tu hujibu, kama ni mjasiriamali ama mfanya kazi za ofisini mapato ama mshahara wako wote unampa mumeo, hujipodoi kwa sana, n.k. Haya yote na mengine yanayofanana na hayo ndiyo yamekupa u-wife material na tabia nzuri.

Lkn mumeo anaona aibu kutoka na wewe kwenda bar, hotelini ama club kwa kuwa viwango vya uzuri na shape huna. Na wanaume huona fahari kutoka out na mwanamke aliyejaaliwa shape na sura na wala siyo mwenye tabia nzuri.

Ndiyo maana wewe wife material utabakia kufagia nyumba na kupika tu lkn matanuzi na mumeo hufanyi. Wenye sura zao na shape zao ndiyo wanatumia 75% ya mapato,/mshahara wa mumeo.

Kalaga baho!

Ushauri: usikubali kuolewa kwa kuwa tu una tabia nzuri. Jiangalie na sura au shape pia, kama vinalipa. Vinginevyo utasalitiwa mpk uone ndoa chungu.

So, asiye na sura nzuri asiolewe? wewe ni mwendawazimu, yeye atafanyaje sasa?
 
Ila ni ukweli uliomchungu wanawake wengi tulionandoa asilimia kubwa hata vipato tu vya wanaume hatuvijui . Sisi tunamiliki dusheee kihalali wakati mchepuko anacontrol malupulupu yote na mshahara.

Ila hayo maswala ya sura na shepu siko pamoja na wewe
 
Ndiyo. Wewe si umeolewa kwasabb una uwezo wa kudeki nyumba nzima, huombi hela, huvai mawigi, ukifokewa unakaa kimya tu hujibu, kama ni mjasiriamali ama mfanya kazi za ofisini mapato ama mshahara wako wote unampa mumeo, hujipodoi kwa sana, n.k. Haya yote na mengine yanayofanana na hayo ndiyo yamekupa u-wife material na tabia nzuri.

Lkn mumeo anaona aibu kutoka na wewe kwenda bar, hotelini ama club kwa kuwa viwango vya uzuri na shape huna. Na wanaume huona fahari kutoka out na mwanamke aliyejaaliwa shape na sura na wala siyo mwenye tabia nzuri.

Ndiyo maana wewe wife material utabakia kufagia nyumba na kupika tu lkn matanuzi na mumeo hufanyi. Wenye sura zao na shape zao ndiyo wanatumia 75% ya mapato,/mshahara wa mumeo.

Kalaga baho!

Ushauri: usikubali kuolewa kwa kuwa tu una tabia nzuri. Jiangalie na sura au shape pia, kama vinalipa. Vinginevyo utasalitiwa mpk uone ndoa chungu.
Hahaaa...we jamaa umenena..wife material uzi unawahusu huu
 
Ila ni ukweli uliomchungu wanawake wengi tulionandoa asilimia kubwa hata vipato tu vya wanaume hatuvijui . Sisi tunamiliki dusheee kihalali wakati mchepuko anacontrol malupulupu yote na mshahara.

nimeandika mara 3 nafuta !bora niache nilichokuwa naandika !
 
Unisamehe ila unawaza kwa kutumia makalio umewahi kuchunguza wanapoishia hao wanaotoka na wanaume za watu? Mwanaume ambaye ana vimada vya kutosha akamdharau mkewe anayemuheshimu na kumpenda kwa dhati umewahi kuona mwisho wake?... Mwisho Wa ubaya aibu hizo Kuku huwa zinatokea puani badaye...Nina kabrasha LA ushahidi.......
Sawa mkuu hoja yako nzuri. Lkn kulikuwa hakuna haja ya kutumia maneno ya kuudhi mkuu. But nakushukuru.
 
there ur my dear !kuna mama mmoja aliwah niambia niwe naongozana na mume akienda bar niwe naye !nilimsikiliza weee nikamwacha pale !yaan mie mitiyaza haitakaa nitokee nikaanze mpeleleza mume wangu hta siku 1! yaan nashindwa kujipa raha nianze kulia lia kisa limwanaume !pyeee
Mbiti kujua nako ni nusu ya kujinusuru! Sasa usipomfuatilia utamjuaje!?
 
Single mamaz mnataka kuwaambukiza stress wake zetu..acheni hizo!

Mi mtu mzima nina ndoa ya miaka kadhaa nianze kuhangaika na sijui club , mara out zisizo na mpango kisa mwanamke una shape na sura nzuri?
kweli mkuu asituharibie wake zetu huyu.
 
BADO KUNA WATU WANAAMINI KUKAA BAR NA KWENDA CLUB NDIYO BENCHMARK YA MWANAMKE ALIYEFANIKIWA ?
well sijui !tunatofautiana!

BUT KITU KIMOJA NAKIJUA KWA HAKIKA!
MISERY LOVES COMPANY!
 
Back
Top Bottom