Wife kanishitaki polisi

Wife kanishitaki polisi

Haya mambo ya haki za wanawake ni tabu tupu, jana nimemchapa kibao wife tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa.

Leo asubuhi kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia jioni hii napata barua ya kwenda kesho polisi sababu ya kumchapa kibao ni maneno yake machafu ya kila mara ambapo nilishamkataza asiwe ananiambia kwani ananikwaza.

Amaniambia maneno machafu ambayo si kweli na zaidi mzee mwenye nyumba maneno hayo alisha mkataza kwani siyo kweli na wala siyo mazuri.

Wadau nishaurini nini nifanye kesho pale polisi na hadi sasa hayupo home na wala sijui yuko wapi.

Je polisi kwa matatizo kama hayo ya ndoa huwa wanasimamia wapi?
Kaka huna mke hapo huyo jambazi mwanamke alofundwa na heshima na adabu katu hawezi kukimbilia police

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya haki za wanawake ni tabu tupu, jana nimemchapa kibao wife tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa.

Leo asubuhi kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia jioni hii napata barua ya kwenda kesho polisi sababu ya kumchapa kibao ni maneno yake machafu ya kila mara ambapo nilishamkataza asiwe ananiambia kwani ananikwaza.

Amaniambia maneno machafu ambayo si kweli na zaidi mzee mwenye nyumba maneno hayo alisha mkataza kwani siyo kweli na wala siyo mazuri.

Wadau nishaurini nini nifanye kesho pale polisi na hadi sasa hayupo home na wala sijui yuko wapi.

Je polisi kwa matatizo kama hayo ya ndoa huwa wanasimamia wapi?
Kitendo cha kukufikisha polisi tayari amekosa sifa ya Kuwa mke. Kama kweli ni kibao kimoja au kama umemvunja mguu sawa ni halali akupeleke huko. Kama ni kibao kimoja mtupilie mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri huu ufate utakusaidia, katika ndoa kukwaruzana ni jambo ambalo utokea ila la msingi uitaji wawili kukaa na kuyamaliza haswa kwa kuombana msamaha. hivyo basi mpaka mkeo anaenda police hakuna msimamizi wa ndoa? hakuna wazazi? hakuna viongozi wa dini? au kote kaisha shitaki na wewe umeshindikana? hivyo basi kama hakufikiria hivyo muombe msamaha akafute kesi mkaya malize kifamilia. ukiona ame kataa mpaka unaenda sero na wewe ukadhaminiwa na mtu mwingine.

Jitaidi uendeshe kesi na keshi ikiisha kwa njia yoyote bila jitihada zake, kuona wewe ni mzazi mwenzeke, kaka huyo atakuwa siyo mke kibisa tolea mbali taraka haraka sana. hachana nae atakupa zengwe kubwa hata kukupa sumu! narudia kama utamuomba msamaha na kumwambia myamalize kifamilia akagoma, usimuite wife tena. ila kama ameisha kushitaki kwa familia, kwenye dini, na wewe umeshindikana apo inabidi uvune ulicho panda mkuu.

Wanawake ni kweli wanaume tunakosea lakini nawashauri kwenda police iwe ni maamuzi ya mwisho badala ya njia mbadala kushindikana. si vyema kabisa kwenda kumfunga mzazi mwenzio. kumbuka hata kama mtarudiana hilo linaweza kuwa kovu ambalo kutoka moyoni ni gum sana.
Hakika umeonyesha u-legend mkuu. Mfungua uzi, chukua huu ushauri isee.
 
Haya mambo ya haki za wanawake ni tabu tupu, jana nimemchapa kibao wife tumezaa nae mtoto mmoja miaka miwili sasa.

Leo asubuhi kaamka kumbe kaenda polisi kunishitakia jioni hii napata barua ya kwenda kesho polisi sababu ya kumchapa kibao ni maneno yake machafu ya kila mara ambapo nilishamkataza asiwe ananiambia kwani ananikwaza.

Amaniambia maneno machafu ambayo si kweli na zaidi mzee mwenye nyumba maneno hayo alisha mkataza kwani siyo kweli na wala siyo mazuri.

Wadau nishaurini nini nifanye kesho pale polisi na hadi sasa hayupo home na wala sijui yuko wapi.

Je polisi kwa matatizo kama hayo ya ndoa huwa wanasimamia wapi?
Wanawake siyo wa kupiga unapiga kwa akili...siyo kwa mikono ukikuletea ujinga unatumia akili kumshikisha adabu hata kama itakugharimu kisha unakaa kimya...kupiga kwa sasa ni hatari utakaa jela...
 
Aliekwambia mwanamke ni ngoma ya kupiga ni nani? Yeye si mwandawazimu akurupuke na tuhuma burebure lazima kuna mazingira hatarishi toka kwako na hao anaokutuhumu nao.

Jitazame upya tabia zako!
We hujaoa na kama umeoa basi umewekewa limbwata, kumpiga kibao mkeo sio ukatili bali ni kumkumbusha atii sheria bila shuruti. Wale wanaowapiga wake zao had wanavimba ndo makatili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chif hapo mke huna ila una mwanaharakati wa ndoa, nakushauri uendelee kutafuta mke wa kuoa, ni heri ukabaki na mwanao kuliko kukaa na mtu wa aina hiyo.
 
Back
Top Bottom