Wife kanishitaki polisi

Wife kanishitaki polisi

Mkuu hili la kumlamba kofi shem, ulipitiliza! Muombe msamaha! Na kwa hili la kulala nje shem, ni kosa sana! Tena kubwa! Ila naomba usimdhanie vby, huenda alilala kwa ndg ama hata shoga zk! Wanawake ni wepesi sana kusaidiana malazi!
Na kwa hili la kukupeleka POLICE daah, shem amevuka mipaka! Muombe myamalize nje ya police, naamini atakubali!
Km akikataa na kesi ikaenda mbele zaidi, mkuu ashakum si matusi, shem hakufai!
 
ukifika polisi utapewa maelekezo ya kufanya ... just relax until tomorrow okey
 
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea

Ni kweli kakutusi na kakukosea sana lakini suluhisho ni kumpiga? wewe ukimkosea huwa anakupiga? na unafikiri umeshamkosea mara ngapi? hana nguvu za kukupiga na uwezo wake wa kufikiri umeishia polisi,sasa usijihesabie haki wakati anakulalamikia mara kwa mara, ungekuwa mume mwenye upendo kwa mkewe asingekufikisha polisi.

Tatizo la baadhi ya wanaume mnawa treat wake zenu kama watoto wadogo, mtoto mdogo akikosea huwa anachapwa,sasa kama unampiga mkeo maana yake unamuona kama mtoto mdogo, na kama ni hivyo unawezaje kulala na mtoto mdogo mpaka ukapiga mikelele yako hapo kitandani?
 
Huna mke na kama mmezaa tu piga chini kama atakuzingua tafuta demu tu ambaye anatabia njema uoe au zaa nae then baadaye uoe atakimbia mwenyewe
 
michosho
Usiogope mkuu.......palepale polisi mchape makofi mengine halafu unaondoka zako
 
Last edited by a moderator:
Mkeo naye ni mala.ya tu kama walivyo wengine pengine kuna dereva wa boda boda anamzingua;Jipange vizuri.Hakikisha unaenda pale kituoni na watu kama wawili wakukuwekea dhamana;Na usiende bila pesa, unajuwa tena hii nchi imeharibika.

Hahaha kwani kakwambia ni malaya
 
usitetee ujinga ww...
Niogope kumkanya mke wangu kisa tu atanipeleka polis?
Yaan ningekuwa mm ningefurahi sana kitendo cha kunipeleka polis.. Tungenyooshana vzr sana

sitetei ujinga lakini kama mwanaume anatumia akili yake vizuri huyo mwanamke hana sababu ya kumpeleka polisi lakini yeye kaamua kutumia nguvu ya kumpiga na yeye mke kaamua aende polisi kushtaki sasa si uende polisi ukapigane nao si uko na nguvu za ziada? mwanamke mwenye matusi kuna dawa yao wala sio kipigo ukimpa hiyo dawa atakuheshimu milele.kuna dawa nyingi nzuri tu wanaume wanaweza zitumia kuwa manage wanawake na wala sio kipigo. kipigo ni kwa weak men tu. strong men they know how to manage their wives without kipigo na wananyooka kwenye mstari kabisa.
 
michosho

Yah! Hapo kweli hakuna cha ndoa. Mkuu labda pengine umemjeruhi sana. Kofi tu ,mpaka anafika Polisi?
Kuna jambo liko dhahiri anataka muachene,Haiwezekani na ni vigumu kuamini,na mara nyingi mtu mpaka anafikia hatua ya kwenda Polisi ,kweli inataka moyo waziada kuja kuishinaye tena kama ndugu au Mke,au hata hwara tu.

Pole yako ndugu,ila uwe macho sana.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana itikia wito nenda polisi. Kama ni mimi angepata ban ya maisha, hii habari ya wanawake wanaweza haki sawa itatufikisha pabaya. MUNGU alitukabidhi wanawake tuwatawale soma Genesis 3:16. Nawaheshimu sana wanawake lakin sometime wanahitaji makofi kidogo kuweka akili zao sawa wanapojisahau
 
sitetei ujinga lakini kama mwanaume anatumia akili yake vizuri huyo mwanamke hana sababu ya kumpeleka polisi lakini yeye kaamua kutumia nguvu ya kumpiga na yeye mke kaamua aende polisi kushtaki sasa si uende polisi ukapigane nao si uko na nguvu za ziada? mwanamke mwenye matusi kuna dawa yao wala sio kipigo ukimpa hiyo dawa atakuheshimu milele.kuna dawa nyingi nzuri tu wanaume wanaweza zitumia kuwa manage wanawake na wala sio kipigo. kipigo ni kwa weak men tu. strong men they know how to manage their wives without kipigo na wananyooka kwenye mstari kabisa.

kuna wanawake wenye ubongo wa kuku ,,unamuonya lakn bado hakuelewi kwann nguvu ya ziada istumike? Sema jamaa ni muoga ningekuwa mm ningemuonesha angekoma kukimbilia polis
 
Felix

Nijuavyo mimi wanawake tu wavumilivu sana sana sana na mwanamke kabla ya kuchukua hatua huanza na kusema, ikifika mahali akachulua hatua kama huyu mwanamke ujue KASHACHOKA navitimbwi vya huyo bwana.
 
Last edited by a moderator:
@Hizi ndoa hizi...dah, pole sana mkuu. wanawake wengine pasua kichwa.
 
nitaleta mrejesho baada ya kutoka polisi
 
kuna wanawake wenye ubongo wa kuku ,,unamuonya lakn bado hakuelewi kwann nguvu ya ziada istumike? Sema jamaa ni muoga ningekuwa mm ningemuonesha angekoma kukimbilia polis

kwa hiyo ukimpiga ubongo utabadilika uwe wa binadamu? tena kama ukimjua ana matusi na unamuonya hasikii mbona kuna njia za kumkomesha tafuta wazee wazuri wakufunde. Usitumie nguvu ukitumia nguvu it means na wewe ubongo ni wa kuku pia.
 
mkuu tupe hzo njia za kumkomesha nje ya kipigo..utakuwa umetusaidia wengi
 
Hakuna kesi hapo, hayo ni mambo ya kifamilia...
 
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea

amekushtaki kwa kumkatili kijinsia kwa kipigo na wewe jitetee alikukatili kijinsia kwa maneno - verbal abuse (matusi na majibu mabaya) akakuchochea kumu-abuse physically ingawa haihalalishi. Sasa sijui kama huwa unamrekodi? Kipigo kina ushahidi mrahisi kama ulimjeruhi, mtu akashuhudia kwa macho ukimjeruhi, polisi na daktari wakathibitisha......... We huko polisi ukishushiwa lawama we kanusha tu mpaka athibitishe kweli ulimpiga. Watu tunachukulia ukatili ni kipigo tu ila kuna maneno mtu akiyaongea unatamani akupige maana hayo maneno yanachoma na kuumiza kuliko ngumi. Pole sana. Siku nyingine ukitaka kukomesha tabia ya mwenzi wako chukua hatua mara tu ile tabia inapojitokeza. Sasa hapo mwenzio kaona umemuonea maana kila siku anakutusi unachukulia poa.
 
Back
Top Bottom