Wife kanishitaki polisi

Wife kanishitaki polisi

Umenikumbusha wifi yangu alimpeleka mumewe polisi baada ya kupigwa kisa alimuhoji mumewe kwa nini analala nje..
Hapa lazima utavutia upande wako bado hujasema vizuri kwa nini mligombana na akakutolea hayo maneno,
kama aliyatoa bila sababu basi pole umeoa mwendawazimu,
..wale wanandoa walirudi nyumbani na wanaishi kwa amani ajabu sijawahi kusikia ugomvi kati yao toka jamaa atoke polisi,
 
Bw.michosho tukiangalia mlipotoka,ni bora alivyoenda polisi.....
[h=3]Nitakuua!!!!![/h] Started by michosho, 24th June 2013 15:
Hiyo imekuwa ni kauli ya mke wangu,niliyezaa naemtoto mmoja,ambaye ana umri wa miezi 9.Kauli hiyo amekuwa akiitoa mara kwa mara hasa kunapotokea ungomvi(mara nyingi unatokana na wivu mwingi alo nao) wa aina yeyote ile unaopelekea kupigana.

Hayo maneno ya kuwa ipo siku ataniua ,nimekuwa nikijiuliza sana,endapo anamaanisha au ni hasira tu!!Kila nikitafakali na kuangalia mwenendo wake na tabia yake, nashindwa kuelewa km ni kweli hilo suala lipo kichwani mwake kwa maana ipo siku atalitekeleza ua la!!.ni miaka 3 imepita tangu tuanze maisha na huyu mke wangu.

Suala hili nalileta kwenu JF MEMBERS,mnipe walau mwanga wa nini nifanye juu ya hii kauli ya mke wangu.
Natanguliza shukrani kwa mchango wenu wadau.
 
hivi inawezekana kujidhamini?endapo polisi wataniweka ndan..?

Acha woga, Mwanaume gani unakua mwoga kiasi hiki.?

Kwanza kabla ya yote ilitakiwa ukatoe taarifa Police ya kupotelewa na mke.

Polisi hawafungi mtu zaidi ya kero na vimaneno vya kukukebei, lakini kama mwanaume lazima ujiamini kuwa huyu ni mke wangu na sina ugomvi nae kilichotokea ni migangano ya kawaida.

Hakuna ndoa isiyosumbua, ila hata huyo mkeo mcharuko kofi tu polisi.? Au anataka muishi maisha ya kwenye Bongo Movie.!
 
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea

Na hakuna mwanamke mjinga anayempeleka mme wake polisi do jitahmnini upya tabia zako
 
mama mtu anamatusi na ndiye anayeshinda na mtoto nyumbani, sipati picha huyo mtoto atakuwaje? kwa kifupi huna mke, ANAUNDUGU NA FROLA MBASHA? YATAKUTOKEA KAMA YA EMMANUEL MBASHA,WE MG'ANG'ANIE, UNAJUA ANALALA WAPI? MKE WA MTU ALALE NJE? KWELI AMEKUDHARAU!! NA KAMA UTAENDELEA NAE BASI UJIANDAE KUWA EMMANUEL MBASHA.

hahaaaaaaa!!!!
 
Nahisi kuna ambayo hujayaeleza hapa....

Mpaka mke akuoeleke polisi Inawezekana unezoea kumgeuza ngoma, unadhani yeye ana mwili wa chuma?????

Na kama mpaka kaondoka ujue kachoshwa na mambo yako, sidhani kama mkeo ni mjinga mpaka akusingizie tu bila kuwa na ushahidi.....

Dawa ni kujishusha na kubadilika
 
wakuu nashukuru kwa mawazo yenu..ila ikweli hakuna mwanaume mjinga wa kumpiga mke wake bila kosa..jst from no where..ki ukweli alinibore sana...anamatusi na majibu mabaya sana...nimevumilia sana..Nway ngoja niende polisi kujua kpi kitaendelea

Alikutukanajee??? Tuambiee hapa hapa ili tupate uhalali wa wewe kumpigaaa vibao
 
Wewe nenda na 20,000 ya kufuta kesi na 30,000 ya kumuachia askari jumla 50,000. afadhari umemchapa kofi next time wewe nenda kamshitaki kwa kukudhalilisha tena tanguliza pesa akalale hukohuko ajue raha ya huko kituoni.
 
Mkeo naye ni mala.ya tu kama walivyo wengine pengine kuna dereva wa boda boda anamzingua;Jipange vizuri.Hakikisha unaenda pale kituoni na watu kama wawili wakukuwekea dhamana;Na usiende bila pesa, unajuwa tena hii nchi imeharibika.
 
Na hakuna mwanamke mjinga anayempeleka mme wake polisi do jitahmnini upya tabia zako

hujui ndo maana unasema hvo...mpaka namchapa kofi hujui nimemwonya mara ngapi..kila mtu anahasira..hata uwe mpole kiasi gani..
 
Mkeo naye ni mala.ya tu kama walivyo wengine pengine kuna dereva wa boda boda anamzingua;Jipange vizuri.Hakikisha unaenda pale kituoni na watu kama wawili wakukuwekea dhamana;Na usiende bila pesa, unajuwa tena hii nchi imeharibika.

Mmmh.......
 
Ila mpaka kufikishana polisi ni kuchokana
 
michosho
we polisi waambie ukweli usipindishe neno lolote lile maana kila mtu huwa ana hasira..... na mkirud home akiwa mkaidi tafuta adhabu nzuri zaid ya hiyo ambayo itaweza kumbadilisha
 
Last edited by a moderator:
hujui ndo maana unasema hvo...mpaka namchapa kofi hujui nimemwonya mara ngapi..kila mtu anahasira..hata uwe mpole kiasi gani..

sasa kila mtu akiamua kuwa na hasira kama zako unafikiri dunia ingekalika? jaribu kucontrol hasira zako matokeo yake umepelekwa polisi. Kuna sababu umepelekwa huko.
 
Ushauriwe nini sasa kaka zaidi ya kwenda polisi
Nenda polisi utayajua huko huko
michosho
 
Last edited by a moderator:
Wana kiburi hawa watu ohooo!
Dawa yao ni kumchapa vibao halafu unamgegeda na kumwambia kuwa nakupenda sn mke wng
 
sasa kila mtu akiamua kuwa na hasira kama zako unafikiri dunia ingekalika? jaribu kucontrol hasira zako matokeo yake umepelekwa polisi. Kuna sababu umepelekwa huko.

usitetee ujinga ww...
Niogope kumkanya mke wangu kisa tu atanipeleka polis?
Yaan ningekuwa mm ningefurahi sana kitendo cha kunipeleka polis.. Tungenyooshana vzr sana
 
hujui ndo maana unasema hvo...mpaka namchapa kofi hujui nimemwonya mara ngapi..kila mtu anahasira..hata uwe mpole kiasi gani..

mkuu kwanza nikuulize inamaana ulivyompiga kunasehem yoyote umemjeruhi?!
Hii ni kesi ndogo sana wala usikuumize kichwa
 
Back
Top Bottom