Usimwambie chochote kwa sasa mpaka ukigundua dawa imeisha nguvu ndio umwambie aka renew!
Abiria chunga mzigo wako!!!!
Nikimwambia si atajua nilitaka kusaliti ndoa.
Kama kakuroga na yeye mroge akienda kwa dume papuchi isifunguke.
Kwa hiyo unataka sisi tufanye nini?
Kwa hiyo unataka sisi tufanye nini?