Wife huwa haniachii msosi wa usiku

Wife huwa haniachii msosi wa usiku

Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
1. Je kazi yako inakupeleka hadi urudi usiku familia imeshalala au ni ulevi unakupeleka kwenye mapombe?
2. Kama alikuwa anakuachia chakula huli, yaweza kuwa ndio sababu
3. Yaweza kuwa anataka uwahi kurudi ili mle wote na familia kwa kuwa, huna sababu za msingi za kukuweka nje hadi usiku wa manane
 
1. Je kazi yako inakupeleka hadi urudi usiku familia imeshalala au ni kwa kuwa una hela nyingi za ziada unaishia kwenye pombe?
2. Kama alikuwa anakuachia chakula huli, yaweza kuwa ndio sababu
3. Yaweza kuwa anataka uwahi kurudi ili mle wote mezani kwa kuwa huna sababu za msingi za kukuweka nje hadi usiku wa manane

inafikirisha.
Sasa Wife alijuaje Leo jamaa atachelewa kwahiyo asimuwekee chakula?.
What if asimuhesabie alaf saa 1 usiku wakat chakula kinaiva jamaa amerud?.

Jamaa anasema ni kila siku hakuti chakula. Means Jamaa ni mlevi na huwa akirud hawez hata kula. Na ni jambo linalojirudia mara kwa mara.

Ushauri:-
Apunguze ulevi na awah kula na familia. (Kuchelewa mara 1 au 2 kwa wiki sio mbaya).
Aache hela ya kutosha ya chakula na apige simu kuwa aachiwe chakula.
 
1. Je kazi yako inakupeleka hadi urudi usiku familia imeshalala au ni kwa kuwa una hela nyingi za ziada unaishia kwenye pombe?
2. Kama alikuwa anakuachia chakula huli, yaweza kuwa ndio sababu
3. Yaweza kuwa anataka uwahi kurudi ili mle wote mezani kwa kuwa huna sababu za msingi za kukuweka nje hadi usiku wa manane
Cha pombe huyo
 
Cha pombe huyo
Naona ni mlevi. Na huwa anarud late na hali nyumban na mbaya zaid alivyo mjinga huwa akiulizwa anasema nimeshakula 😊😊😊😊.

Siku ukiamua kula nje bas sema mapema.
na kama haujasema bas hakikisha hata saa 6 usiku ukirud home bas uguse guse chakula alichokupikia shemej.
Simple as that.

Kukosa chakula kabisa ni jambo la fedheha na Nafas yako kama Baba wa familia naona inalega lega. Na ww ndio sababu.
 
Ndio tatizo la kuoa mwanamke mwajiriwa na ambaye amekuzidi au mnalingana kipato,mleta mada bisha kama sio sahihi
 
Heri ya jumapili nyote!!

Nina kesi yangu hapa,kila nikirudi usiku sikuti chakula cha usiku,nikimhoji wife anasema eti alijua nimekula kwenye ulevi wangu.

Jana nimerudi na ubao sio poa,lakini sikukuta msosi mezani.

Wakuu,nafanyaje hapa?
Weka namba yake hapa mabaharia tumkanye aache hiyo tabia sio nzuri ukifa kwa njaa?😀
 
📌KATAA NDOA 3- 0 WENYE NDOA

KATAA NDOA NI KAMA YANGA TU,UBINGWA NJENJE🏆

#kataa ndoa,ndoa ni utapeli!
 
Mwanzoni lazima hakuwa hivyo wewe ulikuwa ukiachiwa huli na inaonyesha ni mtu wa tungi na kuchelewa kurudi nyumbani wewe ndio chanzo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom