Wife kanishitaki polisi

Wife kanishitaki polisi

Ushamba huo kumpiga mwanamke..Safi kabisa...Angekunyamazia utaendelea bora alivyokushtaki...Kipigo hakitakiwi kuvumilia kabisa zama hizi
michosho
 
Last edited by a moderator:
mrejesho baada ya kutoka polisi.
kwanza niwashukuru wadau wote mlo toa mawazo tofauti tofauti.
asubuh nimelipoti kazn kisha nikaenda polisi.kabla sijafika nikampigia simu baba ake mdogo..nikamweleza picha nzima..akanambia nikifika nimpigie simu afu nimpe wife aongee nae..
baada ya kufika pale nikamkuta wife kakaa pale benchn.nikampigia simu baba ake mdogo nikampa simu..kamwambia hatiki kumuona pale tena polisi arudi nyumbani haraka..hapo ikawa pona yangu..ila kanambia nimpeleke hospitali..nikafanya hvyo.ila wife kanipa sharti moja kuwa hataki tena kuishi hapo tulipo panga..ikabidi nimbembeleze na kumuhaidi by next wiki tutahamia kwetu walau hata kwa kufunika bati chumba kimoja..japo nimelipa kodi mwezi huu ya miezi sita hapo kwa nyumba ya kupanga
 
michosho

Wewe jikaze kiume ukishatoka hapo polisi funga mkataba na yeye!
 
Last edited by a moderator:
Huyu yaelekea ndio tabia yake kugeuza mke ngoma....Na huyo mke angeendelea kulala hapo pengine angemfanya mbaya..Wanaume wa kupiga kwa hakika siwapendi kabisaa...Hata kama ni mimi nampeleka polisi...Wanaume wengi huwapiga wake zao hadi kupelekea kupata ulemavu wa ajabu katika vizazi nk. Si ustaarabu kupiga mwanamke...

Amuombe mkewe msamaha wasameheane ila...Jambo la kupiga mwanamke lifutike ktk akili yake...Kugombana ni jambo la kawaida katika maisha ya ndoa ila sio jambo la kupigana.... Felix
 
Last edited by a moderator:
Halfu umepanga unampiga mkeo ktk nyumba za kupanga...!! lol....
Bora uhame sababu ushamuwekea mkeo taswira mbaya kwa majirani zake.. michosho
 
Last edited by a moderator:
Ushamba huo kumpiga mwanamke..Safi kabisa...Angekunyamazia utaendelea bora alivyokushtaki...Kipigo hakitakiwi kuvumilia kabisa zama hizi

mnajisahau sana wanaume wengine hatuna uvumilivu na midomo mirefu lazima nikutulize na kofi ili siku nyingine ujifunze kuongea nami adabu na heshima.
 
Umekosea kumpiga kibao..mwanamke anapigwa kofi la kwenye bega...sio ngumi wala teke....unapiga kibao halafu ukitaka kukisi utakiss wapi?....any way! Waswahili wana msemo unosema "ng'ombe hashindwi na nundu yake"...we nenda Polisi ukifika polisi kataa kosa wambie hukumpiga ila ulimsukuma baada yeye kutaka kukupiga(self difence) ataitwa polisi...wakati mnasubiri kuingia ndani...mtumie sms mwambie nakupenda mke wangu na nimekumiss tangu ulipoondoka nyumbani...pia mtumie sms kumkumbusha jambo zuuri la zamani....Jambo dogo sana ilo huna haja
 
watafute wazee wenye busara watakufunda.

hata ww utakuwa hujui..bora ukae kimya tu..na ww huenda ukawa ni aina ya wanawake wenye mdomo..na kwa mwendp huo huokewi na km utaolewa hutopata amani kiz kila siku mtangombana
 
Mkeo naye ni mala.ya tu kama walivyo wengine pengine kuna dereva wa boda boda anamzingua;Jipange vizuri.Hakikisha unaenda pale kituoni na watu kama wawili wakukuwekea dhamana;Na usiende bila pesa, unajuwa tena hii nchi imeharibika.

Aiseeeeh!!!!
 
Hauna mke hapo , huyo ni kichwa maji hovyo kabisa asiyetumia ubongo.
Amua moja kusuka au kunyoa baada yaa kutoka humo Polisi , hapo hamna kesi.
 
Mkuu kama keshafuta kesi hongera! Sasa kifuatacho kwa kuwa hataki kurudi pale mlipokuwa mnakaa (mmepanga) basi mpe nauli arudi kwao ili akupe nafasi umalizie nyumba mhamie. Hii uifanye by kesho! Mtu hakulala nyumbani halafu haelezi alikuwa kalala kwa nani anarudi unampokea tuuu! Ugomvi na hata ngumi za wapendanao huamuliwa na wao wenyewe! Kama kweli mnapendana mngekuwa mmesuluisha wenyewe. Kitendo cha mke kukimbia kwa kupigwa kofi ni udhaifu. Ni ufinyu wa kufikiri! Siku nyingine bila hata kufikiria atakuwekea sumu kwenye chakula maana sio mvumilivu! Wallah naapa siku mke wangu ananishtaki eti nimempapasa na ndoa inaishia hapo hapo polisi!
 
Wanawake kama hao nawatafuta sana nimpe kipigo heavy.
 
Nenda polisi, waambie polisi wakuweke lock up, kama haji kukutoa basi jua hakuna kitu hapo.
 
Huyu yaelekea ndio tabia yake kugeuza mke ngoma....Na huyo mke angeendelea kulala hapo pengine angemfanya mbaya..Wanaume wa kupiga kwa hakika siwapendi kabisaa...Hata kama ni mimi nampeleka polisi...Wanaume wengi huwapiga wake zao hadi kupelekea kupata ulemavu wa ajabu katika vizazi nk. Si ustaarabu kupiga mwanamke...

Amuombe mkewe msamaha wasameheane ila...Jambo la kupiga mwanamke lifutike ktk akili yake...Kugombana ni jambo la kawaida katika maisha ya ndoa ila sio jambo la kupigana.... Felix

Mkuu nakubaliana na wewe ila na nyie wakati mwingine midomo yenu utoa maneno makali sana kiasi kwamba mwaname asiye mvumilivu upata hasira na kupiga. ndio maana kwa upande wa wakristo biblia inamsema mwanamke kama kiungo dhaifu, na pia Mtume paulo anatwambie tuishi nao kwa akili sana. ila all in all ukweli kumfunga jela mzazi mwenzio ni jambo baya sana. nakushauri wewe usije kufanya hivyo mkuu.
 
Aise..............
Nahisi kuna tatizo kubwa coz hatujui imekuaje hadi amekua anakutolea kauli mbaya huenda kuna machafu yako hutaki kuyasema hapa.

Suluhisho la matatizo sio kujifanya matumla mwanamke hapigwi na mangumi.

Hakustahili kukupeleka police,angetafuta njia nyingine mbadala ya kusuluhisha tatizo,hapo ndoa tayari ishaingia doa uwezekano wa kuweza kuishi kwa amani kama awali ni mdogo sana.
 
mrejesho baada ya kutoka polisi.
kwanza niwashukuru wadau wote mlo toa mawazo tofauti tofauti.
asubuh nimelipoti kazn kisha nikaenda polisi.kabla sijafika nikampigia simu baba ake mdogo..nikamweleza picha nzima..akanambia nikifika nimpigie simu afu nimpe wife aongee nae..
baada ya kufika pale nikamkuta wife kakaa pale benchn.nikampigia simu baba ake mdogo nikampa simu..kamwambia hatiki kumuona pale tena polisi arudi nyumbani haraka..hapo ikawa pona yangu..ila kanambia nimpeleke hospitali..nikafanya hvyo.ila wife kanipa sharti moja kuwa hataki tena kuishi hapo tulipo panga..ikabidi nimbembeleze na kumuhaidi by next wiki tutahamia kwetu walau hata kwa kufunika bati chumba kimoja..japo nimelipa kodi mwezi huu ya miezi sita hapo kwa nyumba ya kupanga

sidhani kama ilikuwa kofi moja tu,utakuwa ulimdunda sana hadi majirani wakasikia makelele yenu sasa anaona aibu kuendelea kuishi hapo khaaaaaaaaaaaaa bora muhame kaka wewe ni marwa au chacha???
 
Back
Top Bottom