Wife kaniroga naogopa kumwambia.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,817
11,485
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama watatu kitu haisimami kabisa mwisho naaibika tu mwanzoni nilijua ni ugonjwa nikampigia simu akaja kitu kikasimama na kazi ikafanyika ya maana kweli, nimejaribu kuchunguza nimegundua wife kanifanyizia sasa kumwambia nashindwa nitaanzaje.
 
Usimwambie chochote kwa sasa mpaka ukigundua dawa imeisha nguvu ndio umwambie aka renew!
Abiria chunga mzigo wako!!!!
 
Kazi jamani,haya jamani ambao mpo kwenye mipango ya kuoa.ukimwi hautaisha kwa style hii.
 
kazi ipo hivi anavyofikiria kukuharibu mzee wako je akilala moja kwa moja mtamlaumu nani?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom